Search results

  1. Gosheni

    Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

    Ki ujumla hata kama ni kweli panaweza pakawa na up upungufu wa mafuta, mkurugenzi hakupaswa kutamka maneno hayo mbele ya umma. Hii ni kuleta taharuki isiyo kuwa na sababu. Upo uwezekano shida ikajitokeza muda sio mrefu, watu watapanick na kuanza kujilimbikizia hata wasivyo hitaji.
  2. Gosheni

    Nauza vitunguu maji zaidi ya gunia 80

    Hapo Dumila ni matapeli, wanamtandao mkubwa sana wa wizi. Natoa onyo, hao ni wezi.
  3. Gosheni

    Hii Ndoto imenisumbua sana leo

    Hiyo ndoto siyo nzuri kwako. Fanya maombi ya kufunga kukataa roho ya mauti juu ya maisha yako, kataa roho ya kukataliwa. Tafuta msaada kwa mtumishi wa Mungu aliyesimama vizuri kiroho. Usiipuuzie hii ndoto, ifanyie kazi.
  4. Gosheni

    Msemaji wa Jeshi la Polisi ashambuliwa na raia kwenye mazishi ya ASP Kirumira

    Pole na udini wako, mwaka huu kuna ofisa mkubwa wa polisi aliuwawa, Kama mwezi mmoja umepita kuna mmbunge aliuwawa kote huko Uganda
  5. Gosheni

    Kuna hoja nyingi za kutokukubaliana na Dr. Nchemba

    Big up! Wanatuchezea akili tu.
  6. Gosheni

    Zitto Kabwe: Tuamue kuchukua demokrasia yetu badala ya kusubiri kupewa

    Nani atakae waua? Kumbe mnaona raha kuua wenzenu? Kwa kosa lipi hasa walilofanya? Ajabu ni kwamba hakuna atakae ishi milele, endeleeni kujidanganya na kujiona miuungu.
  7. Gosheni

    Nadiriki sema mtoto wa kike hana faida. Tumtegemee kwa mengine ila si kimsaada kwenye familia yake

    Hilo ni kosa la wazazi wenu hawakujua namna ya kuwaunganisha. Jitaidi hali hiyo isije tokea kwa watoto wako, si jambo la kujisifia. Pia yaonyesha namna umeshindwa kusimama na kuunganisha familia.
  8. Gosheni

    Ansbert Ngurumo: Taifa linaelekea pabaya sana

    Ninaposoma hii story majihisi machozi kunitoka, japo inaweza kuwa ya kutunga. Una dhani kwa nini mimi nisiiamini hii story? Tunaona watu wanauwawa, tuna ona chaguzi zilizopita namna watu walivyofanyiwa, bado kiongozi anaweza kisimama hadharani bila woga wala aibu anatamka mambo ambayo labda...
  9. Gosheni

    Nani alaumiwe endapo CCM itashinda jimbo la Kinondoni na Siha?

    Umeongea vema mtoa mada, kati ya vitu vitawaumiza chadema ni kushiriki huu uchaguzi ilihali walishasema hawata shiriki kwa sababu walizotoa. Mimi ninawaomba wasiwambie wananchi kwenda kulinda kura. Watakapo fanyiwa rafu wasilalamike.
  10. Gosheni

    Tuongee asubuhi na Albert Msando! Mada: Hama hama ndani ya vyama vya Siasa. Je, ni kukua kwa demokrasia au ni rushwa?

    Sijui ni kuogopa kuadhibiwa kama Lisu na serikali au ni njaa ambayo inawasumbua. Nachoona unasumbuliwa na njaa, kama ingekuwa ni uoga ungenyamanza kimya, wala hakuna ambaye angekufuata. Msiidhalilishe taaluma ya habari kiasi hicho.
  11. Gosheni

    Nawaandikia wapinzani, yaani vyama vyote vya upinzani hapa Tanzania

    Nia yenu ni kutoa kafara za watu,acha kuwaza kwa kutumia tumbo. Hii ndio shida ya kuwa na waandishi waganga njaa. Mtu na akili zako timamu unaweza ukashauri upinzani kushiriki uchaguzi katika mazingira haya? Nieleze ni lini ulienda kulinda kura za upinzani, ukinieleza, nitajua unamaanisha, la...
  12. Gosheni

    Nimefilisiwa na TRA, sijui hata maisha yataendaje na nina watoto wadogo

    Pole sana kaka, mwamini Mungu atakuonyesha njia ya kutokea.
  13. Gosheni

    Nitawashangaa CHADEMA kushiriki chaguzi zinazokuja.

    Ninania ya kuwasilisha kinacho nikereketa, japo sipo vizuri ila natumaini mtanielewa. Tmeshuhudia namna chaguzi za 26nov zilivyoendeshwa na kufanyika pamoja na kisimamiwa. Kwa namna nilivyoutathimini uchaguzi huu ni sawa na pambano la mabondia ulingoni, bondia mmoja kafungwa kamba mikono na...
  14. Gosheni

    Haipiti wiki naota napiga pepa la form 4

    Hiyo ndoto hata mimi huwa inanijia. Mtihani ni majaribu, hiyo ndoto sio nzuri, ndio mana unakuwa na hizuni. Kama wewe ni mkristo, jitaidi kusoma kwa bidii biblia kwa kuielewa, tunashinda majaribu kwa kulielewa neno, omba na kufunga kwa bidii. Kifupi Mungu anahaja nawe, umekuwa mbali naye...
  15. Gosheni

    Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

    Mashujaa wote ndio hufa mapema, waoga wote huishi muda mrefu. Uoga wako ni mzuri, ila unakukosesha mambo mazuri pia.
  16. Gosheni

    Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

    Hitler hakuwahi shinda uchaguzi, watu walikuwa wanamshitukia. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Gosheni

    ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

    Pole sana kwa kuona ukokole hauna mana kwako. Tambua hapo ulipo ni neema ya wazazi wako imekuja juu yako. Nakuhakikishia ni neema ya Mungu inatenda kazi yako wala sio juhidi zako. Jiulize ni kwa nini uwe na uwelewa wa namna hiyo tofauti na watu wengi sio tu wa umri wako hata ambao wanakuzidi...
  18. Gosheni

    Ni kweli kwamba ukiwa na pesa unaweza kumchukua mwanamke yeyote hapa duniani unayemwitaji?

    Ndio mana yeye ni tajiri wa kwanza duniani kwa sababu hawezi kufanya huo upuuzi. Kwa kuwa wewe ndio unayo wazo, sahau kuwa tajiri. Inashiria wewe ni kati ya wale, ambao wakipata pesa, wazo lao la kwanza ni kuhonga. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom