Search results

  1. mucadam

    Gari linauzwa- Toyota Land cruiser

    Hiyo sio gari ya kuuzwa bei hiyo...Hela ya sio ya mchezo. Tusidanganyanye
  2. mucadam

    Mjumbe wa CCM ajiunga UKAWA

    deo filikunjombe ???
  3. mucadam

    Picha za Zitto: Before and after Umra

    We waachee atapata laaana. Maana nasikia ana mademu wengi tu.
  4. mucadam

    Picha za Zitto: Before and after Umra

    Zuberi si hajaoa??, mbona anatafuta balaaa angeoa kwanza. ....
  5. mucadam

    Nyumba inauzwa Msamala Songea

    Nyumba ipi we Ngongi???
  6. mucadam

    Mfumo wa digital waitesa clouds tv yashindwa kujiunga,By-TCRA

    Cloud ni shida tu. Niwabishi sema hawana lolote
  7. mucadam

    SERIKALI ipige marufuku "MESSAGE" ZA KUTENGENEZWA MITANDAONI

    Kwani zinashida gani?? Kama hutaki wewe ikingia kwenye cm yako futa tu..
  8. mucadam

    Mke mkorofi

    Pole sana ndugu yangu.. Sema wewe itakuwa unamatatizo. Huwezi kumchekea kwa swala la kuvunja vitu. Mwambie akanunue yeye alivyovunja. Kama inakuwa shida sana muolee mke mwingine atakuwa na adabu tu.
  9. mucadam

    On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012

    Mimi kwa akili yangu siwezi kumchagua Nchemba hata siku moja. Naona kama Hana akili. Sijui hata alisomaje?? Hana hata kitu kimoja. Anaongea point,
  10. mucadam

    Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

    Sijui Kama ataweza... Wamezoea hela za burebure..
  11. mucadam

    Rostam Aondoka Nchini

    Tupo nae Tukuyu huku achane uongo..
  12. mucadam

    Zitto kabwe: Umejifunza nini na matokeo ya udiwani

    Mwambie uraisi sio mchezo.
  13. mucadam

    Maandamano makubwa Songea!

    Hali sio nzuri manisapaa ya songea, Imani za kishirikina zimetawa mjini mzima songea, Tokea ijumaa mpaka ijumaa mpaka leo wamekufa watu wanne na kila mtu akiuliwa anachukuliwa sehemu za siri lakini jeshi linakanusha hizo habari. leo watu wameandamaana kwenye maandamano hayo mpaka sasa wamekufa...
  14. mucadam

    Seleli, Lembeli, Shibuda, Kimaro na wapiganaji wengineo karibuni CHADEMA

    siwashauri, wakae kimya, watakula walichokipanda tu.
  15. mucadam

    Mitsubishi Pajero GDI Inauzwa Bei Poa.

    Namba gani ?
  16. mucadam

    Your Name in Japanese!

    Mucadam=rindomitekarin,, duh si mchezo.
  17. mucadam

    Baada ya kukatika nchi nzima; umeme warejea!

    Mambo ya Kakobe hayo yameanzaa alisema maajabu yatatokea, ndio hayo sasa. Alikuwa anazumzingia ule umeme wa pale Tanangozi leo Mchana
  18. mucadam

    Baada ya kukatika nchi nzima; umeme warejea!

    Mambo ya Kakobe hayo yameanzaa alisema maajabu yatatokea, ndio hayo sasa. Alikuwa anazumzingia ule umeme wa pale Tanangozi leo Mchana
Back
Top Bottom