Search results

  1. Ndalilo

    Bajeti ya Wizara ya Nishati 2024/25 yapunguzwa kwa karibu nusu ya Bajeti ya mwaka 2023/24

    Mkuu, huwa kunakuwa na makadirio tu ya bajeti peke yake? Hakuna(ga) ripoti ya matumizi halisi ya mwaka mzima? CAG huwa asemi labda eneo fulani lilitengewa bajeti hii, mpaka mwisho wa mwaka wa fedha wamepokea kiasi hiki na kiasi hiki ndicho walichofanyia uchawa kama zawadi ya kusifu kizimkazi...
  2. Ndalilo

    Bajeti ya Wizara ya Nishati 2024/25 yapunguzwa kwa karibu nusu ya Bajeti ya mwaka 2023/24

    Bilioni 69 mnalipana kama posho Bilioni 88.89 ni matumizi ya kawaida? Yapi? Bilioni 19 ndio mishahara? Trilioni 1.794 ndo za kupigwa zaidi? Mwamba alipokata hizo OC na matumizi ya kawaida, walibweka sana! Kumbe ndo ilivyo hivyo! - Mtumishishi analipwa 800k, anaishi nyumba ya 350k kwa mwezi...
  3. Ndalilo

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Achana naye, ni mzanzibari asiyejielewa. Wanaweza kwenda kuidai Mombasa? - Sultan arejee sasa, Muungano ufe, turudi 1887 huko! Nadhani wanaathirika kwa kukosa visogo.
  4. Ndalilo

    Kukamatwa kwa Malisa na Bonny kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Taarifa za kupotea ziliripotiwa? Kituo gani? Kituo kimoja kina muungano wa kimawasiliano na kituo kingine? Taarifa ya upoteaji wa mtu kwa hapa Dar, haipaswi kuwa ni taarifa ya Mkoa wote wa kipolisi, instantly? Mwili haukutambuliwa, kama taarifa za watu kupotea zilivyoshamiri, taarifa za watu...
  5. Ndalilo

    Serikali iitishe kura ya maoni Wazanzibari waamue upya kama wanautaka muungano ili isionekane tunawalazimisha

    Zanzibar ni kisiwa pekee barani pembezoni mwa hili bara? Maendeleo ya visiwa vingine yapoje? Nielimishe kuhusu Comoro!
  6. Ndalilo

    Serikali iitishe kura ya maoni Wazanzibari waamue upya kama wanautaka muungano ili isionekane tunawalazimisha

    Mkuu, we ni mzanzibari pia? Nipe rejea za visiwa vinavyomiliki ukanda wa pwani wa bara fulani ili nijifunze huwa inakuaje!
  7. Ndalilo

    PhD Anazoendelea Kutunukiwa Rais Samia ni Mbinu za Kisiasa?

    Mkuu, kama Babu Tale aliipata, thamani gani iliyobakia nayo? Wakashtuka kuwa huo mkakati utadharaulika mapeeeema, wakalisema mjengoni. Kuna ile tuzo ya Africa ya maraisi ile, ngoja tuone kama wataweza kuinunua...
  8. Ndalilo

    TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Wangesema hivi, Mh PM, Demand ya nchi ni........... Installed capacity ni............ Active units ni sawa na MW.......... Mh PM, kutokana na Active and available units kuwa uwezo wa MW...., zaidi ya demand ya nchi kwa kiasi ....., tumeamua kuzima mtambo A wa ukubwa wa MW..., B, C, D na E...
  9. Ndalilo

    Asikilizwe Huyu Mzee tunaposema uchaguzi wa mwaka 2020 haukuwa uchaguzi bali ni uhuni muwe mnatuelewa!!

    Mkuu, jikingine usionekene...Mwenyekiti anayesemwa hapo ni yupi, umejua? Mwenyekiti wa mtaa, kijiji, chama? Magufuli alihusika kuchagua wenyeviti wapi? Mlisema Bwawa ni kosa la Magufuli, mnaendelea kuona aibu!
  10. Ndalilo

    Natafuta Products za kusafisha makochi

    Nasubiri...
  11. Ndalilo

    Dar: Barabara ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko

    Hamna hata vipicha vya drone?
  12. Ndalilo

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Mwishoni mwa mwaka jana walisema ujenzi unaanza April, kuna daraja limesombwa kule, wakasema hawana haja ya kujenga lingine kwa muda kwakuwa ujenzi wa barabara unaanza April. Km 9 zinaanzia wapi na kuishia wapi?
  13. Ndalilo

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Wabongo wasio wachovu ni wa namna gani? Wakoje na wanaishi wapi?
  14. Ndalilo

    Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Milioni 100, kama unaanzia mwanzo, kununua kiwanja, basi nyumba hiyo ikikamilika unaweza kupangisha kwa sh 300,000 kwa mwezi, haitakuwa na fensi.
  15. Ndalilo

    Maajabu: NHIF yashika namba 1 kwa mashirika ya umma yanayotengeneza hasara

    Sub company ya TPDC, wanashughulika na Mafuta, wanavyo vituo vyao siku hizi, filling stations. Hasara sijui inatokea wapi!
  16. Ndalilo

    Miaka minne tu, shule inakuwa bora na Wanafunzi wengi

    Hakuna jipya mkuu...kama CCM wanatumia goli la mkono, huna unachoweza kubadili kwenye elimu Wasomi wa kuandika x, p etc ndio zao la mfumo! Soon, hawatajua hata kuandika sentensi iliyokamilika..si AI zipo!
  17. Ndalilo

    Vipipi kifua, Colgate na Asali mpaka sasa ndio viungo vya ukweli kwa shoo za kibabe zinazoacha legacy kwenye mapenzi

    Mkuu, kuwazoa mitandaoni imeshindikana? Kwenye ofisi zao je, umejaribu? Mtego huo kwa hapa JF unafahamika tayari!
  18. Ndalilo

    Mkosoaji wa Serikali ‘aliyetekwa’ siku 5 zilizopita Mbeya apatikana Igunga

    Nimeuliza mkuu, sina hakika kama umenijibu au umenikanya!
Back
Top Bottom