Search results

  1. C

    Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

    Bongo bana nchi ya kinafiki sana. Ufisadi, wizi na iongo uongo tungeuchukia namna hii nchi ingeendelea sanaaaaa.
  2. C

    Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

    Mkuu Uko very right nimetembea na GPS toka Dar mpaka Namtumbo na nilikuwa sijawahi pita njia hiyo toka nizaliwe.
  3. C

    Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

    Tabu kuliko zote ni kuwa bongo is corrupt in nature. Corrupt minds, corrupt thinking, corrupt actions. Lies, pretendences and sometimes criminal thinking. Will be hard to operate Uber in such environment lakini ni possible. Background check is probably the toughest challenge. But the idea is...
  4. C

    Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

    Jamaa kachoka hata mwaka bado? Apunguze man to man, ajifunze kudelegate na kuamini others. Hivi advisors wa mkulu ni akina nani?
  5. C

    Maajabu ya Mugabe: Anawaponda wazungu huku raia wake wakisaidiwa na Wamerekani wasife njaa!

    Wewe unazungumza habari za kufikirika kama mapicha mnayotumiwa ooh!! Flyover ubungo, jiji jipya kigamboni etc. Mpaka asubuhi leo Zimbabwe inatumia USD. BTW yeye si kidume, kwa nn asitumie zim dollars??
  6. C

    Maajabu ya Mugabe: Anawaponda wazungu huku raia wake wakisaidiwa na Wamerekani wasife njaa!

    Wewe unazungumza vitu gani? Hivi unafahamu Zimbabwe wanatumia hela gani kwa sasa?? Official currency ni US Dollar. Kwa nn isiwe Zimbabwe $ au T shillings au Rand??. Au na hii habari utasema iko biased. Huyu babu yenu maneno mingi lakini hakuna mashiko.
  7. C

    Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Mkuu sio kila mtu anaishi kwenye jamii za kijinga na wajinga. Hako kadunia kenu ka wajinga mind u mpo wachache sana and nithing good has ever come from that side. Just saying!!
  8. C

    Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Unajua mpaka najishangaa nimeingiaje kwenye mjadala wa kijinga kama huu, samahani mkuu muendelee na thread yenu ya chuma ulete hahahahaha!!!
  9. C

    Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Haina haja kupoteza muda na watu mnaoishi kane ya 17. Muendelee na kuamini mambo yenu ya kijinga ambayo hakuna hata evidence, hearsay tu na mihemko good luck.
  10. C

    Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Mkuu Mkuu unafahamu kwa nn zamani kila shule ya sekondari iliwekwa dispensary??? Mojawapo ilikuwa ni kampeni ya kupambana na hizi imani, sasa inashangaza in 2016, vijana tena wadogo kabisa mnapiga tarumbeta za uwepo wa uchawi. Najisikia mpaka aibu to share a nationality with some of u. Kwa...
  11. C

    Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Yaani leo aibuke mtu, eti kapita Mwananyamala kukawa na miti miwili mirefu inamfuata, halafu kesho mvua kubwa imenyesha miti miwili imeanfuka barabarani basi tayari ni evidence ya kuwepo uchawi hahahahahahaha!!!!
  12. C

    Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Acheni mambo yenu ya kijinga hapa, na hii leverage ya kipuuzi eti kwq kuwa imeandikwa uchawi upo basi kama huuamini basi hata maandiko huyaamini. Come to ur senses bro before it's too late. Watu wana genetic disorders, autism mnasingizia mkono wa mtu shame on all of u mnaoamini huu upumbavu.
  13. C

    Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Mkuu hakuna jamii ya kijinga kama ya watanzania, hakuna cha the so called wasomi, tena hata maprof, mapadri, wachungaji, wakristo, waislamu kwa wapagani, zaidi ya 99% wanaamini uchawi upo, na nguvu zake zipo it's pathetic hasa ukizingatia this is 2016!!
  14. C

    Mapendekezo kwa Serikali: Jinsi ya kuimarisha shilingi ya Tanzania

    "Cool Runnings said: ↑ Naona wote mnauzunguka mbuyu tu, sababu kuu ya shilingi kushuka thamani ni demand kubwa ya dola, na hii inatokana na wingi wa hela chafu nchini. Linchi letu ni sehemu mojawapo maarufu ya kusafishia hela chafu. Lakini pia wezi wa serikalini na makuwadi wao 'wadosi' ndio...
  15. C

    Mapendekezo kwa Serikali: Jinsi ya kuimarisha shilingi ya Tanzania

    Naona wote mnauzunguka mbuyu tu, sababu kuu ya shilingi kushuka thamani ni demand kubwa ya dola, na hii inatokana na wingi wa hela chafu nchini. Linchi letu ni sehemu mojawapo maarufu ya kusafishia hela chafu. Lakini pia wezi wa serikalini na makuwadi wao 'wadosi' ndio kamchezo kao. Iba halafu...
  16. C

    Kigogo wa BoT azuiwa Airport kutokana na kukosa vibali vya kusafiri nje ya nchi

    Sasa napata picha kubwa kwa nini linchi letu haliendelei. Si wizi na rushwa tu bali pia ukosefu wa mifumo makini na endelevu na pia weledi kiwango cha chini kabisa kwa watumishi wa serikali. Hivi hao wazuiaji wanafahamu wanachokifanya lakini? Wapuuzi kama hawa wanaachwaje serikalini tena kuna...
  17. C

    Mass Shooting in San Bernadino, California

    No a good guy with a gun nearby, as right wingers always suggest to be a solution?
  18. C

    Rais Kikwete, i swear hakunaga!

    Am I even supposed to respond to this one? Mkuu unahitaji "kubrush" kidogo kiswahili unachoandika. Kuchekea wapinzani si ajabu maana hata mafisadi alikuwa anawachekea, wauza unga pia, wazembe in short hiyo si sifa ya mleta amani bali a "weak leader" and that is who he was!!
  19. C

    Rais Kikwete, i swear hakunaga!

    Kuna kitu kinaitwa connecting the dots, and is just what I did. Fuatilia threads za mleta mada utajua kwa nn nimesema hivyo.
  20. C

    Rais Kikwete, i swear hakunaga!

    Tatizo lako linafahamika unayaangalia haya mambo kidini, yes I said it. Kikwete was the worst president Tanzania has ever had. 1. Uliza deni la taifa lilikuwa sh. ngapi kala hajaingia madarakani na sasa ni sh ngapi? 2. Aliwafanya nini wezi mapapa wa EPA, Escrow, Dowans? 3. Ameifanyia nn...
Back
Top Bottom