Search results

  1. L

    Nahitaji washirika/wabiawa chuo

    Habari zenu wakuu, Kama post inavyoeleza hapo juu. Nimepost hapa kutafuta watu ambao nitashirikiana nao kuendesha chuo changu. Chuo kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri sana. Nimepost hapa kwasababu naamini wengi ni walimu na wana connection kubwa na wanafunzi ambayo tunaweza kuitumia...
  2. L

    Nahitaji washirika/partners

    Habari wakuu? Kijana mwenzenu Nina chuo kimesajiliwa na kipo kwenye mazingira mazuri mno. Nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Kwasasa nahitaji washirika wa kuleta wanafunzi kwa makubaliano maalum yenye manufaa kwa pande zote. Unaweza kuwa mwalimu au yeyote ambaye unaweza kufanya kazi hiyo. Chuo...
  3. L

    Nahitaji washirika

    Habari wakuu. Kijana mwenzenu nimefungua chuo na nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Nahitaji washirika wa kusaidiana kupata wanafunzi kwa mkataba maalum wenye manufaa kwa pande zote. Chuo kipo arusha kina mazingira mazuri mno kimesajiliwa na kilakitu kipo sawa. Dm for more information
  4. L

    Nahitaji eneo la kufungua Chuo Arusha, napokea ushauri

    Habari wakuu, Nimejikusanya nataka nijiajiri kwa kufungua chuo cha ufundi mkoani Arusha, nahitaji eneo kwa ajili ya hii project, kuna mawili nipate eneo la kupanga bei iwe rafiki au mtu mwenye majengo yake tuingie ubia. Pia kama mtu ana ushauri wowote napokea. Shukran
  5. L

    Naombeni msaada wanasheria tafadhali

    Nitatoa story kwa ufupi ilivyokua, nilimkopea mtu pesa kwenye kikundi zaidi ya milioni kumi, baadae akakimbia na ndugu zake wakaahidi kulipa kwa kusema kuwa Mimi nilipe huko kikundini then wao watalipa ila tuwape muda. Nikajilipia lile deni na tukawapa mwaka mzima walipe. Mwaka ukakata siku ya...
  6. L

    Msaada wanaouza tv used arusha

    Wakuu naombeni msaada wa kunijulisha mahali au duka linalouza tv used kwa mkoa wa arusha. Thanx
  7. L

    Msaada wa kisheria kesi ya madai please

    Wakuu naombeni msaada wenu. Kuna mtu nilimkopesha pesa akakwama kulipa. Akaja akaomba kuwa kakwama nikaita mashahidi akaomba mwaka mzima ndio awe amelipa hiyo hela na juzi baada ya mwaka kupita hajaleta hiyo hela. Ushahidi wa maandishi na mashahidi wote wapo. Je, nikifungua kesi mahakamani...
  8. L

    Msaada wa haraka wakuu.

    Mama yangu ana uvimbe usio na maumivu kwenye ziwa lake.hospitali wanasema hormone imbalance. Jamani naogopa sana nisaidieni inaweza kuwa nini? Nipo arusha nataka nianze kumtibia nianze wapi?
  9. L

    Msaada wandugu kuhusu mafao

    Nataka kuacha kazi sekta binafsi je nitapewa kihela vyangu? Nipo nssf naskia tu mambo yamebadilika. Nitumie mbinu gani jamani?
  10. L

    Makohozi yasiyoisha

    Doctors msaada jamani nina makohozi yasiyoisha yaani nakereka hapa kooni nikiswaki lazima makohozi yatoke,samtymz inanibidi kufanya kama nakohoa au nagunaguna kupunguza kohozi kooni. Imekua hivi kwa miaka mitatu sasa. Ni kooni tu si kifuani. Msaada jamani inaweza kuwa ni nini? Tiba ni nini...
  11. L

    Nahitaji viti vya shule used

    Jamani nataka kuanzisha kicentre naombeni mwenye vile viti vya darasani aniuzie kwa bei ya used hata vya kurepea nitanunua mimi nipo Arusha Kama kuna mtu alifunga shule yake anaweza kuniuzia pia. Thnx
  12. L

    Kiwanja kinauzwa Ngaramtoni

    Kiwanja hekari moja kinauzwa, kipo maeneo ya redio habari maalum. Bei milion 60. Maelezo zaidi niPM.
  13. L

    Mabinti wa Arusha tuungane mkono

    habari zenu. Mwenzenu nimeamua kujiajiri kwa kufungua saluni ya kike. Nasuka na kushonea weaving mitindo yote. Pliz wadau wa arusha karibuni sana jamani mniunge mkono mwenzenu. Kwa mawasiliano niPm ntakutumia namba. Asanteni na karibuni sana.
  14. L

    Nauza mawazo ya vipindi vipya vya tv

    Habari wadau, Nimeweka hii thread huku kwasababu najua watu wengi wa media wanapita hapa. Kifupi nina ideas za vipindi vipya vya tv sio vya kukopi nimebuni mwenyewe. Tuwasiliane kwa ushauri au tufanye biashara. Natanguliza shukrani.
  15. L

    Tafadhali! Someni mnishauri, nawategemea

    Habari wakuu, kutokana na ukosefu wa ajira nimeamua kutumia kipaji changu kufanya biashara. Nina kipaji cha kusuka nywele mitindo yote kwa kina dada. Ila nataka niifanye hii kazi rasmi na kisomi zaidi i mean nifungue kama kampuni ya urembo niajiri watu na me mwenyewe nikiwemo. NACHOHITAJI...
  16. L

    hodi humu ndani!

    nafurahi sana kujiunga na great thinkers n i hope mtanilea vyema cz me bado mchanga humu. nawapenda wote.
  17. L

    hodi humu ndani!

    nimefurah sana kuwa miongoni mwa great thinkers. nawapenda wote.
Back
Top Bottom