Kama unataka makao makuu kwa maana ua taifa ni upanga lakini kama unataka sido kwa mkoa wa dsm ni nyerere road kituo kinaitwa sido ni next to vingunguti kama unatokea tazara kuelekea airport
Kagame jana kosa maana tayari alishakiri yeye na mkurunziza hawana demokrasia na sasa anataka kikwete aoneshe demokrasia ili ajitofautishe na yeye pamoja na nkurunzinza
si hapo tuu,,,,,,ukweli ni kwamba serikali inatumia pesa nying sana kulipa wafanyakazi ambao hawaingizi chochote. ni tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria na kwa style hii serikali kupiga hatua kimaendeleo tusahau. anatakiwa mtu mmoja mwenye uchungu na serikali ili afumue kila kitu na kujenga upya...
ww una uwezo wa kujua kilichopo moyoni mwa mtu? nani awezae kujua mawazo ya mtu? kwani wote waendao kwenye mazishi fulani wana dhamira ya kweli? unapima kwa kipimo gani ili ujue mwenye dhamira ya kweli na asiye na dhamira ya kweli? tangu lini tanzania tuna tamaduni za kuchagua watu wa kwenda...
MIMI pia nakushauri kuingia kwenye website ya kila mmoja pitia kwa utulivu na kufanya maamuzi kulingana na mahitaji yako. kila mtu ana mipango yake na mahitaji yake binafsi
Samahani sana, halikuwa lengo langu. mimi nilivyoona mambo ya cummulative grade nikajua bado hujamaliza. mimi ninavyojua kama tayar umemaliza unapata GPA na si CGPA na huwa haina decimal places mbili. Pole na samahani sana halikuwa lengo langu na nina muda sijatembelea huku ndo sababu...
Mungu anakuandaa ili akupe kazi kubwa ya kuudumia watu wake, lazima akupe training/coaching ya kutosha ili atakapokukabidhi hiyo kazi uifanye kwa uaminifu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.