Search results

  1. J

    Portuguese / Spanish Language Partner

    ¡Holla! E ai galera, tudo bem? . Natafuta mtu / watu wa kuwasiliana naye / nao kwa kutumia lugha hizo hapo mbili kama sehemu ya kujifunza. Kama upo tayari naomba tujulishane na tujadili ni njia ipi inafaa ku-practice lugha hizo (chatting, voice messages, calling etc), kwa sababu naona kadri...
  2. J

    Jifunze lafudhi (accent) ya Nigeria hapa

    Jinsi ya kutamka baadhi ya maneno ya Kiingereza kwa lafudhi ya Nigeria: Google - Gugu Husband - Ozzband Arsenal - Ass Na Paper - Pay Pa Concern - Con Son XBOX 360 - Eggs Bugs Tree Sisty McDonald's - Magdonass Safe Journey - Save Johnny Order Chinese - Hoda Shy Knees Happy Birthday -...
  3. J

    Stori Yangu...!

    Mtoto: Kwa nini umenunua nyumba kubwa hivi? Dingi: Pesa ni zangu, nazifanyia vile nitakavyo. Siku iliyofuata dingi akamnunulia mtoto mdoli (mwanasesere)... Haikuchukua muda dogo akauchomoa mkono wa mdoli. Dingi: Kwa nini umeuchomoa mkono? Mtoto: Mdoli ni wangu, naufanya vile nitakavyo. Siku...
  4. J

    Modem; 3.5G HSUPA haisomi mnara.

    Habari wanateknolojia. Nimenunua modem mpya (3.5G HSUPA, 7.2Mbps), SIMCARD inadetect, tatizo lake mnara hausomi (inaandika x sehemu ya bars za mnara). Nini suluhisho la tatizo hili? Natanguliza shukrani.
  5. J

    Msaada: PC (hp) imezima ghafla baada ya kuchomeka waya wa Sub-Woofer

    Kama kichwa kinavyojieleza wadau. Nimechomeka waya wa Sub-Woofer ambayo ilikuwa imewaka (2 in 1) kwenye pc aina ya hp, ghafla ikazima... na haijawaka tena hadi hivi sasa. Nimejaribu kutoa betri na kuiwasha ikiwa imechomekwa moja kwa moja kwenye chaja, taa ya chaja inawaka, lakini pc haiwaki...
Back
Top Bottom