Search results

  1. JAYJAY

    Kama Yanga watajenga Uwanja hapo Jangwani basi Mo Dewji hastahili kuendelea kuwepo Simba

    Hakuna uwanja utakaa ujengwe hapo. Porojo TU.
  2. JAYJAY

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Nadokezwa na jamaa hapa kuwa wewe mwenyewe ni pandikizi lao.
  3. JAYJAY

    Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

    Ukishajumlisha 1 na 2 kwenye mabano tayari ushamalizana nayo hayo mabano na inakuwa 6÷2×3 ambayo ni 9.
  4. JAYJAY

    Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

    Anawaona wenzake vilaza kumbe yeye ndiye kilaza. Huu mjadala mkubwa sio mchezo.
  5. JAYJAY

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Huu ndio upigaji wanaofanya hawa wafanyakazi wenu wakatisha tiketi. Jana Jumamosi nimeingia kituoni saa 12:50 Jioni pale Posta Ya Zamani dirisha linaloangalia Kanisani KKKT. Sasa jamaa wa dirishani kanipa hii tiketi ambayo kwa kuangalia muda TU ni wazi ilisha_expire na ilishatumika na mtu...
  6. JAYJAY

    Tumetawaliwa na Mjerumani na Muingereza lkn ajabu hatujui kuzungumza lugha zote hizo

    Sio wajinga. Na usiwalaumu Kwa wao kutokuwa na mbuga wala rasilimali kama nchi Yako, kwani wewe ulipanga uzaliwe Tanzania!? Vipi pia kama ungezaliwa huko Congo mathalani Kivu kwenye maliasili nyingi lakini hkuna Amani!?
  7. JAYJAY

    Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

    Kama hukuwahi kumuona Babu Yako upande wa Baba haimaanishi hakuwahi kuwepo, ni vile TU wewe hukumkuta.
  8. JAYJAY

    Kibu na Mzamiru watozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa Ulozi

    Hilo linaangukia kwenye kosa la kumghasi/ kumpotezea Kipa umakini Tena kwenye eneo lake. Kulihusisha na uchawi ni akili mbovu za hao waliotoa hiyo adhabu. Kwani wale wanaokwepa kupita kwenye mageti rasmi ya kuingia uwanjani Kwenye derby ya Simba na Yanga, mbona Huwa wanaadhibiwa na haisemwi ni...
  9. JAYJAY

    Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

    Walioimba uzalendo umetushinda 1993 walikuwa mashabiki wa Timu Gani vile!? Shida umezaliwa 2005.
  10. JAYJAY

    WIZI WA FEDHA SERIKALINI

    Huyo mwanamke hajui hata anataka nini kwani hakuwahi waza atakuwa Rais . Aondolewe Haraka
  11. JAYJAY

    Nani mwingine kaona mabadiliko makubwa ya Mkuu wa Mkoa Chalamila? Very intelligent, kama kuzaliwa mjini form six, basi ataacha Dsm na Masters

    Hawa wapuuzi wa kuteuliwa Leo Dsm kesho Mwanza keshokutwa Mbeya hawawezi kuwa na faida yoyote kwenye utatuzi wa changamoto za mikoa husika kwani hawana lolote wanalolijua. Ni upumbavu kupotezaa Kodi za wananchi Kwa hivi vyeo vya kijinga vya kugawiana zawadi
  12. JAYJAY

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Kuna tangazo na matangazo yaliyopitiliza. Mlalamikaji amelalamikia Hilo.
  13. JAYJAY

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Shida ni wewe uliyekariri kuwa mahindi lazima yaliwe kama ugali.
  14. JAYJAY

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Wanalipia Sio Bure Mkuu. Na kila channel ina maudhui yake maalum yakiwekwa tofauti lazima iwe nongwa. Mathalni dstv waweke muziki kwenye ile channel ya supersport, watu wakilalamika suluhisho litakuwa kuwaambia wabadili channel.!?
  15. JAYJAY

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Mahindi in it's form tayari ni chakula, unless uniambie mahindi ni sawa sawa na mkonge kwamba hautumiki mpaka uwe processed. Actually ume_comment nonsense hapa.
  16. JAYJAY

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Geography ukiijua wewe inatosha. The fact kuwa yeye halimi mahindi wala ngano ndio maana ni upumbavu kudai eti anawalisha watu. Hizi mills zake zitasaga nini wakulima wasimuuzia mahindi!?
  17. JAYJAY

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Ni udalali kwani yeye analima mshindi au ngano!?
  18. JAYJAY

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Kabla ya yeye kuanzia uzalishaji wa sukari, watu walikuwa wanatoa wapi sukari!? Yeye analima ngano au mahindi!? Yeye anafanya udalali TU hapo. Sina chuki naye, shida ni pale wanaomlalamikia humu mnawaona kama wanakosea.
  19. JAYJAY

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Bidhaa za waislamu!? Wao wanazitoa wapi? Kwa waislamu wenzao au!? Kisha hao wanaotumia hizo bidhaa unazodai za waislamu, wanapewa Bure!? Au wanatumia pesa zao kununua!? Azam akiacha au kususa kufanya biashara watafanya wengine. Biashara Sio msaada.
  20. JAYJAY

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Bidhaa za waislamu au za Azam!? Mbona kama unataka leta upotoshaji!?
Back
Top Bottom