Search results

  1. M

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Thanks a lot kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nyimbo inaitwa NINGETAWALA Ni nyimbo za mwanzo kabisa baada ya Kundi la Wateule kuanzishwa baada ya kuunganisha wasanii hao waliposhinda talent show moja iliyoandaliwa hapa DSM Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    kaka mi naomba kama una nyimbo ya Wateule (Solo thang, Jay mo, Mack to B na Lady LU) inautwa NIGETAWALA, nimeitafuta sana hii ngoma
  4. M

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    kaka mi naomba kama una nyimbo ya Wateule (Solo thang, Jay mo, Mack to B na Lady LU) inautwa NIGETAWALA, nimeitafuta sana hii ngoma
  5. M

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    kaka mi naomba kama una nyimbo ya Wateule (Solo thang, Jay mo, Mack to B na Lady LU) inautwa NIGETAWALA, nimeitafuta sana hii ngoma
  6. M

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Pascal hayo maswali yote Lissu keshayajibu, better stay quite than openly demonstrate to people kwamba now unalilia sana mkate. Bro...this is too low to your level
  7. M

    BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

    :D:D:D:D:D:D Daah nyie madogo hata kama mtu hutaki kucheka utacheka tu........
  8. M

    Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

    Dogo, thid is one of the best advice i ever come across, huu ushauri wako madogo wakiufuata watafika mbali sana, Achana na hao wanaopenda kukosoa kila kitu, by the way, naamini uko mbali sana zaidi yao kiakili, so stop arguing na hao watu for no reason, you are just wasting your precious time...
  9. M

    Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

    Kama Dada ako kashindwa kumshawishi Shemeji yako kuja kukaa kwenu Kula sikukuu, ujue Huyo Sio Mtamu... hajamkoleza shemeji yako..
  10. M

    Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Pasco, umetoa uzi wako wa pongezi na pole bila kugusia mapungufu makubwa katika hizo chaguzi, ambayo yame determine kwa kiasi kikubwa sana hayo matokeo yaliyopatikana
  11. M

    Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

    M Mzee Mzena alishafariki, sikumbuki vizuri mwaka ila ni miaka hii ya 2000's
  12. M

    Matokeo ya Kidato cha 6: Nitajie shule/namba nikupe majibu.

    nimeshayapata, NECTA inafunguka muda huu
  13. M

    TULIO SOMA AZA BOY, shame on us again!!!!!

    KAKA KABLA HUJAPOST KITU HUMU UWE UNAJIRIDHISHA NA UHAKIKA WA TAARIFA YAKO, .. POST INAYOSAMBAA WHATSUP KUHUSU SHULE KUMI ZA MWISHO NI FAKE, HIYO LIST NI YA MWAKA JANA, NDIO AZANIA ILIKUWEPO KWENYE SHULE KUMI ZA MWISHO. MATOKEO YALIYOTOKA LEO, YANAONYESHA SHULE KUMI ZA MWISHO NI KAMA IFUATAYO...
  14. M

    NECTA watangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2017

    Baraza la Taifa la mitihani limetoa matokeo ya mitihani ya kidato cha sita mwaka 2017. Kwa taarifa zaidi nenda kwenye tovuti ya NECTA
  15. M

    Mabadiliko ya Kamanda Mpinga...is it a demotion or promotion?

    Haya yaliyotokea kwa kamanda Mpinga toka kuwa kamaanda wa kikosi cha usalama Barabarani kuwa RPC Mbeya... Je ni promotion or demotion?
  16. M

    Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    Katika kumbukumbu zangu... nakumbuka huyu Mh. alitoa ahadi ya kutaja majina ya Watanzania wakiwepo viongozi na watumishi mbalimbali wa uma wa sasa na wastaafu ambao wameficha fedha kwenye account mbali mbali huko nchini Uswiss.. Fedha ambazo nyingi zilikuwa kama reward za kuingia mikataba...
Back
Top Bottom