Search results

  1. M

    Ubunifu ni sifa ya kwanza ya Kiongozi

    Simaanishi kiongozi asiige ama asiendeleze aliyoyakuta, na kuyafanya sehemu ya mafanikio ya uongozi wake. Wala sisemi kiongozi hapaswi kupokea ushauri wa wasaidizi wake. Muhimu ni wewe unapoingia madrakani unaibua mambo gani ambayo unayasimamia kwa nguvu kama njia ya kuonyesha uwezo wako...
  2. M

    Ujinga wa mwafrika, maandiko ya kihistoria yenye mafundisho kuhusu vikwazo vya wa maendeleo kwa Mtanzania

    WADAU AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA" Miongoni mwa maandiko...
  3. M

    Uwajibikaji: Nyerere kiongozi pekee aliyeonesha ukomavu kwenye uwajibikaji Tanzania

    Mwaka 1982 mwalimu aliambiwa na wana CCM kwenye Mkutano wa Halamashauri Kuu ya CCM kuwa mzee hali ni mbaya. Walimwambia tumefikia mahali rushwa imeshamiri kiasi kwamba Daktari anapokuwa thieta na mgonjwa wa upasuaji, anauliza wanandugu wazi Bahasha yangu iko wapi? Hamjui kamshahara kenu ka...
  4. M

    Uingereza na Tanzania hakuna tofauti

    Ni taratibu zinazofanana na kutofautiana kwa mazingira tu. Tofauti ni pale kwa wenzetu, kiongozi anapokubali kuyashindwa majukumu anajiuzulu. Wakati huku kwetu suala la kushindwa majukumu sio kigezo cha kujiuzulu. Lakini utaratibu ndio huo, Uingereza Chama kinamshukia kiongozi hadi anajiuzulu...
  5. M

    Ni aina ya mtu ama ndio wajibu wa kiongozi mkuu kusema na kusema kila uchao?

    Wakuu, Hadi anatia huruma, haki ya Babu, na Bibi! Yaani toka ashike uongozi zimefika hotuba zaidi ya Mia nne (ambazo ni rasmi) na bado kwa muda uliobaki sijui zitafikia ngapi! Jamani hivi ni yeye ana enjoy pia kama ilivyokuwa kwa Mwenda zake, maana kwa yule alivyokuwa akipenda kuongea...
  6. M

    Mbunge huyu aliwahi kumshauri Balozi Mulamula kuboresha sera ya Mambo ya Nje kipindi alipojuwa Waziri wa Mambo ya Nje

    Salaam, Critique ya mjumbe huyu Bungeni ilikuwa nzito kweli - hata kama aliagizwa kuyawasilisha?
  7. M

    Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  8. M

    Nyerere aliwahi sema “Nilitegemea majitu yenye nguvu ndani ya CCM yangehamia upinzani ili kupambania mabadiliko ya nguvu”

    1. RIP kwa wote waliotangulia, miongoni mwa watu maarufu na wenye ushawishi / mvuto Mrema alihamia upinzani kwa shinikizo la Mwl Nyerere Sumaye alihamia upinzani kutafuta umaarufu alioukuwa akiendelea kuutamani Lowasa alienda kwa kusukumwa na tamaa yake ya Urais Kingunge alihamia huko kufukuzia...
  9. M

    Sijaelewa itifaki ilivyopangwa ziara ya Rais Samia huko Zanzibar

    Wanabodi, Mhe. Samia alifanya ziara huko Zanzibar kwenye eneo la Kizimkazi mahali pa asili yake. Cha ajabu (sijui labda uelewa wa wengine sio ajabu) miongoni mwa viongozi wakuu watatu wa Zanzibar yaani Rais, Makamu 1 na Makamo 2 sikumuona hata mmoja hapo. Au kwa vile ni kijijini kwake, kwa...
  10. M

    Wazo duni? Rais Samia atayaweza mengine, Muungano mtihani kwake

    Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii. Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea kuwa moja ya mambo yenye udonda sugu. Kila inapotokeza fursa ama tukio la kuujadili muungano, mambo...
  11. M

    AJABU: Vyombo vya Habari Tanzania na Watanzania tunavyofuatilia uchaguzi Kenya, tuna maslahi gani haswa?

    Wana JF nisaidieni. Asubuhi mchana usiku taarifa za maendeleo ya Uchaguzi Kenya katika vyombo vya habari hapa Tz hadi kushangaza. Labda niko nyuma ya wengine lakini najiuliza ni lipi hasa la kutufanya tushabikie na kushobokea uchaguzi wa wenzetu kwa kiasi hicho? Ingelikuwa Marekani ama...
  12. M

    Hatuombei yatokee lakini ukweli ndio huo

    Wanabodi: Rais wa Marekani Joseph Biden ana umri wa miaka 80 Mgombea Urais Kenya Raila Odinga ana Umri wa Miaka 78 Makamu wa Rais wa Marekani ni Mwanamama Mgombea Umakamu wa Rais Kenya Ni Mwanamama Mzee Raila Odinga akishinda Urais Mama Karua anakuwa Makamu Yakitokea kama yaliyotokea Tanzania...
  13. M

    Yu wapi aliyesigina Kitabu cha Andiko la Katiba huko nyuma?

    Nakumbuka niliwahi kusikia kuna Bwana MMoja aliwahi kuisigina Kitabu cha Katiba huko nyuma. Pia vyombo taasisi na watu mbali mbali walikuja juu na kutaka "anyongwe hadharani". Sijui Kashfa hii iliishia wapi na huyo Bwana yu wapi?
  14. M

    Wakati huu sio kuzodoana ni wakati wa kutafakari

    Yanayoendelea hivi sasa, kwa maana ya matukio ya je tumetoka wapi tupo wapi na tunataka kwenda wapi ndio ya msingi. Fahamuni kwamba hoja zinazoletwa hapa za wanaofikiri kwamba mbona imekuwa hivi, waelewe kwamba wanavyoona wao sio lazima iwe ni ya watu wanaotafakari mambo kwa manufaa ya wenye...
  15. M

    Busara za Nyerere zisisahaulike

    Mara mbili katika matukio muhimu nchini, Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa ushauri ambao huenda tumeanza kuusahau. Moja ni pale alipowashauri wa Tz kuukubali mfumo wa vyama vingi vya kisiasa - alisema, pamoja na kwamba waliokataa ni wengi, lakini hawa wachache wana umuhimu wake la sivyo tutabweteka...
  16. M

    Kura za maoni: Yaani ina maanisha ndivyo ilivyokuwa?

    Yaani ina maanisha ndivyo ilivyokuwa?
  17. M

    Kama si uswahiba basi ana kifundo chake maana hakuna Waziri mbovu kama Kamwelwe

    Ndio hivyo! MV Nyerere - ajali iliyopoteza maisha ya Watz zaidi ya 100. Ni jambo la kusikitisha na ingawa lawama zikatupwa huku na kule, mwajibikaji mkuu akaachwa, akabaki kuwawajibisha wengine. Daraja la barabara ya Dar - Dom pale wilayani Kilosa likabomoka na kusababisha adha kubwa kwa wiki...
  18. M

    Benjamin Mkapa: Shujaa aliyeona umuhimu wa kuimarisha Serikali za Mitaa

    Kwaheri Ben! Katika mambo ambayo uliyafanya na hatutasahau ni pamoja na kuona umuhimu wa kuziimarisha Mamlaka za Serikali za Mitaa. Mwaka 1998 Rais Mkapa alianzisha mpango ulioitwa Local Government Reform Program Tanzania. Mpango huu ulikuja wakati muafaka maana kipindi hicho Halmashauri...
  19. M

    Fumanizi ni kosa la jinai?

    Wana Bodi, Kwanza nikiri mimi si Mwanasheria. Nimekutana na jambo la fumanizi katika mazingira tofauti na kuona watu wakiadhibiwa, wakiaibishwa na kulazimishwa kuingia katika mikataba mbalimbali 9kulipa fidia nk). Aidha katika hili unakuta kila mwenye sauti atasema yake, Askari atalichukulia...
  20. M

    This is what others say about our "AU"

    African leaders should admit that a caricature of the European Union can’t possibly work for Africa. Britain’s vote to ditch the European Union offers the chance of a new beginning — not just for the EU, and the U.K., but for Africa. Since most countries on the continent gained independence in...
Back
Top Bottom