Search results

  1. M

    Think b4.

    mhhh ya kweli hayo kweli?
  2. M

    Who Is Enjoying The Fruits Of Your Labour?

    Ki ukweli housegirl ndo haswaa anaie njoy life kuliko hata wewe unayefanaya kazi 24 hrs.Ila kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake.
  3. M

    Vijana kuwachukua mimama!!

    Mimi nafikiri hili jambo ni ukosefu wa maadili yetu . kwni heshima haiuzwi dukani hivyo kujiheshimu au kumheshimu yoyote ni maamuzi ya mtu binafsi.hivyo suala la kutembea na mijimama au mijibaba mikubwa ni jambo la maamuzi ya mtu mwenyewe hasa asiyekuwa na maadili na kujiheshimu.
  4. M

    Hatima ya Manji na Uchunguzi wa EPA

    Manji anaogopa !!! asife mapema tunamwombea apone ili arudishe mamilioni ya wazalendo waTanzania halafu ndio afe.... Madaktari wajitahidi kurudisha afya yake huyo gwiji wa Mafisadi.
  5. M

    Kuwahusu Karamagi, Rostam, na wenzao...

    Mhhh sasa tusubiri tuone mwisho wake. Tunaomba alie na habari kamili kuhusu haya atusadie tuufahamu ukerli wa habari hizi.
  6. M

    Mtoto wa miezi minne azungumza mazito

    Mungu ana mabo mengi na tusipende kubisha mambo tusiyoyajua inawezekana ni kweli kabisa huyo mtoto anaongea kwani kuna watu wameshudia hayo. acha wafu wazike wafu wao.
  7. M

    Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Mhh yani send off inasababisha mahakama kuahirisha kesi??? kweli hii serikali ni ya watu wachache.
  8. M

    Maajabu ya Mungu: Mtoto alelewa na Nyani miaka 5!

    Inawezekana ni kweli aliishi na hayo manyani mimi na wewe hatiwezi jua kwani hata huko kijijini hao wanaofanya reseach mara nyingi hawafiki seshmu hizo.Acha wafu wazike wafu wao.
  9. M

    Wasanii kushtakiwa na kufungwa: Baada ya TID je atafuatia Sir Nature?

    Mhh sasa huyo Sir Nature naye mbona anajitafutia matatizo? anatakiwa sasa atafute lowyer ili amsaidie.Sasa naye ajifunze kutokana na makosa aliofanya.
  10. M

    Ukistaajabu ya Mussa...

    Hao wote wanosema watu wasiseme maswala ya EPA namini hata wao wamo huko huko kwenye wizi wa fedha hizo, kwanini linawauma sana wana matatizo gani wawaache watanzania wawe huru kuongea na kujua yanayoendelea katika nchi yao. WIZI MTUPU!!!
  11. M

    Bei ya mafuta yashuka kwa 54%

    Mimi nafikiri serikali inajuana na hawa wauzaji wa mafuta nchini kwanini basi bei za nauli kwa walalahoi isipungur anagalau wakajinasua kwenye huu umasikini? Hivi kweli haya ndio maish bora kwa kila mtanzania?
  12. M

    tukiiba tukumbuke kuacha nusu za mdhamana mahakamani..

    Hawa wanatudanganya tuone kuwa wamefanyia kazi suala la EPA lakini kimsingi hio ni danganya toto tu kwani hio kesi inaweza kukaa huko mahakamani hata miaka 20 je si lazima mtasahau tu. JK anajua wabongo hamuwezi kumfanya lolote anweza fanya lolote atakalo.
  13. M

    Mkuki kwa nguruwe..!

    Wanaume sio wavumilivu hata kidogo kama walivyo wanawake. Mwanaume anaona ana haki kwa kila kitu hata akifumaniwa yeye ana haki tu. Swala la uchavu hata mwanamume ana kuja na uchafu huo huo nyumbani kwani huko alikotoka pia si ailikuwa anafanya uchafu. Swala ni kuwa wavumilivu na kuchunga ndoa...
  14. M

    This is University of Dar es Salam bwana,its challenges towards brighter education!

    Mimi naamini kuna wanaojinuafaisha na hivi vyuo vya umma ni viongozi wa serikali yetu hii ya Bwana KIKWETE. kwani wanadai wanawasaidia wanafunzi masikini kusoma kumbe ndio wanawaongezea umasikini zaidi.Kwani kama mwanafunzi atakosa mahitaji muhimu anaweza kujiingiza kwenye mambo mabaya na...
  15. M

    Tumeridhika (Picha)!

    Hali hii inatisha sana ukizingatia nchi yetu ina rasirimali za kutosha kuwasaidia wananchi wake.Ila watu achache wajulikanao kama MAFISADI wameamua kuzikwapua na kuchukua wao wenyewe . majiuliza je haya ndio maisha bora kwa kila Mtanzania? ni bora wananchi wote tungeamua kuwa kama wale jamaa wa...
  16. M

    Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

    kiongozi mwadilifu ni yule asiyependa ubinafsi na anayependa nchi yake kwa dhati. Je wapo wangapi kama hao Tanzania
  17. M

    Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

    Kama sio mwalimu nyerere leo tanzania ingekuwa wapi????
  18. M

    Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

    If you fill your heart with regrets of yesterday and the worries of tomorrow, you have no today to be thankful for.
Back
Top Bottom