Search results

  1. Jembe Ulaya

    First Lady- 2016

    Mwalimu wa chemistry Ilboru (Mama Lowassa) vs. Mwalimu wa shule msingi Mbuyuni (Mama Magufuli).
  2. Jembe Ulaya

    Swali Lisiloulizwa: Ikitokea Hivi Itakuwaje kwa Mgombea Urais CHADEMA?

    Askari anayeenda vitani akiwa na Plan A, B, C, D sijui mpaka Z anajiandalia mazingira ya kushindwa. Total concentration hamna. Kujiamini hakupo. Na ni wapi anapojua sasa Plan A imeshindwa nirukie B au C. Na hizo Plan zingine wakati akipanga mikakati yake inazipa uzito kama Plan A?
  3. Jembe Ulaya

    Mwenyekiti wa CCM Singida ajiunga na CHADEMA usiku huu

    Kila anayetoka chama chenu kuja Chadema unamwita fisadi. Sasa tukiitaje chama chenu? Chama cha kuzalisha Mafisadi au Chama cha Mafisadi Mtarajio au?
  4. Jembe Ulaya

    VIDEO: Kitila Mkumbo aunga mkono hatua ya Lowassa kujiunga na CHADEMA

    Anashauri chama chake kiunge mkono wajinga. Sasa nani mjinga hapo?
  5. Jembe Ulaya

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Pole Mwampamba. Kutoka kura 32,000 ulizopewa na wana Mbozi wakati ukiwa mgombea kupitia Chadema mpaka kura tatu! Duh! Heri uache siasa au uvae sketi upewe viti maalum. Na huo mwili utapendeza kweli kweli.
  6. Jembe Ulaya

    Kujiunga UKAWA inabidi kujitoa fahamu

    Asante. Umesema Once and for all hutasema tena UKAWA haishindi urais. Ukirudia hayo maneno ni haki yangu kukudhalilisha kwa kusema uongo.
  7. Jembe Ulaya

    Masikitiko yangu kuhusu Chama Changu

    Sio vizuri mtu mzima kuaminishwa bila kujua ukweli wa mambo. Nakushauri kwa dhati kabisa kaisome orodha ya mafisadi kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Sikiliza maneno aliyosema Lowassa siku anajiunga na chama. Sikiliza maneno ya viongozi wa chama wakimpokea Lowassa halafu fanya maamuzi sahihi. Ukimya...
  8. Jembe Ulaya

    Dr. Slaa: Natishwa

    Hata mimi na familia yangu tunatishwa na gazeti la Raia Tanzania.
  9. Jembe Ulaya

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Kwa kutumia katiba uliyoiandika wewe au?
  10. Jembe Ulaya

    Lema anatumia nguvu kubwa kuitisha mkutano leo tofauti na zamani kwanini?

    Anataka mkutano wa leo uwe mkubwa kuliko hapo zamani.
  11. Jembe Ulaya

    Mimi kada wa CCM najitoa hadharani, namuunga mkono Zitto 'Kabwe

    Achana na Zirro Kubwa. Wanaopenda mabadiliko Tanzania tuungane UKAWA kuiondoa CCM na mfumo wake tupate Katiba Mpya na Tanzania Mpya.
  12. Jembe Ulaya

    CHADEMA sasa imekuwa pango la wanyang'anyi

    Lowassa amefuata taratibu zote za chama na amekuwa mwanachama. Amefuata taratibu zote za chama katika kukiwakilisha chama kuwa mgombea urais. Tatizo lako ni kwamba labda wewe hukusoma Katiba ya Chadema wakati unajiunga nacho (kama kweli wewe ni mwanachadema). Lowassa na friends of Lowassa wana...
  13. Jembe Ulaya

    Ushauri muhimu na wa bure kwa CHADEMA kuhusu muafaka utakaowaunganisha Dr Slaa na Lowassa

    CHADEMA kunagawiana majukumu siyo vyeo wala ulaji. Fikra za namna hii zitaturudisha nyuma na kuleta malumbano yasiyo na tija.
  14. Jembe Ulaya

    Je! Ni Kweli BVR Machine zina Background Database of Pseudonames?

    Vilevile kuna haja ya kujiuliza inakuwaje NEC wanasema wamepita malengo yao ya uandikishaji kwa kiasi kikubwa wakati watu wengi wanalalamika wameshindwa kujiandikisha.
  15. Jembe Ulaya

    Kulingana na meta info. Picha ya myika kuwepo kwenye mkutano ni uongo.

    MaCCM ....... Kama si fisadi ni zezeta.
  16. Jembe Ulaya

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Yeriko ametumia uwongo kujaribu kumweka Dr Slaa karibu na Chadema, yeye amepangua. Wakina Ritz wanatumia uwongo kumweka Dr mbali na chama na yeye amekaa kimya. Hicho ndicho kinachonisikitisha. Dr tunayemfahamu siyo huyu. Mimi simwamini Lowassa vilevile na wala simtetei. Lakini nitakuwa...
  17. Jembe Ulaya

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Inasikitisha kwamba Dr Slaa anamkaripia Yeriko Nyerere ambaye amesema uwongo kwa dhumuni la kukiokoa Chama lakini hayuko tayari kuwakaripia wakina Ritz, JayOne na wengineo wenye kusema uwongo kwa dhumuni la kukisambaratisha Chama.
  18. Jembe Ulaya

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Tatizo la Dr Slaa ni kwa mkewe Josephine. Dr Slaa hautaki Urais lakini Mkewe ana hamu sana ya kuwa first lady. Baada ya Lowassa kuingia Ukawa amekuwa akimwabia Dr Slaa akae pembeni kwani yeye Josephine ameshajivua uanachama Chadema.
  19. Jembe Ulaya

    Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Amesafishwa kwa JIKI a.k.a JK a.k.a Jakaya Mrisho Kikwete
Back
Top Bottom