Search results

  1. B.4really

    Kunyolewa nywele usiku kishirikina

    Wakuu habarini za weekend! Kuna hili tukio la watu kunyolewa nywele usiku huku usukumani simiyu, kiukweli ni kitu kinanishangaza sana hadi najiuliza huwa inakuaje binafsi nina ushahidi wa watu watatu waliofanyiwa hayo matukio,na kibaya zaidi ni hizo sehemu wanazonyolewa huwa hazioti nywele kwa...
  2. B.4really

    Uume kuwa kama wa mtoto

    Wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa 28yrs nimegundua nna tatizo la uume wangu kurudi ndani na kuwa kama wa mtoto, ili hali sina tatizo la nguvu za kiume,shida inaweza kuwa ni nini na tiba yake? Natanguliza shukrani.
  3. B.4really

    NIDA hamtendi haki, zaidi ya mwaka tuliochakata vitambulisho vya taifa hatujapata namba

    Ni mwaka sasa unaisha sina kitambulisho wala Namba ya Kitambulisho cha taifa suala linalo nikwamisha hata kupata kibarua cha kufanya,kazi ni kupigwa dana dana kila nnapofika ofisi za NIDA..Ni vizuri mkajitathimini!!
  4. B.4really

    Ufafanuzi kuhusu Mshindi wa Kombe la Shirikisho la Azam na Qualification ya CAF confederation cup msimu ujao

    Wakuu salama?. Nilikuwa nimekaa leo najiwazia ila sijapata majibu kuhusu hili swala, kama mnavyojua SIMBA SC ndio Mabingwa wa nchi msimu huu hivyo kulingana na kanuni zetu za TFF huyu tayari ndiyo mwakilishi wa Kombe la klabu bingwa Afrika msimu ujao. Je ni vipi kama ikitokea Simba akamfunga...
  5. B.4really

    Natafuta Mke

    Haba
  6. B.4really

    Natafuta Mke

    Habari za jioni wakuu natafuta mke umri asizidi miaka 23 mrefu wastan, asiwe mnene sana,rangi yoyote me niko Bariadi Simiyu..nina miaka 26
  7. B.4really

    Mtandao wa simu wa vodacom mkoani simiyu

    Tokea jumamosi iliyopita mawasiliano ya simu kupitia mtandao wa vodacom ni hovyo kupita kiasi hivyo wahusika pamoja na kutoa offer ya dk30,SMS 100 na MB 50 Leo nichukue nafasi hii kuwataarifu bado hali haijatengemaa kabisa.
  8. B.4really

    Radio stations za kampuni ya IPP Media.

    Wakuu naomba kuuliza mbona radio stations za hii kampuni ya Dr mengi hazipo kwenye radio lists kwenye king'amuzi cha Azam,mfano Radio one,Capital radio na EA radio.
  9. B.4really

    Happy Easter

    Nimecheka sana kuhusiana na hii post ya huyu jamaa
  10. B.4really

    Hivi sheria za mitandao watu kama hawa huwa haiwaoni!?

    Hivi huu ulimbukeni wa huyu mwanamziki sijui msanii wa bongo fleva kuposti picha ya noti ya Tsh 10000 ikiwa imechanwa vipandevipande kwenye mtandao wa kijamii ndio kuudhihirishia umma kwamba nchi hii pesa zake hazina uangalizi makini!?
  11. B.4really

    New 'super condoms' will increase pleasure and fight HIV, say scientists

    A NEW 'super condom' which protects against HIV and offers more sexual pleasure than traditional condoms will soon be available, according to scientists. Scientists from the Texas A&M University Health Science Center say the invention - dubbed the "new big player" in the fight against AIDS -...
  12. B.4really

    Mungu akupe maisha marefu Mh JPM.

    Nimefurahishwa na kitendo cha utu aliouonyesha Rais wa JMT cha kuamuru fedha kiasi cha zaidi ya Tsh mil.225 zilizokuwa zimechangishwa na wahisani mbalimbali kwa ajili ya pongezi kwa wabunge na ufunguzi wa bunge LA 11 kupelekwa Hosp ya muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda,kiukweli jambo hili...
  13. B.4really

    Fid q yupo ndani ya studio kwenye taarifa ya habari ya citizentv

    Wakuu nipo naangalia taarifa ya habari citizen tv ya kenya naona imeanza kwa mbwembwe za hatari coz fid yupo ndan ya mjengo na kachana ngoma ya cnn aliyoshirikishwa na marehemu ngwair...rip cowboy
  14. B.4really

    Kuripoti mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria

    Habarini za asubuhi wanajf, samahani sana wakuu naomba kwa anayejua tarehe ya kuripoti jkt kwa form six leaver wa mwaka 2015 wale wa kwa mujibu wa sheria anisaidie, pia na post zao za vikosi maana nna wadogo zangu wamemaliza form six wananisumbua kweli kwa sababu website ya jkt inasumbua sana...
  15. B.4really

    wizara ya afya.

    Samahani wakuu.. Naomba kuuliza hivi wizara ya afya hawajatoa tangazo la kujiunga na kozi za afya kwa mwaka 2015/2016
  16. B.4really

    Wewe unamfikiriaje mwanamke kama huyu?

    Habari wanajf.. Unapomwona mwanamke anavuta sigara, ww unamfikiria fikiriaje eti....??
  17. B.4really

    Dj Mafuvu wa EA Radio / EATV ndani ya Hot 96 ya Kenya

    Habari wanaJF, Nipo nasikiliza Hot 96 radio ya Kenya namsikia DJ Mafuvu anagonga Bongo Hip Hop za hatari ndani ya kipindi cha Mistari, Je ndio DJ Mafuvu kala shavu kwa mzee Kenyatta!?
  18. B.4really

    Kuna Matangazo Mengine hayastahili kuoneshwa kwenye TV

    Habari Wanajf. Hivi inakuwaje nchi kama Tanzania ambao wananchi wake 75% wanaishi chini ya Dollar 2 kwa siku,eti unawahamasisha watume ujumbe wenye neno PENDA kwenda namba 155...ili kupata meseji za mahaba... Ni aibu ndugu zangu, watu wa busega wanaumia kwa kulala nje sababu ya mafuriko huku...
  19. B.4really

    Kama ni uongo, huu ni kiboko

    Heri ya pasaka wanaJf, Mwezi mmoja uliopita nilimpata mdada katika kupiga storiez nini,nikamtupia macho na yeye akawa ameitikia nikasema basi sawa ngoja twende ili tuone hatua yake maana mdada mrembo kama yule si rahisi akoswe mpenzi. Basi wiki uliyopta kanipigia simu usiku wakati tunapiga...
  20. B.4really

    Ni kawaida au nataka kuibiwa?

    Nilikuwa na mpenzi wangu miaka miwili iliyopita na tuliznguana na hatimaye kuachana kutokana na matatizombalimbali. Ndugu wana Jamii forums kilichonileta leo humu ni ushauri wenu ili nijue cha kufanya,mnamo tarehe 26/06/2014 nilkutana na mpenzi wangu wa zamani kimwili kitu kilichompelekea yeye...
Back
Top Bottom