Search results

  1. Mr Yes

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    aongeee...hahaaa..just joking
  2. Mr Yes

    Vodacom wamepunguza MB, sasa ni MB 1

    Hawa jamaa sijui mipango yao ipo vp,yan kutoka mb40 mpaka mb 8 na kutoka mb 8 mpaka mb 1,nahc serikali inataka kuwapunguza watu kutumia internet hasa katika kipindi hiki cha uchaguz then watarudi kulekule....btw nasikia Halotel wapo vizuri ile mbya,ni 3g kwa kwenda mbele.....nawasubiri
  3. Mr Yes

    Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

    huna akili wewe,inaonyesha jinsi gani ulivyo mswahili,wewe unafikiri ujinga unaoufanya kuna mtu atakusifia?eti Popoma;popoma sio wewe usiye na akili ambaye mambo yako chizi vile.Wewe ni mtu mzima sasa haya mambo ya kipuuzi waachie watoto.Sibishani na wewe tena.
  4. Mr Yes

    Depo inakuaje huko CCP Moshi

    ndugu yangu umenifanya nicheke saana asubuhi hii,eti depo unaenda pasi ya kunyooshea nfuo...
  5. Mr Yes

    Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

    kama hyo ndiyo maana yake basi sawaa
  6. Mr Yes

    Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

    huyu mheshimiwa rangi tu inambeba lkn siyo beautiful onyinye kabisa.Waziri wa fedha mama Saada Mkuya kile ndio chuma(nisamehe mama yangu najua u-mtu mzima),nadhani hata watoto wake watakuwa moto wa kuotea mbali.
  7. Mr Yes

    Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

    kwani hilo neno NDONDO maana yake nini mkuu
  8. Mr Yes

    Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

    sina uwezo wa kujibizana na watu kama wewe coz hata history ya humu nishaiona,just go suit yourself
  9. Mr Yes

    Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

    eeh mambo ya rumbesa hayoo.....
  10. Mr Yes

    Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

    umetisha mkuu,ngoja niwasiliane Rugemalira anipe mgao wa Escrow then ntakuchek
  11. Mr Yes

    Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

    hiyo ni XXl mkubwa
  12. Mr Yes

    Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

    hayo ya wazungu ni yale natural au yepi?
  13. Mr Yes

    Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

    haikuwa lazima kuchangia kama huna hoja
  14. Mr Yes

    Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

    abajalo wamechukua ubingwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati,Tabata 6 Abajalo 7
  15. Mr Yes

    Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

    hata kama hawalipwi vizuri,kwenye mashindano haya wasishiriki wawaachie wasioonekana
  16. Mr Yes

    Wachezaji wa Ligi Kuu kwenye Sports Xtra Ndondo Cup

    hilo nimeliona ndugu yangu na inabidi walifanyie kazi mashindano yajayo
  17. Mr Yes

    Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

    sasa pesa mkuu si kila siku namtumia hata kama yupo mbali?
  18. Mr Yes

    Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

    ahsante nitaufanyia kazi ushauri wako mkuu
  19. Mr Yes

    Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

    hahaa sisi wengine kwenye masuala ya zawadi hatuko vizuri yaani sijui kabisaa
  20. Mr Yes

    Zawadi nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako

    duuh kwenye gari hapo utata,hata sanlg sina uwezo nao
Back
Top Bottom