Search results

  1. Ng'wanza Madaso

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimesikia hii habari lakini sijui ina faida ipi kwa mkulima, na inafanyaje kazi. Kwa ujumla napenda mwenye kujua kwa undani kuhusu eKilimo anifafanulie tafadhali. Natanguliza shukrani.
  2. Ng'wanza Madaso

    Katibu Mkuu Kinana, itisha kikao cha Kamati Kuu CCM kumsaidia mawazo Rais Magufuli

    Kwenye kikao wasisahau kumualika kada maarufu Shigongo
  3. Ng'wanza Madaso

    Pengine sababu ya kutumbuliwa DCI Diwani Athuman ni hii....

    Huyu kabla ya kuwa DCI alikuwa police kwa hiyo atarudi huko kwa sababu ndo kazi yake ya siku zote kabla hajawa DCI
  4. Ng'wanza Madaso

    Tenguzi za Rais tangu mwanzo

    Ongeza kama kuna iliyosahaulika
  5. Ng'wanza Madaso

    Tenguzi za Rais tangu mwanzo

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa DCI, Diwani Athumani Today at 4:18 PM Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkinga Oct 18, 2016 Rais Magufuli atengua uteuzi wa RAS Kagera na DED Manispaa ya Bukoba Sep 27, 2016 Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi ya...
  6. Ng'wanza Madaso

    Picha zatisha: Ajali mbaya imetokea Zambia, watu 25 wamepoteza maisha

    Na kwanini Rais asirudi na kujadili hili swala na cabinet yake, kaandika kwenye Facebook na kabaki huko aliko aki enjoy maisha. Wangekuwa ni viongozi wa Ulaya ama Marekani wangerudi nyumbani ili kupata maelezo ya yaliyotokea.
  7. Ng'wanza Madaso

    Picha ya Salum Mwalimu baada ya kukamatwa kwa Uchochezi Shinyanga

    KAZI: Siasa, je hapo ana kosa gani kwani Siasa hufanyiwa chumbani ama jukwaani?
  8. Ng'wanza Madaso

    RC Makonda atoa "ultimatum" kwa Wakuu wa Wilaya kuondoa machinga wote waliovamia mitaa haraka

    Mabomu yameandaliwa kwa ajili ya Ukuta sep most wewe unataka waya tumia sasa yakipungua Sept most itakuwaje?
  9. Ng'wanza Madaso

    Simanjiro: Afa kwa shoti ya umeme baada ya kutamani waya ulioshikilia nguzo ya umeme

    Walioona watawasimulia wenzao ukisubili Tanesco waje kutoa elimu utasubili sana.
  10. Ng'wanza Madaso

    Uongozi Chuo kikuu kishiriki Muhimbili umewazuia wahitimu wa Kikristo chuoni hapo kufanya mahafali

    Ili achangie, si unajua akienda popote huwa anatia milioni 10?
  11. Ng'wanza Madaso

    GEITA: Mchina amshushia kipigo kijana wa kitanzania hadi kumsababishia kifo

    Hivi kweli Koffi Olomide angeyafanya hayo Tanzania Serikali ingeweza kumfukuza nchini?
  12. Ng'wanza Madaso

    MWANZA: Vurumai kubwa yazuka baada ya wafanyabiashara kudai kupandishiwa kodi kwa 1,000% na kugoma

    Hii kali kodi 200,000 ulipie kodi ya pango 300,000 kwa mwezi bado ulipie leseni hapo unadaiwa na Bank kila mwezi je tutafika?
  13. Ng'wanza Madaso

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Hawa ni wale wasiosikiliza wake zao kwa kudhani kuwa wanawake ni mama wa nyumbani wasiokuwa na ushauri wa maana.
  14. Ng'wanza Madaso

    Kila Kadi ya Simu ya Mkononi Kutozwa TShs. 1,000 Kwa Mwezi

    Toa kadi yako ya simu au Acha kutumia simu
  15. Ng'wanza Madaso

    Je, Una lolote unataka kujua kuhusu GreenHouse?

    Kwa wenyeji wa Mwanza wapi nitapata wataalam wa greenhouse?
  16. Ng'wanza Madaso

    UPDATES: The UK has voted by 52% to 48% to leave the European Union

    Naona Leave wamefikisha Milioni na remain wako nyuma kwa 137,764
  17. Ng'wanza Madaso

    Mkutano wa CCM kuzuiwa na Polisi?

    Hapo hapo wanasahau kuwa kuna watu wanalipwa mshahara kwa sababu ya siasa, mfano makatibu wakuu wa chama wilayani, mikoani na Taifa, wenyeviti wa vyama wilayani na mikoani na wengineo wengi.
Back
Top Bottom