Search results

  1. C

    Kwa Baregu si sawa ila kwa Migiro ni sawa?

    Hamko serious,ninyi nyote hamjui kuwa mkuu wa chuo ni kiongozi tu na siyo mtendaji mkuu wa chuo, mtendaji anakuwa makamu mkuu wa chuo,hajishughulishi na utendaji wa kila cku wa shughuli za chuo zaid ya kuwa mwenyekiti wa vikao flani na mtunuku wa vyeti kwa wahitimu.ndomana jaji samata ni mkuu wa...
  2. C

    Hoja ya Masalia CHADEMA iliibuka siku 26 baada ya Zitto kufanya mahojiano JF...

    Bwana mkubwa habari yako si ya kweli na ungesema ni hisia zako,nakukumbusha hakuna kikao cha KAMATI KUU YA CCM kilichoketi miezi miwili iliyopita kwakuwa bado haijateuliwa mana mwenyekiti aliomba muda kuwafahamu.
  3. C

    Zitto: CCM inachonganisha viongozi wa CHADEMA

    Ndugu zangu sasa mtailaumu CCM kwa kila tatizo litakalotokea kwenu? Kama kweli basi mnawambia watu kwamba CHADEMA siyo chama makini kama kinaweza kuingiliwa na kuvurugwa kiasi hiki.
Back
Top Bottom