Search results

  1. Lee Napoleon

    Sketi za mpira, na vigauni vifupi vya mpira

    Sitaki kusema mengi ila kama ni mwanaume Mimi tu ndo zinanipa tabu basi sinabudi kuvumilia. Kiukweli nikikutana na mdada amevaa hizi awe mwembamba au mnene napata shida Sana hasa ukute shape kajaaliwa. Hata kama kuna jambo nafanya muhimu napoteza concentration kabisa naeza haribu Kazi...
  2. Lee Napoleon

    Beef ya Nas na Jay Z nani alishinda?

    Kwa wale wanajamii wafatiliaji wa muziki wa kufoka (Hip Hop) nadhani hayo majina na kilichokajiri haviwezi kuwa vigeni kwenu. Kwa uchambuzi wa kawaida tukizingatia ushairi, style na production nani alimuua mwenzake kwenye zile disstracks? Zingatia hayo niliyoyasema Ushairi, Rapping style...
  3. Lee Napoleon

    Kazi za RedTag

    .
  4. Lee Napoleon

    Wadada punguzeni ujuaji

    .
  5. Lee Napoleon

    Njia ya kupunguza risk ya kuwa mchepuko au kupangiwa foleni

    Dada zangu kabla haujaingia kwenye mahusiano na jamaa yeyote yule. Akianza kukusumbua fanya hivi... Chukua picha yake post facebook, instagram, twitter, Snapchat na WhatsApp status uliza huyu boyfriend wa nani..? ( Hakikisha unamTag ) Kama ikipita wiki hakuna alojitokeza Kusema ni wakwake, uko...
  6. Lee Napoleon

    Top 10 world philosophers

    Top 10 Greatest Philosophers in History This list examines the influence, depth of insight and wide-reaching interest across many subjects of various “lovers of wisdom,” and ranks them accordingly. It should be noted, first and foremost, that philosophy in its traditional sense was science –...
  7. Lee Napoleon

    Tuzungumzie hili bifu lililowahi kutokea kati ya Langa na Jay Moe

    Kuna kipindi mwaka 2007 ilitokaga ngoma flani (nmeisahau kidogo) ila Jay Moe alishirikishwa then kwenye punch za MOE aliandika "AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA// WASHTUE WADOGO ZAKO WAACHE PODA WALE MMEA//" Halafu ikatoka ngoma ya Langa tena ilitoka ghafla bila kudhamiria kwa madai yao. Ndani...
  8. Lee Napoleon

    MTU AEKE CLARIFICATION HAPA

    Mwenye uzoefu na risasi inaeza kukona hivi ikipgwa juu? Au askari wetu wanatuona mabwege
  9. Lee Napoleon

    NA HII TABIA I HOPE MMEIACHA 2017

  10. Lee Napoleon

    KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI UALIMU

    Mwalimu wa shule ya Msingi niko Wilaya ya Newala mkoani Mtwara. Natafuta mtu wakubadilishana nae kituo cha kazi alieko Pwani au Dar es salaam au Tanga mjini. Ahsanteni
  11. Lee Napoleon

    Kinachotufanya wanaume tufeli kumantain relationship goals

    MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10. Mlinzi 11. Mpishi 12. Fundi umeme 13. Fundi bomba 14. Mchungaji 15. Mzee wa kanisa 16. Shehe 17. Daktari...
  12. Lee Napoleon

    MSAADA SIMU INAGOMA KUFUNGUKA BAADA YA KUROOT

    Baada ya kuroot simu ya huawei kestrel G 535 imeandika neno unfortunately huawei home is stopped na app zingine ila nikitouch OK kwenye zingine neno hilo linatoka ila mwisho linabaki la huawei home is stopped ukiclick OK halitoki na haiendelei kokote. Solution yake ni nini? Kwa anaeweza...
Back
Top Bottom