Search results

  1. Todito

    Msaada: Nimepokea Pesa kutoka Worldremit kuja Mpesa lakini sijapata ujumbe wa Mpesa

    Kwema? Nimepokea pesa kidogo kutoka kwa rafiki yangu nje ya nchi na kwa sababu PayPal haipokei pesa Tanzania nikamuomba anitumie kupitia Worldremit. Tayari kanitumia tangu saa sita mchana na sasa ni saa kumi na nusu na nimepata Sms hiyo (Screenshot)ila salio kwenye MPESA hakuna kilichoongezeka...
  2. Todito

    Uzi Maalumu wa Kuwakumbuka Bibi na Babu zetu..

    Wakuu kwema? Katika ukuaji wetu kiukweli ukitoa wazazi wetu, Bibi na Babu zetu walikua wakarimu wanyeyekevu na wenye upendo mkubwa sana. Bibi yangu wakati wa likizo ilikua tukifika kijijin tu anatupokea kwa vigelegele na kuimba nyimbo za kilugha huku anaruka ruka na mara moja kuku atachinjwa...
  3. Todito

    Kipindi Bora zaidi cha Television na Radio Tanzania...

    Wakuu habari za leo? Nimepata mtafaruku wa moyo sana leo kuwaza ni kipi kimewahi kua kipindi bora zaidi cha Radio na Television hapa nyumban Tanzania. Kwa upande wa Television kwangu vipindi bora zaidi ni÷ 1) Bongo Star Search ya Madam Rita 2) Ze Comedy ya kina Masanja EATV 3) Mkasi wa Salama...
  4. Todito

    Msaada Tafadhali naomba kufahamu chuo cha mifugo na uvuvi (Livestock Training Agency Temeke)

    Wakuu hongereni kwa sikukuu ya Eid. Husika na kichwa cha habari hapo juu chahusika. Naombeni msaada sana wa kufahamu chochote kuhusu chuo tajwa hapo juu. Nina ndugu kijijini kachaguliwa hapo ngazi ya Diploma ukoo mzima unanitegemea mim kuwapa jibu la mwisho kuhusu chuo hicho mawasiliano, ubora...
  5. Todito

    Yupo wapi siku hizi?

    Habari wakuu. Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi maalumu wa kufahamu walipo baadhi ya watu wetu waliowahi kujulikana sana enzi hizo. Leo naanza kwa kutaka kujua wapo wapi watu hawa? 1) Flora Nducha wa Radio One 2) Enika wa baridi kama hii 3) Peter Manyika- Kipa wa Yanga 4) Snare wa East Coast...
  6. Todito

    Natoa mikopo kwa walimu tu.

    January ni mwezi mgumu. Natoa mikopo kwa walimu(wafanyakazi wengine nafasi ni chache)
  7. Todito

    Kiwanja kinauzwa Bonite Moshi.

    habari wakuu kiwanja kinauzwa Bonite moshi Kilimanjaro 20 kwa 20 bei ni shilingi million 8 tu taratibu zote za kisheria na kiserikali katika mauzo zitafuatwa tafadahali ni PM kwa maelezo ya ziada na kama utataka kukiona Ahsante
  8. Todito

    Wataalamu wa madini hii ni aina gani ya jiwe?!

    msaada tafadhali ninaweza kujua aina hii ya madini
  9. Todito

    Niuzie betri ya simu ya halotel H8401

    rejea kichwa cha habari chahusika. naandika kuomba niuziwe betri ya simu ya halotell H8401 nimezitafuta sana madukani kwao Arusha Dar na Mwanza hawana kwa aliye nayo naomba aniuzie na pia ni fursa kwa wafanyabiashara kuziingiza sokoni maana kwa sasa hazipo kabisa. ahsanteni
  10. Todito

    Napatwa na njaa kali kila wakati!

    Ahsante kwa ushauri wakuu!!
  11. Todito

    Setrac foundation

    Tufuate facebook kwa kuandika "supporting education to rural african child" ni NGO's mpya inayotafuta vollunteers kwanza
  12. Todito

    Non gorvarment organization

    SUPPOTING EDUCATION TO RURAL AFRICAN CHILD-(setrac foundation) tufuate kwenye facebook ni asas mpya inayotafuta vollunteers then tutawapa award au ajira
Back
Top Bottom