Search results

  1. M

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Japo ukubwa wa nchi sio uwezo wa kijeshi lakini hata mimi nimekerwa na maneno anayozungumza huyu bwana. It is so disrespectful .....nadhani angekua Mkapa vitu vingekua tofauti kidogo. Hakuna sababu ya kuwa mnyonge kwa kitu unachokiamini. Nilitegemea Kikwete arudie tena maneno yake bila...
  2. M

    Kwa jambo hili sintomsahau Mh. John Mnyika!

    Changanyikeni imehamia jimbo la UBungo lini? Nadhani umeteleza kidogo, Jimbo lako ni la Kawe.
  3. M

    Slaa awalipua Rostam, Riziwan

    Hehehehe kama muongo MSHTAKI.
  4. M

    Hongera Bi. Elsie Kanza, mshauri wa Uchumi wa Rais Kikwete!

    Mheshimiwa this is extracted from TCCIA Prospectus of 2005. If this is correct, inamaanisha takuwa na mika 36 mwaka huu. Elsie S. Kanza (29) holds a B. Sc. (Cum Laude) in International Business Administration from the United States International University – Africa Branch (USIU-A) Nairobi...
  5. M

    Hongera Bi. Elsie Kanza, mshauri wa Uchumi wa Rais Kikwete!

    Hiyo ni accreditation yake marekani Affiliation
  6. M

    Hongera Bi. Elsie Kanza, mshauri wa Uchumi wa Rais Kikwete!

    United States International University | About USIU ....... This university is accredited in Kenya and US.
  7. M

    Kikwete MUST resign [facebook page]

    umeingiaje huku?:a s 13:
  8. M

    UDSM : CHUO CHA 13 KWA UBORA AFRICA. TANZANIA NI NCHI YA NNE AFRICA Kwa Chuo Bora.

    Mkuu ukiwa unatuma post usome kwa makini .... We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for...
  9. M

    Tido Mhando atemwa TBC

    Acid, I always thought Mkuu wa TBC ni presidential appointee na sio kazi ya kutangaza......Mwenye uhakika na hili atujuze.
  10. M

    When Teddy Kalonga met Wesley Snipes

    escort girl ...........
  11. M

    Kumbe JK alikuwa anampinga Lowassa kimya kimya?

    Sioni sababu ya kumshambulia mtu kama umepishana nae hoja ............cha msingi ni kutoa maoni yako ili mjadala uendelee.........tujaribu kuchangia mada zaidi kuliko kuangalia nani ametuma na amesema nini. Back to the topic .......mimi naona kama kitu sio kizuri basi kizuiwe kwa wote haina...
  12. M

    Liyumba kufunguliwa mashtaka mapya

    Mwandishi ameweka wazi kwamba hizi ni TETESI na sio TUHUMA.........hivyo basi tusubiri tuone kama ni kweli au la! ..........Taarifa zote zinaanzia mitaani.
  13. M

    Is our president serious?

    This is very sad! Pamoja na kukutwa off guard lakini still he should have done better.
Back
Top Bottom