Search results

  1. laut

    NAUZA NYUMBA MOROGORO KIHONDA VETA SHS 38 MIL

    Nauza nyumba Morogoro Kihonda Veta (Yespa) ina vyumba vinne Kati ya hivyo viwili ni self, sitting room, Public toilet,jiko, dinning na stoo na choo Cha nje .Nyumba bado haijafanyiwa finishing. Ukubwa wa kiwanja Cha nyumba hiyo ni Sq mita 1,100. Kwa mahitaji piga 0755630063 au 0654309320. Nyumba...
  2. laut

    Nauza nyumba Tsh. Milioni 38 ipo Morogoro Mjini

    Mimi sio dalali nyumba ni ya kwangu
  3. laut

    Nauza nyumba Tsh. Milioni 38 ipo Morogoro Mjini

    Picha sasa ndio nimeweka usichelewe kama unahitaji maana bei nimeweka ndogo sana ukilinganisha na uhalisia
  4. laut

    Nauza nyumba Tsh. Milioni 38 ipo Morogoro Mjini

    Kamera iliyopiga picha tu sio nzuri madirisha ni ya grill, mchwa hawawezi Kila chuma
  5. laut

    Nauza nyumba Tsh. Milioni 38 ipo Morogoro Mjini

    Nauza nyumba Morogoro Kihonda Veta (Yespa) ina vyumba vinne Kati ya hivyo viwili ni self, sitting room, dinning na stoo, Public toilet, jiko na choo cha nje. Bado haijafanyiwa finishing. Ukubwa wa kiwanja Cha nyumba hiyo ni Sq mita 1,100. Kwa mahitaji piga 0755630063 au 0654309320. Nyumba...
  6. laut

    Material ya MBA Marketing online

    Naomba msaada kwa anayejua links za kupata material ya MBA
  7. laut

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Wana JF nifanyeje ku update Receiver ya wiztech 8010 HD Classic ili iwe na uwezo wa ku edit Biss keys
  8. laut

    Namna ya kupata Satellite FTA Tv channels

    Wana JF naomba kujuzwa.Niko Singida na nina Dish la futi 6 nifanyeje ili niweze kupata channel za TV za FTA za movie, Sports, wwe, news na zile za kibongo
  9. laut

    Nataka kufungua kampuni yangu hapa nchini, nisaidieni haya ili niyatekeleze kwa uelewa mkubwa!

    Wana JF naomba mnisaidie.Nataka kuanzisha kampuni nikiwa Singida,je nifuate hatua gani au niende ofisi gani
  10. laut

    Kiwanja kinauzwa Morogoro

    Kiwanja kinauzwa Morogoro eneo la Kilimanjaro mwanzoni kabisa,kimepimwa,kiko eneo la biashara na ni medium density.Msingi wa nyumba ya kisasa umeshajengwa.Bei shs 18m. Kwa anayehitaji 0784496262/0755630063
  11. laut

    Life application study Bible

    wana JF naomba kusaidiwa ni wapi naweza kupata link ya kudownload free Life Application Study Bible (PDF)
  12. laut

    Civil engineering

    1. Wana JF hivi ukichagua Bachelor in Civil Engineering DIT unaweza kupata Mkopo asilimia 100? 2. Katika Civil Engineering specialisation gani ni nzuri.
  13. laut

    Civil engineering

    Habari zenu wana JF.Naomba kujuzwa, hivi mtu akisoma Bachelor of civil engineering anaweza kuajiriwa katika kazi zipi?
  14. laut

    Vifo JKT vyaongezeka

    Hakuna mwanafunzi aliyeomba bali walichaguliwa moja kwa moja kutoka mashuleni
  15. laut

    Vifo JKT vyaongezeka

    Hongera kwa comments zako zenye akili.
  16. laut

    Vifo JKT vyaongezeka

    wanafunzi waliotoka form six mwaka 2013 na kwenda Jkt walipimwa afya lini? Kwa hali hiyo tusishangae kusikia watoto wanakufa.Lakini je nani wa kulaumiwa?
  17. laut

    Vifo JKT vyaongezeka

    Leo Tabora peke yake tena nasiki wameaga maiti mbili.
  18. laut

    Vifo JKT vyaongezeka

    Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.
  19. laut

    Hospitali inayotibu vidonda kwa wenye Kisukari

    Wana Jf naomba msaada wa Hospitali inayoweza kutibu kidonda cha mgonjwa wa Kisukari. Nina ndugu yangu ana ugonjwa wa kisukari na ana kidonda mguuni ambacho hakiponi
Back
Top Bottom