Search results

  1. real G

    Arusha & Kilimanjaro: Utajiri, Mapenzi na vifo vya kutisha. Kwanini matajiri hawadumu?

    Kwanza kabisa hakuna Moshi na Kilimanjaro, ukishasema Kilimanjaro tayari Moshi ipo ndani yake Pili Mengi kafa na miaka 75, Mrema kafa na miaka 68, huyo msuya sijui kafa na miaka mingapi ila anaonyesha naye alikuwa ni zaidi ya 65, kuna Ndesamburo amekufa na miaka mingi tu na yeye, na bado...
  2. real G

    Serikali: Wasioridhishwa utendaji wa maDC, RC waende mahakamani

    Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Ruth Mollel (kulia) akiuliza swali katika kikao cha 47 cha mkutano wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo. Ruth alikuwa akihoji utendaji kazi wa wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa mikoa kwa kujihusisha na itikadi za vyama vya siasa. Picha na Edwin Mjwahuzi...
  3. real G

    Uhamiaji kutoa vibali maalum kwa Warundi waje kulima Tanzania

    Idara ya Uhamiaji nchini imeweka utaratibu wa kutoa kibali maalum kwa raia wa Burundi ambao wanataka kuja nchini kwa ajili ya kufanya shughuli za kilimo ikiwa ni moja ya nia za kupunguza raia wa nchi hiyo ambao huingia nchini kinyemela hususani katika mikoa ya Kigoma na Tabora kwa ajili ya...
  4. real G

    Una mawazo/maoni yapi ambayo si ya kawaida(unpopular opinion) kwenye jamii?

    Mi nipo liberal sana na naona watu liberal ndio wema na waelewa zaidi kuliko conservatives. Mfano naona haifai ku mind mtu kisa haendi kanisani au msikitini, au haamini kuna mungu, au labda ni shoga au msagaji, au mwanamke kisa anajiuza... Si mind mtu akifanya chochote as long as ni personal...
  5. real G

    Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni yawaomba KKKT na TEC kutojibu barua walizopewa na Serikali

    Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imewaomba Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kutojibu barua waliyopewa na Serikali na kuitaka kuwaomba radhi waumini wa madhehebu hayo Chanzo: Mwananchi
  6. real G

    Watanzania 109 wakamatwa Kenya kwa kuvua katika eneo la bahari lisilo la Tanzania

    Takribani Wavuvi 109 wa Kitanzania wanashikilia nchini humo baada ya kukamatwa Juni 02, 2018 kwa kujihusisha na uvuvi haramu katika ukanda wa maji wa Kenya eneo la Shimoni Naibu Kamishna Kaunti ya Kwale, Josphat Biwott alisema wavuvi hawa walirudishwa rumande siku ya Jumatatu baada ya kushindwa...
  7. real G

    Mke wa Bilionea Msuya ataka tume ya uchunguzi

    Dar es Salaam. Mke wa marehemu bilionea, Erasto Msuya, Miriam Mrita ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuunda tume kuichunguza kwa kina kesi ya mauaji inayomkabili akidai kuna uonevu unaoendelea. Miriam amewasilisha ombi hilo leo Juni 4 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba mara...
  8. real G

    Wahamiaji takribani 35 wapoteza maisha baada ya Boti kupinduka Tunisia

    Takriban wahamiaji 35 wamepoteza maisha baada ya boti yao kupinduka kusini mwa pwani ya Tunisia, Serikali ya nchi iyo imeeleza. Wahamiaji wengine 67 kutoka Tunisia na maeneo mengine waliokolewa na vikosi vya uokoaji vya pwani. Tunisia imekuwa njia mpya muhimu kwa wahamiaji wanaojaribu kuvuka...
  9. real G

    Hii ndio kazi mpya ya Dkt. Kijo Bisimba

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ambaye amebakiza siku chache kung'atuka kwenye nafasi hiyo Dkt. Helen Kijo-Bisimba amedai akitoka hapo ataenda kujihusisha na masuala ya uimbaji kwaya kwenye kanisa ambalo huwa anafanya ibada. Dkt. Kijo-Bisimba ametoa wakati...
  10. real G

    Serikali imesema ajira mpya za walimu zitakatoka siku chache zijazo

    Serikali imesema katika ajira mpya za walimu zitakatoka siku chache zijazo walimu wa alama ni moja kati ya makundi ambayo yamepewa kipaumbele kwenye ajira hizo. Naibu Waziri ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Josephat Kandege amesema hayo Bungeni mkoani Dodoma na kuongeza kuwa Serikali inatambua kuwepo...
  11. real G

    Serikali yasema inatambua changamaoto za jeshi la polisi, na itazitatua kadri fedha zitakavyopatikana

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Masauni amesema Serikali inatambua changamoto zinazolikabili jeshi la polisi nchini na kuwa itakuwa ikitatua changamoto hizo kadri fedha zinavyopatikana. Naibu Waziri Masauni amesema hayo Bungeni mkoani Dodoma wakati akijibu maswali ambayo...
  12. real G

    Mradi wa umeme wa Stiegler sasa rasmi, Serikali yasema utaongeza utalii

    Dodoma. Serikali imeonyesha dhamira yake ya dhati ya kutekeleza mkakati wa kuongeza uwezo wa kuzalisha umeme baada ya kutenga Sh700 bilioni kwa ajili ya mradi wa Stiegler’s Gorge, kwa mujibu wa bajeti ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni jana. Mradi huo, uliopewa jina la mgunduzi wa...
  13. real G

    Maxcom sasa kuuza tiketi za Precision Air

    Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Precission Air limeingia ubia wa malipo na Kampuni Maxcom Africa utakaowawezesha wateja wake kulipia tiketi zao kwa mawakala wa kampuni hio waliopo maeneo tofauti ndani na nje ya nchi. Mkataba huo wa miaka mitatu umeingiwa rasmi leo Mei 24, 2018 ambapo...
  14. real G

    Sheikh Mbonde alivyojipanga kutumia mamilioni Babu Tale akae jela

    Dar es Salaam. Baada ya mkurugenzi wa kampuni ya Tiptop Connection Limited, Hamis Shaaban Taletale maarufu kwa jina la Babu Tale, kukaa mahabusu katika kituo cha Polisi akisubiri amri ya kupelekwa kifungoni, mdai katika kesi hiyo amesema atatumia mamilioni kuhakikisha anakaa jela. Hukumu hiyo...
  15. real G

    Iraq: Serikali kuwanyonga wanawake 40 kulipiza kisasi kwa ISIS

    Baghdad, Iraq. Serikali inatarajia kuwanyonga wachumba 40 wa wanamgambo wa Dola ya Kiislamu (IS) kulipiza kisasi kwa wapiganaji hao wa jihadi kuikalia kwa miaka mitatu ardhi ya Iraq wakati wa mapigano yaliyosababisha maelfu ya watu kuuawa kikatili. Wanawake hao ambao ni wa kigeni walikiri...
  16. real G

    Katavi: Wachungaji 3 wanusurika kichapo baada ya kushindwa kumfufua marehemu

    Wachungaji watatu wamenusurika kipigo kutoka kwa wananchi baada ya kushindwa kumfufua marehemu katika kijiji cha Sitalike Wilayani Mpanda mkoani Katavi Wachungaji hao walifika kijijini hapo wakidai kuwa wanao uwezo wa kumfufua marehemu mwanakijiji mwenzao aliyefariki dunia hivi karibuni na...
  17. real G

    Mahakama Kuu yapinga mgawanyo wa nusu kwa nusu wa mali kwa Wanandoa waliopeana talaka

    Ila ujue mwanamke akiolewa na ambaye hajaolewa ni tofauti...mwanamke akiolewa anakuwa passive kiuchumi kwa kuwa mara nyingi anakuwa mama wa nyumbani, na hata akifanya kazi hawezi kupata muda wa kazi sana akiwa ameolewa, asingeolewa mwanamke huyu angekuwa active zaidi kwenye utafutaji na angekuwa...
  18. real G

    Mwanza: Faini ya 300,000 kutozwa kwa wafugaji watakaopitisha mifugo barabara kuu

    Mwanza. Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, imepitisha faini ya Sh300,000 kwa mfugaji atakayebainika kupitisha mifugo barabara kuu. Akizungumza na kamati ya maendeleo ya kata za Lubili, Sumbugu na Isenegeja wilayani hapa juzi, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Eliurd...
  19. real G

    Midume kunapiga picture na kuanza kuiedit na kuweka madoido, huu ni ushamba au ulimbukeni?

    fid q amepiga scrub? ila kama ni kwaajili ya matibabu sio kama za kawaida Ni kama mtu anayjifanyia upasuaji wa matiti kwa ajilinya urembo na mwingine kwa ajili ya matibabu huwezi walinganisha
Back
Top Bottom