Search results

  1. Franc chaula

    Nahitaji msaada ata wa kimawazo

    mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo nasomea urban planning,natafuta kibarua chochote ambacho ata ikiwa mbali na ninachosomea ila mradi nipate hela ya kula na kujilipia maitaji yangu ya chuo sababu sikubahatika kupata mkopo,kibarua kipindi cha likizo mwezi wa 2 na mwezi wa 6.
  2. Franc chaula

    Naombeni ushauri wenu

    mimi ni mwanafunzi wa chuo, huwa napata shida kutafuta kazi pindi napomaliza field zangu,naombeni ushauri nifanye nini au hata mahali kazi zinapopatikana ila ziwe za muda mfupi wa likizo sababu mimi bado mwanafunzi.
  3. Franc chaula

    Mbona Majanga

    pat akjua lazma nae aongeze idad ya waliopitiwa na eddy!
  4. Franc chaula

    Samsung i8910 Omnia HD

    Ninatumia simu hii ila niliangusha,nahitaji kubadilisha housing yake ila nimezunguka maduka mengi naambiwa ni adimu,nisaidie kwa hilo!
  5. Franc chaula

    Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

    Mapenzi ya mbali majanga,yaan inabidi uweke bajeti kununua vocha ya extreme au cheka,husipo wasiliana nae ndani ya siku majaaaangaaa yaaan
Back
Top Bottom