Search results

  1. M

    Kwa wafanyabiashara wa dagaa na samaki

    Umeiweka vzuri mkuu, asante
  2. M

    Kwa wafanyabiashara wa dagaa na samaki

    Kama wewe ni mfanyabiashara wa dagaa au samaki, upo Dar, mi niko Mwanza, natoa service ya kukutafutia na kukusafirishia kwa njia ya basi, my service charge ni Tzs 35,000.
  3. M

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Forex traders jamani msaada nikiwa Tanzania nawezaje ku withdraw pesa, inawezekana kweli?
  4. M

    How criminals in Tanzania are hiding in the name freedom of speech on a cyber space

    Well said, you shut them off, they are all silent, Tundu Lissu Tundu Lissu who is Tundu Lissu
  5. M

    Je ni sahihi kwa Hakimu kupindua maamuzi yake mwenyewe

    Kuna sababu moja uliyoitaja na alikuwa anafanya makusudi nayo ni kutokuhudhuria kwenye kesi, alikuwa haudhurii ni mara chache sana, Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Je ni sahihi kwa Hakimu kupindua maamuzi yake mwenyewe

    Jamani naomba msaada wenu, kuna kesi tuliifungua mahakamani juu ya jamaa mmoja mwenye heshima zake na familia, ambaye huko nyuma tulipatana nae kutusaidia kutukopesha kiasi cha milioni 2 ili tuweze kutoa mzigo bandarini,hila tulikuwa hatuna dhamana, tukakubaliana kimuachia gari hili tuutoe huo...
  7. M

    Mashine za selcom na max malipo

    Nina 300,000 kiongozi, uko maeneo gani?, sasa nikinunua hiyo mashine kwako, ndio tosha kuanza biashara au natakiwa kwenda kwao kujirejista?.maana hiyo mashine itakuwa imerejistiwa Kwa jina lako so ndio?
  8. M

    Nafasi ya Mtandao Kwenye mabadiliko ya katiba

    Jamani anayejua link ya website ambayo ninaweza kupata katiba ya Tanzania nitashukuru,itakuwa ni vizuri kama tutaituma jamii forums kuijadili katiba,hasa wale walio nje ya nchi kutumia mtandao kutoa maoni juu ya vipengele vilivyomo kwenye katiba,kama unajua kipengele chochote kwenye katiba...
  9. M

    Serikali Iongeze Juhudi Kujenga barabara Mpya Jiji la Dar.

    Kuna Mwana JM hapa ameelezea kero yake ya msongamano wa magari jiji la Dar es salaam,ni kweli hii ni kutokana kwamba Dar es salaam hakuna Barabara.hizo zilizopo ni kama za kwenda ******.Mimi sasa hivi niko hapa Addis Ababa, Ethiopia kwa masomo, watanzania wengi wakija hapa wanapigwa...
  10. M

    Lowassa, Rostam waumbuana

    Jamani mimi nimebahatika kuishi nje ya nchi, nimeona jinsi viongozi waliofanya makosa serikalinim jinsi wanavyoshugulikiwa, hawa wakinalowasa serikali ingetakiwa iwasimamishe shughuli zote zinazohusihana na serikali, ubunge pia wangetakiwa wavuliwe wawe wananchi wa kawaida,ni upumbavu kumuacha...
  11. M

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Hawa wanatakiwa kufirisiwa mali zao zote pamoja na pesa kwenye account zao,na wangetakiwa wasipewe zamana, na inatakiwa wasimamishwe shughuli zote za serikali tena wafukuzwe kabisa hata kazi za ubunge,ndivyo wanavyofanya wenzetu huku Ethiopia,kwa miaka mitatu sasa wapo mawaziri wanasota kwa...
  12. M

    Tuchukue hadhari kuzuia uagizaji magari makuukuu

    Ni kweli sheria hii ni ya kukurupuka,na haitasaidia kabisa kupunguza ajali,bali nikuwazuiwa watanzania kutonunua magari,Mimi niko hapa Addis ababa,ethiopia, ambapo kila gari lazima liwe na valid inspection document ambayo inadumu kwa mwaka mmoja,hii ni kwamba gari lazima ichekiwe kila mara baada...
Back
Top Bottom