Search results

  1. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    AHAHAHAHA POLE SANA MWANA KIJIJI. KWANI BWANA MNYIKA AMEOA TAYARI. NA YEYE AMEOA UCHAGANI. NASI KAZI KWELI KWELI. MIE NINGEWASHAURI TU KUWA MUWAACHE WAKE ZENU MKAFANYE KAZI TRA. MAANA NAONA WOTE HAMNA AKILI. KWELI KABISA WEWE MWANA KIJIJI NA AKILI YOTE NA HUYU NDUGUYO MHYIKA NA GERRARD...
  2. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    BILA KUANGALIA HISTORIA YA ZANZIBAR, MUUNGANO NI NDOTO Na, Antar Sangali,Bagamoyo Zanzibari yaani Unguja na Pemba ni Taifa dogo lenye historia pana kuliko nchi nyingine katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Na bila kuangalia Historia ya Zanzibar kiundani ni vigumu sana kukiunganisha...
  3. M

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    Ndugu Zangu Assalam Aleykum, Mjadala Huu Mzuri Sana. Hebu Tuwaweke Wazi Hawa Wanaotaka Kuiangalia Hii Nchi Katika Miaka Ishirini Ijayo Maana Naona Hii Mineno Imezidi. Kila Kukicha! Anayewajua Wanaotamani Ukubwa Hawabandike Ubaoni.
  4. M

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    Hallo Kaka Sama Hali Yako.? Ninachokisikia Kikisemwa Hapa Dar Es Salaam Mjini Ni Kuwa Mh. Nchimbi Ambaye Kwa Sasa Ni Waziri Wa Masuala Yetu Ya Vijana Hatogombea Kutokana Na Kutofaa Katika Vigezo Husika. Ila Huyu Mama Amina Wa Mpakanjia Chifupa Ameshatangaza Kwamba Angependa Sana Hii Nafasi...
  5. M

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    hali Zenu Ndugu Zangu Na Wana Forum, Kwa Wale Wa Mahsariki Ya Mbali , Nafikiri Ni Usiku Na Kwa Wale Wa Marekani Kama Sintokosea Ndiyo Mnaamka. Mimi Nina Langu Jambo Nataka Weka Sawa. Kaka Mnyika , Amezungumza Mengi Lakini Nataka Nikuambie Kitu Nafikiri Kitakusaidia Kwa Siku Za Usoni. Jambo...
  6. M

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Haya Ndugu Wapenzi Wapenda Maendeleo, Narudi Tena Sasa Katika Mjadala Wa Kiutendaji....ongara Nambie Kijana Wa Tyva?
  7. M

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    SIJAONA ULICHOONGEA NDUGU YANGU, UMEJITAHIDI SANA KUONGEA LAKINI KUMBUKA TANZANIA NI NCHI KAMA ILIVYO MAREKANI AU UINGEREZA. NAONA UNAANGALIA KWA JICHO LA USUDA TU ILA KUMBUKA KWAMBA NDIYO STYLE ZA WANASIASA WETU. MAANA NAONA MH.MBOWE NAYE ANAKAMUA MBILI KWAMMPIGO. MOJA TOKA MAREKANI NA NYENGINE...
  8. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    SASA NAONA DR.WHO UMEKOSA LA KUONGEA. HUYO ZITO KABWE NDIYO NANI KATIKA HILI. MIE NAFIKIRI HUJUI UNACHOKISEMA. HUYU MWANAKIJIJI AMEFANIKIWA KUINGIZA UJUMBE NDANI YA PARLIAMENT UNAJADILIWA NA HAKUNA LOLOTE LA ZIADA. MIE NAFIKIRI ACHA SIASA ZAUJINGA., WEWE NI PANDIKIZI TUMESHAKUSHTUKIA...U...
  9. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Wabongo Naomba Nichukue Muda Huu Kuongelea Upande Mwengine Wa Shilingi. Nafikiri Mimi Ni Mmoja Wa Watu Waliopata Nafasi Ya Kuangalia Huo Mjadala. Linalotokea Hapa Baada Ya Kusoma Michango Ya Waliotangulia Inaonyesha Wazi Kwamba Kuna Jjambo Kubwa Ambalo Maya Be Hamkulielewa Au Mmelielewa Na...
Back
Top Bottom