Search results

  1. utaifakwanza

    Zitto: Moja ya kampuni ya kusindika tambaku yafungasha virago sababu ya mazingira magumu ya biashara

    huyu chama chake kimemshinda sasa anahangaika na vitu vingine kbs
  2. utaifakwanza

    Tanzania kuiuzia mahindi Zimbabwe tani 700,000

    hongera sana rais wetu
  3. utaifakwanza

    Tanzania kuiuzia mahindi Zimbabwe tani 700,000

    tumieni akili kufikiria na kujenga hoja
  4. utaifakwanza

    Tanzania kuiuzia mahindi Zimbabwe tani 700,000

    Tanzania inazalisha sana mahindi mikoa ya Rukwa, ruvuma,morogoro, Manyara, tabora na kigoma
  5. utaifakwanza

    Tanzania kuiuzia mahindi Zimbabwe tani 700,000

    ACHA WIVU WAKO WA KIKE DADA YANGU.
  6. utaifakwanza

    Hakuna alama aliyoacha Membe katika utumishi wake wa umma 1980 - 2015

    Bernad Membe katika uhai wake na katika utumishi wake wa miaka 35 yaani tangu (1980 -2015) ameshika nyadhifa na madaraka nyeti maeneo mbalimbali nyeti lakini hakuna jipya analoweza kusimama nalo kifua mbele kujivunia mbele za umma hata jamii imuone ni mtu wa maana kumuamini. Membe amekuwa...
  7. utaifakwanza

    Mdude Nyagali na lugha yake ya kiukosoaji katika mitandao ya kijamii

    ametekwa na nani. wakati amejiteka
  8. utaifakwanza

    Mdude Nyagali na lugha yake ya kiukosoaji katika mitandao ya kijamii

    huyu pimb acha abinywe pmbu vzr ataongea yote
  9. utaifakwanza

    Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

    haya ni baadhi ya matusi ya huyu pimbi. acha abinywe p.mb..u ipasavyo
  10. utaifakwanza

    Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

    ashughulikiwe ipasavyo maana alikuwa anatukana sana watu mitandaoni. mpuuzi sana yule
  11. utaifakwanza

    Mbeya mubashara: Rais Magufuli kuweka jiwe la msingi ujenzi wa maktaba Chuo Kikuu cha Teknolojia mkoani Mbeya

    wadau na wananchi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani ambapo rais atahutubia
  12. utaifakwanza

    Mbeya mubashara: Rais Magufuli kuweka jiwe la msingi ujenzi wa maktaba Chuo Kikuu cha Teknolojia mkoani Mbeya

    Rais anaendelea na ziara yake mkoani Mbeya ambapo asubuhi hii ataweka jiwe la msingi katika ujenzi wa maktaba ya chuo kikuu cha teknologia (must) na kuzindua upanuzi wa kiwanda cha Mbeya cement. Haya yote ni katika kuwaletea wananchi maendeleo. Hakika Rais Magufuli ameweza na anazidi kuipaisha...
  13. utaifakwanza

    Rais Magufuli akihutubia wananchi wilayani Kyela mkoani Mbeya

    Hotuba ya Mh Rais inaendela hivi sasa, live kutoka wilayani Kyela mkoani mbeya, Rais anawashukuru wananchi wa mbeya kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mkutano huo na mapokezi makubwa waliyomfanyia. anasema kila alipopita alikuta wananchi wamejitokeza kwa wingi barabarani kwa ajili ya kumlaki. Rais...
  14. utaifakwanza

    Rais Magufuli azindua kiwanda cha parachichi Rungwe

    IKO MUBASHARA HIVI SASA. RAIS MAGUFULI ANAZINDUA KIWANDA CHA PARACHICHI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA. KIWANDA HIKI KITA ACCOMODATE MAPARACHICHI YOTE YANAYOZALISHWA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI. UPDATES.... RAIS ANAHUTUBIA HIVI SASA, ANAWASHUKURU WANANCHI WA SONGWE KWA JINSI WANAVYOCHAPA KAZI NA...
Back
Top Bottom