Search results

  1. J

    2 Days Pastors,Leaders and Youth Conference

    Tunapenda kukualika 2 days leaders and Youths fellowship conference by Victor Nkomo kutoka South Africa ni week hii ijumaa na jumamosi tarehe 26 na 27 Katika hotel ya Midland, iliyopo mtaa wa Rwagastore mwanza karibu na stand ya magari yaendayo Igombe. Kuanzia saa mbili asubuhi na kuendelea. For...
  2. J

    Two Days Pastors, Leaders and Youths Conference

    Tunapenda kukualika 2 days leaders and Youths fellowship conference by Victor Nkomo kutoka South Africa ni week hii ijumaa na jumamosi tarehe 26 na 27 Katika hotel ya Midland, iliyopo mtaa wa Rwagastore mwanza karibu na stand ya magari yaendayo Igombe. Kuanzia saa mbili asubuhi na kuendelea. For...
  3. J

    Matokeo St. Agustine Mwanza yanatia aibu

    Leo tarehe 13.8.2014 Chuo kikuu cha mtakatifu agustine main campus mwanza imetia fora baada ya kubandika matokeo ya semista ya pili ambayo idadi kubwa ya wanafunzi wamesap somo la basic English ya katigula na comm skills kwa mwaka wa kwanza hivyo wote walio supp mitihani ya sup inatarajiwa...
  4. J

    mwezi gani wa kuanza chuo kwa wahitimu wa form six 2014

    OK.pia ni kwasababu mwisho Wa lupines maombi TCU ni tare he 30.8. Ten a hao no kwa ambao wamehitimu miaka ya nyuma mpaka 2013. hapo bado form six waliomaliza mwaka huu .wakati kwa mwaka Jana hapo majibu ya vyuo yameshatoka.
  5. J

    mwezi gani wa kuanza chuo kwa wahitimu wa form six 2014

    Kwa taarifa ambazo bado si rasmi lkn zimetokana na uchunguzi ni January.
  6. J

    SAUT_mwaka wa kwanza waliwa

    Jamani me mwenywe nipo saut ni kweli hostel za ndani ya chuo gharama zimeongezeka kotoka 210,000 mpaka 300,000 kwa mwaka. Ila yote maisha tu.
  7. J

    Sauti sauti sauti, jamani tuliochaguliwa st.augustine tunafungua tarehe 9/9/2013

    sasa jamani tuende chuo au tusubiri intake ya jkt october
  8. J

    TCU to release list of successful candidates soon.

    kwahiyo jamani tulizeni mioyo yenu sasa wapendwa.
  9. J

    TCU to release list of successful candidates soon.

    TCU to release list of successful candidates soon. In Summary TCU spokesperson, Mr Edward Mkaku, told The Citizen that the names would be verified by the councils of each learning institution before being sent back to the commission by the 25th of this month. Dar es Salaam. The Tanzania...
  10. J

    Selection Tumaini university Makumira 2014

    Habari wakuu Moja kwa moja kutoka site ya TUMAIN UNIVERSITY MAKUMIRA. MAJINA HAYA HAPA YA WALIOCHAGULIWA BACHELORS YAPO CHINI. MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO CHA TUMAINI MAKUMIRA
  11. J

    Freedom in relationships

    FREEDOM IN RELATIONSHIPS kama mko katika mahusiano ni vema kila mmoja kumpa mwenzake uhuru, kwani itakusaidia kujua kama ni mwaminifu na tabia zake zote, mpe uhuru usimnyime kuwa jinsi alivyo bali mpe uhuru ili uone jinsi alivyo. The real way you can know your lover behaviour is the way...
  12. J

    TCU selections are OUT!!

    Jamani wote mlio apply kuweni na subira muda sio mrefu tcu watatoa result out, hacheni kupost uongo.
  13. J

    WAZIRI MKUU PINDA: Maiti wote wa mlipuko wa Bomu watazikwa na Serikali!!

    kweli hali ni tete katika viwanja yva SOWETO ARUSHA, ambapo wananchi wa Arusha wataka wawaage marehemu, Baadhi ya vijana wanawatukana Polisi, huku wananchi wameponenea kupigwa mabomo, waanza kurushiwa maji ya washawasha. bado wananchi wamefurika ktk viwanja hivyo huku Polisi wametanda kila...
  14. J

  15. J

    Siku za mwisho

    Jamani watanzania ebu kila mtu atafute kuwa na uhusiano mzuri na Mungu wake kwani hizi ni nyakati za mwisho, na ni bora kila mtu amtafute Mungu wake ili aweze kuishi kwa furaha.
  16. J

    Utambulisho

    Hodi! Hodi?
Back
Top Bottom