Search results

  1. S

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Kadinali Pengo ni mkweli au naye ni MSANII TU!? Na mimi nilikuwa najiuliza hayo. Hivi kwanini viongozi wa dini wa zamani ndio walioleta maendeleo na umoja wetu na hawa wa sasa ghafla wanataka kutugawa na kuturudisha nyuma. Jibu ninalohisi mimi ni kwamba iwe ni SIASA au DINI zote zina kazi ya...
  2. S

    Elections 2010 Uchaguzi wanukia

    Uchaguzi wanukia Haya, haya nyie wenye njaa, Uchaguzi unanukia, Kaa mkao wa kufaa, Wamwagaji waingia! Matajiri wenye njaa, Kofia mbili kuvaa, Wasioishiwa tamaa, Hadi mauti kuingia! Wanakuja kuzinunua, Shahada mtazopewa, Hesabu wajipangia, Kila mtu kumnunua. Haya, haya wenye...
  3. S

    Wazimbabwe: Wanahitaji msaada wetu

    WATANZANIA tulijitolea kwa hali na mali kuwasaia ndugu zetu wa Zimbabwe wakati wa vita vya ukombozi, lakini kwa sabubu moja au nyngine hivi leo wakati wanahitaji tena msaada wetu wa hali na mali tumewasahau. Miaka 21 baada ya uhuru Wazimbabwe walio wengi wanateseka na kudhalilika kutokana na...
  4. S

    Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

    Papa Fisadi anapoandika Front Page Story SI UNAWAKUMBUKA ni wale wale wa wakati ule wa zawadi na tunu za kumbeba mwenzetu apige hodi IKulu. Kaingia. Wao mmoja baada ya mwingine kutokana na uchu, tamaa, uroho, ulafi na 'Ujeta' wao wa kutisha (Kumbuka Kusadikika na Shaaban Robert) kila mtu...
  5. S

    State sponsored genocide in MAFIA ISLAND (?)

    Mikoa kama nchi ndogo ndani ya Tanzania ZIARA yangu hivi karibuni huko Rwanda kanchi kadogo pembezoni mwa Tanzania imenionesha kwamba Watanzania tunacheza na sio serious kuihusu maendeleo yetu. Ningeliomba wana JF mfanye mpango mkawaoneshe viongozi wetu uchawi Rwanda inayoufanya leo ili...
  6. S

    Msekwa, Lowassa kuonja Ukonga?

    MNATANIA nyie, halafu nani atanipigia kampeni 2010?
  7. S

    Happy Holidays 2008-09...

    Asalam aleykum, Ama baada ya salamu za kiungwana ni matarajio yangu kwamba tunajiandaa ipasavyo kufunga mwaka wa Kirumi na Kiislamu ipasavyo. Nategemea wote tutakaa na kuanza kujitathmini sisi wenyewe kwa kujiuliza swali moja kuu: 'Je, nimeifanyia nini Tanzania 2008 na ni kitu gani niifanyie...
  8. S

    Tanzania's GDP: Hivi tunajua hili?

    UMUHIMU wa wewe kuchangia mazungumzo haya ni kwamba, chukua mathalani, hili suala la mgawanyo wa kazi na uzamili au kuwa stadi katika fani fulani. Sio rahisi kama linavyoonekana hapa. Utakuta mgawanyo huu wa kazi unashuka hadi kwenye ngazi ya mkoa na wilaya. Pamoja na watu kugawiwa kazi na...
  9. S

    Tanzania's GDP: Hivi tunajua hili?

    Tumeona katika sehemu iliyopita kwamba nchi inaweza ikatajirika au kinyume chake kuondokana na umasikini kwa kufanya mambo kadhaa. Baadhi yake yalikuwa: . kuongezeka kwa rasilimali zilizopo nchini, . kugundulika kwa teknolojia mpya, . kuongezeka kwa kiwango cha matumizi ya rasilimali nchini...
  10. S

    Tanzania's GDP: Hivi tunajua hili?

    PUNDIT NAAM, hakika ni kazi kujua ni wapi siasa inapoanzia na kuishia na wapi kwa upande mwingine uchumi unapoanzia na unapoishia. Lakini ni rahisi vilevile kujua kuwa nchi inaendeshwa kama nchi inayotanguliza mbele uchumi au inayotanguliza mbele siasa. Tiofauti ya nchi mbili hizi ni kuwa ya...
  11. S

    Tanzania's GDP: Hivi tunajua hili?

    Bila kujali kama nchi ni ya kibepari au kijamaa mahala pazuri pa kuanzia kuzungumza uchumi ni maandiko ya mwanzo ya Bwana Adam Smith. Sidhani kuna ugumu kupata maandiko haya katika mtandao. Kwa hiyo mimi nitakwenda moja kwa moja kwa hoja ambayo nataka kuitumia kama msin gi wa kuanza kujenge...
  12. S

    Tanzania's GDP: Hivi tunajua hili?

    UNATAKIWA kusoma kwanza website hizi kabla hujafuatilia mjadala huu au mazungumzo haya kwa makini na uelewa mkubnwa zaidi: TUFIKIRIE tU kuongeza GDP per capita kwa kile tulicho nacho, akili, maarifa, rasilimali chache zilizopo bila kuweka matumaini ya kusaidiwa na nchi hi au ile...
  13. S

    Tanzania's GDP: Hivi tunajua hili?

    INGAWA itakuwa vigumu kubadili tabia za waandishi wetu wanakula na kunywa siasa lakini madhali fursa hii ipo acha nianze kuitumia. Na pengine kuna wawili watatu watakaoniiga na tukaanza kugonga hodi kwenye vichwa vya Watanzania kuwa mabadiliko ya hali zetu za maisha kutoka kwenye umasikini kwa...
  14. S

    Ulaya na Marekani: Sasa kiuchumi taabani

    Ulaya na Marekani rasmi sasa hoi bin taabani WATANZANIA TUANZE KUJIANDAA KUFUNGA MIKANDA KWA MIEZI ISHIRINI NA NNE na pengine zaidi na kama tusipokuwa watundu na wabunifu na kuachana na mazoea basi mamb o yanaweza yakawa magumu zaidi. Mkakati mmoja ni kuacha kukumbatia nchi za Magharibi na k...
  15. S

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Someone asked me how can the boards or authorities I proposed earlier make money. The answer is that the boards or authorities can make money by first establishing institutes that shall not only offer training but research and consultancy as well to Tanzanians and foreigners in their areas...
  16. S

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Utangulizi - Sehemu ya Pili KATIKA sehemu ya kwanza, nimejaribu kuainisha maeneo ambayo kimapokeo viongozi wa Taznaia wamkuwa wakidhani ni lazima yawe na wizara. Niliandika na ninaendelea kuanikwa kwa Kiingereza sio kwa sababu siwezi kufanza hivi kwa Kiswahili bali kwa sababu viongozi wetu...
  17. S

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    IT is widely believed that there is a limit of span of control manageable by an executive. The average acceptable span of control is about 7 although super natural human beings can manage up to about 20 subordinates without delegation and even 200 with delegation and chain of command. Beyond...
  18. S

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    ITAKUWA ni makosa kuitathmini Awamu ya Nne bila kutanabahisha kuwa serikali hiyo ilianza kazi kwa ahadi kubwa kubwa bila kuangalia hali halisi ya wakati na mazingira yaliyokuwepo wakati wa kuingia madarakani. Kama tunavyojua ahadi nyingi hadi wa leo zimekuwa ni nyimbo kiasi cha kusababisha...
  19. S

    The Crisis In Congo..What Can Tanzania Do?

    Huwezi ukawa na amani ya kweli kama jirani zako hawana amani. Hili ni sawasawa na kuamini kuwa magugu kwenye shamba la jirani yako kamwe hayatavamia shamba lako pia. Tanzania itakuwa ikijidanganya kama itaamini kuwa hali ya kivita iliyoko Mashariki ya Kongo haihusu kabisa. Mimi ninaamini...
  20. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    AU kwa kuwa jamaa wanamuona mheshimiwa kama vile anashindwa kuwadhibiti wabara basi ndio wanaanza kumchezea wakijua hawezi kuwafanya lolote kwa upole wake?
Back
Top Bottom