Search results

  1. TGInnocent

    Biashara kupitia/kutumia mitandao

    Great thinkers, Habari za asubuhi. Ninaomba kusaidiwa kuelimishwa namna biashara kwa njia ya mitandao inavyofanywa. Nitafafanua ili nipate ushauri unaokidhi shauku yangu. Mfano nataka kutengeneza bidhaa aina ya taarifa (elimu, hotuba au vitu, nk). Lengo ni kutaka kila anayepitia na kusoma au...
  2. TGInnocent

    Nini kimesikika toka watawala wa Afrika tukio la uchaguzi Kenya

    Habari za Jumamosi great thinkers Tukio la mahakama kuu ya Kenya kutengua matokeo ya uchaguzi wa raisi wa Kenya linazungumzwa kama tukio la kihistoria katika demokrasia za siasa za Afrika. Mimi binafsi sijasikia hotuba au tamko rasmi toka viongozi/watawala wetu na hususani toka katika bara...
  3. TGInnocent

    Nyama choma ya tarehe 7.7.2017: Mrejesho

    Habari wana JF. Kulikuwa na mwaliko wa kushiriki nyamachoma kwa JF members siku ya sabasaba. Naomba tupate mrejesho wa kilichojiri siku hiyo (kama mada iliisha letwa basi mniwie radhi sikuiona). Mrejesho husaidia katika kupanga matukio mengine ya jinsi hiyo wakati ujao. Baadahi ya maeneo unaweza...
  4. TGInnocent

    Ninafikiri naweza kupata a serious wife toka humu JF

    Ninafuatilia taraka kwa mke tuliyeshindwana kuendelea kuishi naye. Maswali yatajibiwa kwa potential wife through pm. Wasema hovyo wanaruhusiwa kuongea kuondoa stress zao. Ex wife anajijua, naomba usilete fujo kwenye pm, ila unaruhusiwa kujieleza hapa. Maelezo ya msingi yanayo nihusu kusaidia...
  5. TGInnocent

    ITV Supper bland

    Hebu wafanyakazi wa ITV najua hamkosekani humu jamvini mniambie hii supper brand title mliipata zamani bado inaendelea? Leo Alhamisi tar 2 saa 5.30 asubuhi, nimeshangaa vipindi vya capital tv vimeingiliana na vya itv bila hata maelezo. Program iliyo kuwa ikiendelea ilikuwa ni marudio ya film ya...
  6. TGInnocent

    Mh. Shukuru Kawambwa ITV kipindi cha Dakika 45

    Wadau wa elimu, fungua itv mh. Kawambwa, waziri wa elimu anahojiwa (recorded) ili uweze kupima ubora au mapungufu ya sera ya elimu iliyo zinduliwa ijumaa na mh JK
  7. TGInnocent

    Udhibiti wa simu za mkononi kwa wanafunzi hasa wa kike

    Wanajamvi naomba nichote busara zenu niweze kumsaidia binti ninayeishi naye aweze kumaliza sekondari vema na ikiwezekana kuendelea na masomo. Ninaishi na mtoto wa mjomba wa mke wangu. Huyu binti alikuwa na maendeleo mazuri sana alipoanza sekondari mpaka kufaulu mitihani ya kidato cha pili bila...
  8. TGInnocent

    Yaliyojiri bungeni - tarehe 19.03.15

    Kulikuwa na thread leo (19.03.15) ikidai kuwa Zitto angeaga wabunge leo. Sijasikia kama tukio hilo limetokea, au taarifa zilikuwa uzushi tu!?
  9. TGInnocent

    Zitto ndani ya kipindi cha Dakika 45 za ITV - Machi 16, 2015

    Natarajia atajibu vitendawili vingi katika kipindi hicho ikiwa ni pamoja na uanachama wake CHADEMA na ACT, tuhuma za mgao wa escrow, nk. Please karibu tusikilize Jumatatu.
  10. TGInnocent

    Kwa nini Kubaki Madarakani ni Jambo la Kufa na Kupona kwa CCM na wanachama wake?

    "Wana Si Si M lazima tuelewe ni kwa nini tunalazimika kama chama na kama mwanachama mmoja mmoja kufanya kila linalowezekana (lolote na liwe) kuhakikisha kuwa mwaka huu 2015 tunachukua uongozi wa nchi (kiti cha Raisi wa nchi). Hutujali sana kwa wapinzani kuchukua viti vingi bungeni kwa vile...
  11. TGInnocent

    Kwanini watu wengi huogopa Hesabu?

    Watu wengi niliosoma nao tokea shule ya msingi mpaka chuo wamekuwa wakiogopa sana kujihusisha na michepuo ya masomo ambayo ina hesabu kwa wingi, au ikitokea somo la hesabu ni lazima katika mchepuo huo, hufanya vibaya sana katika somo hilo. Rafiki mmoja alitutania kwa kusema yeye amependelea...
  12. TGInnocent

    Madudu ya Wizara ya Nishati ESROW a/c - BOT, IPTL, TANESCO

    Rejea utetezi wa Waziri Mkuu bungeni.....Kadanganya kuwa IPTL walivuta fedha za akaunti ya ESCROW. ukweli ni kama waraka huu wa mahakama unavyo fichua........ ========================================
Back
Top Bottom