Search results

  1. L

    Nahitaji washirika/wabiawa chuo

    Habari zenu wakuu, Kama post inavyoeleza hapo juu. Nimepost hapa kutafuta watu ambao nitashirikiana nao kuendesha chuo changu. Chuo kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri sana. Nimepost hapa kwasababu naamini wengi ni walimu na wana connection kubwa na wanafunzi ambayo tunaweza kuitumia...
  2. L

    Nahitaji washirika/partners

    Nawafajamu mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. L

    Nahitaji washirika/partners

    Asante na ndio nawatafuta hivi ndg
  4. L

    Nahitaji washirika/partners

    Angalau imekubali baada ya kudownload app upya
  5. L

    Nahitaji washirika/partners

    🤣🤣🤣🤣 Hamna ndugu yangu watu wanazingua tu. Nashindwa kujibu dm zenu inaniumiza sana. Kama unamaanisha naomba uniambie nikutumie namba. Halafu sijui kwanini msg hazifunguki daaah
  6. L

    Nahitaji washirika/partners

    Unataka niwe transparent kwako wewe Kama Nani? Walengwa wameelewa na wamekuja dm wewe mjuzi mkuzaji anzisha biashara zako uzikuze. Kwahiyo unaona no sahihi kuweka jina la chuo eneo ambalo tunatumia fake Id kupost Sasa uprivate wangu humu jf upo wapi kaka mjuzi?
  7. L

    Nahitaji washirika/partners

    Wameelewa waliokuja ukiona hujaelewa jua wewe si mlengwa
  8. L

    Nahitaji washirika/partners

    Wale wako interested watakuja DM mojakwamoja wala hawatakuwa na muda wa kupoteza
  9. L

    Nahitaji washirika/partners

    Ndio mkuu naogopa sana WATANIIBIA chuo changu wakipeleke makambako iwe ngumu kukitafuta tena
  10. L

    Nahitaji washirika/partners

    Atakayekua tayari ndiye atajulishwa kinaitwaje
  11. L

    Nahitaji washirika/partners

    Usishangae wakawepo KOZI za hoteli, utalii, ufundi nakadhalika naamini mwenye interest atakuja dm
  12. L

    Nahitaji washirika/partners

    Habari wakuu? Kijana mwenzenu Nina chuo kimesajiliwa na kipo kwenye mazingira mazuri mno. Nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Kwasasa nahitaji washirika wa kuleta wanafunzi kwa makubaliano maalum yenye manufaa kwa pande zote. Unaweza kuwa mwalimu au yeyote ambaye unaweza kufanya kazi hiyo. Chuo...
  13. L

    Nahitaji washirika

    Habari wakuu. Kijana mwenzenu nimefungua chuo na nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Nahitaji washirika wa kusaidiana kupata wanafunzi kwa mkataba maalum wenye manufaa kwa pande zote. Chuo kipo arusha kina mazingira mazuri mno kimesajiliwa na kilakitu kipo sawa. Dm for more information
  14. L

    Niagize China, angalia wanavyopiga pesa

    Fanya na wewe hupendi hela za bure?
  15. L

    Single mamaz club

    Malaya mstaafu hataki kumsikia Malaya mwenzake ni ajabu hii
  16. L

    Arusha ni tofauti na inavyozungumziwa kwenye mitandao

    Eneo lipi mjini Lina migomba? Umejua kuzidisha chumvi
  17. L

    Did you know that Marvin Gaye had a son?

    Mafarisayo na masadukayo wanafanya yao hapa acha nipite kwa kunyatraa
  18. L

    Naomba ushauri: Naishi na mtoto wa mke wangu, wangu anaishi kwa bibi yake nashindwa kumchukua

    Wee tafuta hela mama aishi vyedi na wajukuu zake mengine potezea huu wote ni umaskini tu
Back
Top Bottom