Search results

  1. ChaMtuMavi

    TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    Tusiogope kuelimishana, kila nafsi itaonja mauti. Lakini ni kwa wakati gani na ni kwa vipi ni muhimu sana. Kwa kila binadamu lazima azingatie mambo muhimu ya afya ili kupunguza maradhi yanayopelekea vifo vya haraka km watoto na vijana. Mambo mengine yapo ndani ya uwezo wetu, tufanye wajibu wetu...
  2. ChaMtuMavi

    Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

    Kwani demu alikuambia upo peke yako? Halafu umehusiana naye kwa miezi minne tu, unajuaje, pengine wewe ndo mwizi, hujafumwa bado ukimwibia huyo uliyemkuta. Pole, ndo ukubwa kijana, gangamala...
  3. ChaMtuMavi

    Mke wangu amekiri kunisaliti

    Michepuko ni balaa, lakini ni kwa nini mwanamke akichepuka inaonekana ngumu kwa mme kusamehe na kusahau. Wanaume wangapi wanachepuka na wake zao wanasamehe!!! Tena mnachepuka mpaka mnaleta watoto, na bado mke anakupokea. Ndiyo tunatofautiana, cha msingi Msamehe mkeo, mpende mkeo mwishi mlee...
  4. ChaMtuMavi

    Kutoka kuchepuka kuwa blackmailed hatimaye kuwa mtumwa wa ngono

    Dawa ya dhambi ni kutubu, asingewapa askari uroda. Ukifanya mkataba na shetani atakutumikisha mpaka akuuwe. Pole sana, mwambie huyo dada afanye toba, afunguliwe minyororo ya dhambi.
  5. ChaMtuMavi

    Wadada njooni hapa

    Size ngapi ya nyuma kaka?
  6. ChaMtuMavi

    Siku kama hii ya leo ukiona hauko na mpenzi wako ujue unadanganywa

    Yaani Jipu unauzoefu sana na mambo haya... Ndiyo hivyo tena utafanyaje? Nawatakia heri na mafanikio mema wanandoa wote... Shindeni majaribu, kaa na mkeo na watoto na Mungu atawabariki na rizki yenu mtazidishiwa, Amen. Kudos kwa wababa wote waliotulia na familia zao kwa kusherehekea sikukuu ya...
  7. ChaMtuMavi

    Wanawake mlioolewa Morning Glory Muhimu

    Usimbake mkeo, ukimpa kwa utamu walahi hujaomba kakupatia...
  8. ChaMtuMavi

    Zilipendwa

    Jamani nimewakumbuka sana, enzi zangu niliupenda huu wimbo mwajuma- MARIJANI RAJAB - YouTube
  9. ChaMtuMavi

    Kuona vitu vilivyopotea na mwizi aliechukua

    He he he eheeee, pole sana, bila huruma mkaibiwa tena! ama kweli safari moja huanzisha nyingine. Kwa kweli sikupi pole, hata nikisema uliibiwa mara ya pili nitakose, hii uliamua kuchangia unga wa mganga...
  10. ChaMtuMavi

    Wakristo mtachomewa makanisa hadi lini jamani ifike tuseme no imetosha

    Ukiwa na roho ya kinyama utaweza yatenda wayatendayo...
  11. ChaMtuMavi

    Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

    UKRISTO ni UPENDO, AMANI, BUSARA NA HEKIMA, Tutaendelea kuwasamehe bure kwani hawajui wayatendaloo..., Naamini mtoto wa Kiislam hawezi kkojolea Bibilia kwani wanafundishwa nidhamu" Nami niliamini kwa nidhamu hiyo, Mwislamu hawezi vunja MAKANISA NA KUHARIBU MALI ZA WASIO NA HATIA kwani...
  12. ChaMtuMavi

    Mzee Mwinyi aibiwa

    Wacha mafisadi nao waibiwe, huyo jamaa aliyeiba mi na-mwona ana akili sana kwa sababu ameiba kwa walionazo kuliko kwenda kuwaibia walala hoi. Hima hima majambazi, msiumize walala hoi. Wafuateni mafisadi, mkifanikiwa mara moja tu kumwibia fisadi, unastaafu na huo ujambazi. Maana mkupuo mmoja tu...
  13. ChaMtuMavi

    Nimeamua kuwa cheater

    Yote ni hasara kwa hali uliyonayo dada yangu. Usipoufuata bado mwenzako atakuletea. Sina ushauri zaidi wa kukupatia. Dawa iliyowaponya wengi na kuwaongezea maisha ni hii. Kama mwenzako ameshindikana kabisaaa..., kapime, kama u salama basi mshukuru Mungu, ng' atuka na kaa pembeni enjoy life na YESU.
  14. ChaMtuMavi

    Sizitaki Mbichi Hizi!!

    Mgongo asante kwa shairi, kuna haka kabeti kamesahaulika.. kaweke kwenye pale kable ya beti ya lmwisho Wakazipanda shambani, mbegu nyingi mbalimbali, Toka zile za mibuni, hata zitupazo wali, Na mvua ikaja chini, wakaona na dalili, Kama tunaka mali, tutazipata shambani.
  15. ChaMtuMavi

    Housegirl kanichanganya sana!

    Nawe mfuate mke wa mlizi kamle uroda:flame:Mnamaudhi sana!!!
  16. ChaMtuMavi

    Chupu chupu frm hiv infection;kibiriti na maisha ya umri wa kati

    Yaani wewe bado unaamini kondom ni kinga kweli??? how much does it cost? Do you think the cost of the condom reflects your value??? Mmmmhhh!!! why is condom so cheap??? Bado ni kitendawili!! Waliotengeneza wanatujali sana sisi?? Nami sina jibu. Ushauri: Usijihusishe na ngono kabla ya...
  17. ChaMtuMavi

    Nimepata Msiba, Nitarudi Jamvini Soon!!

    Pole sana kwa kufiwa, Mwenyezi Mungu akupe nguvu na uvumilivu kipindi hiki cha maombolezi.
  18. ChaMtuMavi

    Nilipita uwanja wa ndege dar

    Kuna wajinga wajinga fulani hukaa pale mlangoni unapotoka wanakuambia tuone passport yako, wanaudhi na wanakera sana
  19. ChaMtuMavi

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    Kalale pema peponi Kishongo.
Back
Top Bottom