Search results

  1. M

    CCM na Serikali Chunya mpo?

    Nimekutana na picha hii kule kwa Hakingowi, wananchi wa Chunya na Mbunge wenu ipo haja ya kulifanyia kazi hili; Mwalimu Albert Juakali wa shule ya Msingi Iboma kijiji cha Udinde (majina mengine jamani) akimwaga "darasa" kwa wanafunzi wake. NB cheki hiyo njemba anawaangalia wanafunzi...
  2. M

    Kumradhi Mh Zitto Kabwe

    Mh Zitto, nianze kwa kukiri mimi nilikuwa miongoni mwa wana JF wengi tuliokuzonga kwa kejeri, shutma, kashfa na dhihaka kadha wa kadha kuhusiana na msimamo wako kwenye suala zima la ununuzi wa mitambo ya Dowans. Mheshimiwa, ulikuwa sahihi kwa kusimamia kile unachoamini ni sahihi. Hii ndio sifa...
  3. M

    Naliona anguko la Kibanda

    A little while ago one of the cream of analytical politics of Tanzania had this to say with regard to the so called Kibanda; Baada ya mashinikizo, vitisho, vitimbi na kejeli za kila aina kutoka kwa "Mhariri mtendaji" wa gazeti la TanzaniaDaima Absalom Kibanda hatimae Zitto Kabwe ame...
  4. M

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Nyepesi nyepesi zinazojiri kutoka NEC ya CCM Dodoma jana Spika Samwel Sitta kawekwa mtu kati kwa namna anavyolipeleka Bunge mpera mpera. Miongoni mwa wachangiaji waliomshambulia wazi wazi ni Mwenyekiti wa CCM Shinyanga ambae bila kumung'unya maneno alimwambia Sitta alirudishe kadi ya CCM...
  5. M

    Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

    Updated by Invisible: Watuhumiwa wote wameachiwa hawana hatia!
  6. M

    Obama: Tanzania ni mfano wa kuigwa

    Kwa wale wasio ona kazi na mafanikio ya serikali yetu walau wakubwa huko wanayaona. Kweli wahenga walisema mitume haikubaliki makwao... Tupate habari zaidi; Kwa wale wenye wivu.... just do it!
  7. M

    CHADEMA imekosa Dira?

    Kufuatia kushindwa mfululuizo katika chaguzi ndogo za Busanda na Bihalamuro, chama cha "demokrasia" na maendeleo chadema kimepoteza dira sasa badala ya kukaa chini na kufanya tathmini ya kisanyansi mpaka kupelekea kushindwa katika chaguzi hizo, viongozi wa chama hicho hivi sasa wanamtafuta...
  8. M

    Maswali 7 kwa Chadema baada ya Busanda!

    1. Nauliza kwanini Chadema waligawa chupi na sidiria? 2. Nauliza kwanini Chadema waligawa biskuti? 3. Nauliza kwa nini Chadema ( wakiongozwa za Ziito Kabwe ) walichoma bendera za CCM? 4. Nauliza pesa za kukodi chopa zimetoka wapi? 5. Nauliza kwanini Chadema walipeleka mamluki...
  9. M

    Taifa Stars Vs Sudan live updates & Results

    Check live update hapa JF
  10. M

    HabariLeo kufungiwa?

    Nimekutana na habari hii kwenye Gazeti la Mwananchi inayotaja jina la Mh Mkuchika na kujiuliza kama ule "mgomo" umekwisha au laa
  11. M

    Yanga vs Simba April 18 2010

    Naelekea uwanja mkuu mpya wa Taifa kuangalia mtanange kati ya Simba na Yanga. Kwa kupitia kilonga mbali changu nitakuwa nawaletea live updates ikiwa kila kitu kitaenda sawa ( ie masuala ya credit ) Leo ndio leo kandambili hawatoki iwe isiwe lazima tuwafunge, Mnyama kanyaga twende! eeeh...
  12. M

    Breaking news: Mechi ya Simba na Yanga kutochezwa leo?

    Taarifa zinazojiri hivi sasa ni kuwa ule mpambano wa Simba na Yanga leo upo hatarini kuakhirishwa baada ya kutokea utata kwenye tiketi za mchezo huo. Utata huo umesababishwa na viongozi wa Yanga kwa kuweka muhuri wenye aya za Quran na kupelekea wanaharakati na viongozi wa Kiislam kutaka...
  13. M

    Baraza la Mawaziri Limevunjwa! (2008)

    Taarifa za sasa ni kuwa cabinet imevunjwa na Rais anapeleka jina la PM mpya bungeni kesho saa tatu asubuhi
  14. M

    Kesi ya wapinzani kuhusu uchaguzi yapigwa mweleka mahakamani

    My take Hakuna kuweka mpira kwapani mambo hadharani tuone sera za kuzomea zinavyo fanyakazi
  15. M

    Mwanafunzi ajifungua katikati ya mtihani!

    My Take Makubwa haya!
  16. M

    CHADEMA washitukiwa wakitaka kuvuruga mkutano CCM

    [/size] Kidogo kidogo ukweli utadhihiri.....
  17. M

    Manji kujitoa Yanga?

    Kuna habari kuwa anaejiita mfadhili wa Yanga Yusuf Manji ambae pia ni mkurugenzi mtendaji wa Quality Group maji yamemfika shingoni na sasa anautema "ufadhili" wa klabu hiyo kongwa yenye historia ya migogoro isiyo kwisha. Chanzo chetu ndani klabu hiyo kinatuhabarisha kuwa "mfadhili" amechoshwa...
  18. M

    Yanga Mdebwedo tena!

    Matokeo ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania, ni Yanga ( Al-maaruf Kandambili) wamefungwa 1-0 na Maafande wa polisi Morogoro. Kandambili ambao wana udhoefu mkubwa wa kufungwa tokea kuanza kwa ligi mwaka huu ambapo hii itakuwa ni mara yao ya 3 kufungwa kwa dose 1-0, kabla ya hapo walifungwa na...
Back
Top Bottom