Search results

  1. kibavu

    MC Luvanda umenikwaza

    You are not alone brother, so many people have gone through it ... Personally I've been there, I know how it feels kumpoteza mtu ambaye akili ilishajiandaa kuishi naye kwa miaka 30+ mbele. Lakini huwa nikiangalia maisha ya huyo ambaye angekua mke wangu huwa najifariji kwamba bora aliniacha tu.
  2. kibavu

    MC Luvanda umenikwaza

    mumewe akipita hapa utaleta zogo kwenye ndoa ya watu! Jifunze kuruhusu mambo yapite kuna wakati mwingine nyumba inapoungua unapaswa kumshukuru Maanani maana huwezi jua pengine nyumbani kwako kulikua makzi ya nyoka ambaye angekudhuru siku moja, hivyo kitendo cha nyumba kuungua kikakuepushia balaa!
  3. kibavu

    POEM: If we must die

    IF WE MUST DIE - CLAUDE MCKAY If we must die, let it not be like hogs Hunted and penned in an inglorious spot, While round us bark the mad and hungry dogs, Making their mock at our accursèd lot. If we must die, O let us nobly die, So that our precious blood may not be shed In vain; then even...
  4. kibavu

    Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Kama wewe nawe ni Presida to Be basi TWAFWAAAA! Suppose mmoja wa wale wanajeshi au Police au Makonda mwenyewe angeteka studio za kurushia matangazo akatangaza lolote alilojisikia ambalo ni hatari kwa usalama wa nchi wewe ungesema haya unayoyasema leo? Mayor wa Antananarivo Madagascar aliwahi...
  5. kibavu

    UANDISHI WENYE UPENDELEO (BIASNESS) UNAVYOWEZA KUATHIRI TASWIRA YA NCHI

    Naungana na wewe, na pia kitu kingine katika uandishi mwandishi anaposema '...something is based on....." ni generalization kwamba huo ndio msingi mkuu wa kitu husika. Mathalani unaposema '...division of labour in African societies was based on gender and age..." tafsiri ni kwamba huo ndio...
  6. kibavu

    UANDISHI WENYE UPENDELEO (BIASNESS) UNAVYOWEZA KUATHIRI TASWIRA YA NCHI

    Hapa chini ni nukuu kutoka kwa Mtanzania anayesoma nchini Marekani ambavyo anauelezea mfumo wa Elimu nchini Tanzania. Naomba tuijadili objectively kwa kuangalia tafsiri ambayo mtu anaweza kuipata kwa kusoma matini (text) kama hii hapa. "Tanzania education is based on corporal punishment, and...
  7. kibavu

    Natafuta memory card ya simu gb 16 au 32 kwa bei nafuu

    Ukisema upo wapi utaelekezwa wapi zinapatikana mathalani ukielekezwa maduka ya Arusha wakati wewe upo Mwanza au Dar itakuaje?
  8. kibavu

    Faida za kiuchumi za mgao wa umeme ni kubwa kuliko hasara

    Ngoja nitumie muda uliosalia kufanya kazi maana unaonekana unaishi sayari ya tofauti sana.....
  9. kibavu

    Faida za kiuchumi za mgao wa umeme ni kubwa kuliko hasara

    Mimi ninafanya kazi kwenye eneo la viwanda vikubwa na bado tunakatiwa umeme zaidi ya siku nne kwa wiki....matokeo yake kila siku tunatumia karibu kila siku tunatumia lita kama 40 za dizeli kwa ajili ya jenereta kwenye majengo ya utawala, na katibu lita 150 kwa jenereta kwa ajili ya uzalishaji...
  10. kibavu

    Wasanii kuweni wazalendo

    Wasanii wa mnapoalikwa kwenye shughuli za kisiasa, linapokuja suala la wimbo wa taifa na alama za kitaifa suala la siasa na usanii uwekwe pembeni. Kwa mfano jana msanii Single Mtambalike amechemka sana wakati wa zoezi la kufungua kampeni za CCM, kwani wakati watu wakiwa wametulia na kuimba wimbo...
  11. kibavu

    Nimeacha home 5,000/= ya matumizi nimetupiwa usoni, kwanini?

    Hapo kwenye bold/red...kumbuka kisa cha mpemba ya Banza Stone (R.I.P). Lakini pia kumpa hela ya mwezi mzima ni namna nzuri ya kupima uwezo wake wa kupanga bajeti na kuisimamia vizuri
  12. kibavu

    Picha: King Ile Slasi

    Hata jina humjui vizuri una haki ya kutojua yeye ni nani .....
  13. kibavu

    Wife material kumkuta hajaolewa bado 5 years after graduation, haya sio maigizo kweli

    Kwa mtazamo wangu hili ni suala mtambuka 'cross-cutting' ....Kuna makundi anuwai katika hili suala, kwa mfano, kuna wale waliokuwa ‘too selective' enzi zao wakiwa kwenye kilele cha ubora wao, wakisubiri nyama iliyopikwa iuzwe buchani badala ya kuinuua wakaiandae wenyewe, wakapitwa na...
  14. kibavu

    Wife material kumkuta hajaolewa bado 5 years after graduation, haya sio maigizo kweli

    Kwa mtazamo wangu hili ni suala mtambuka 'cross-cutting' ....Kuna makundi auwai katika hili suala, kuna wale waliokuwa ‘too selective’ wakisubiri nyama iliyopikwa iuzwe buchani, wakapitwa na awamu ‘phase’ wakiwa shule/vyuoni na hata siku za mwanzo wakiwa kwenye ajira. Baada ya kustuka umri...
  15. kibavu

    Asilimia 100% Leo mke wangu kanisaliti

    Maumivu ya moyo hayaponi kwa panadol wala diclopar mkuu
  16. kibavu

    Australian Water Company Quoting Prophet Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam...

    Inawezekana hilo tangazo mwalisoma nje ya muktadha (out of context). Lakini ukweli ni kwamba Australia ni moja maeneo yanayokabiliwa na uhaba mkubwa wa maji kutokana na mahitaji kuzidi maji yaliyopo, na pia sehemu kubwa ya Australia ni kame kama ilivyo jimbo la California. Hivyo huo ujumbe...
  17. kibavu

    Epuka Michepuko, baki Njia Kuu (CCM)

    Mbona kama vile miguu ina Gaga
  18. kibavu

    Nashindwa kuifichua siri hii

    kulikua na jkt mpaka mwaka 1993, ilizimwa mpka ilivyoamshwa miaka hii miwili iliyopita...jifahamisheni vizuri kabla ya kukimbilia kuhoji na kutoa hukumu!!!!!
  19. kibavu

    Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

    Mkuu katika kuweka rekodi sawa PM wa mwisho wa Mwinyi Alikuwa Mzee Cleopa David Msuya na sio Malecela, na Malecela aliondolewa/alijiondoa kwa shinikizo la Mwalimu J.K. Nyerere mwak 1995!
  20. kibavu

    Shamba la miti linauzwa

    Bei TSHS 1,500,000/= kwa ekari
Back
Top Bottom