Search results

  1. M

    Gharama za kilimo cha mahindi

    Habari zenu wanajamii, Nina plan ya kuanzisha kilimo cha mahindi maeneo ya Inyala Mkoani Mbeya. Nimepata ekari 20. Lakini sijawahi kilima mahindi mkoa huo. Kwa hiyo kabla sijaanza nilipenda kufahamu gharama za ulimaji kwa trekta kwa ekari moja uko vipi, gharama za wapandaji, palizi. Naombeni...
  2. M

    Kuchonga vinyago

    Natumaini wote muwazima, leo nazungumzia hili wimbi la wanao jitoa CDM kurudi ccm.Siku moja Niliwahi kumuuliza mchonga kinyago anafanyaje mpaka kupata sura kamili ya kile anchokichonga. Kwa mfano simba. Kilichoniacha hoi nijibu alilonipa, Kwamba akichukua gogo anachofanya nikuondoa kile...
  3. M

    Topic za economics za high school

    Habari zenu wana jamii. Naomba msaada wenu kwa mwenye ufahamu, nataka kujua ni topic gani za somo la uchumi zinazo fundishwa katika high school. Pia nitafurahi kama nitafahamishwa ni vitabu gani vinavyo faa au tumika. Msaada wenu ni muhimu kwa wakati huu.
  4. M

    Sylubus za advanced level secondary school

    Habari wana jamvi, naomba msaada kwa anaye fahamu sylubus kwa Combi ya H.G.E nataka kuandaa vitabu na materials nyingine kwa ajili ya maandalizi kujiunga na kidato cha tano.
  5. M

    Kuhifadhi mboga na matunda kwa muda kama wiki

    Heshima yenu manajamvi. Nimepata wazo la kufungua duka la kisasa la kuuza mboga mboga na matunda fresh mjini Tanga. Lakini changa moto nayoiona ni jinsi nitaka vyoweza kutunza hizo bidhaa bila kuharibika. Wenye ufahamu karibuni kwa ushauri. Asanteni.
  6. M

    Msaada king'amuzi cha star times

    Mimi naishi Tanga mjini natumia king'muzi ch star times. Juzi nilikuwa Dar nikuta jamaa anatumia star times na mlendani kuna channels za ITV na STAR TV zikofiti zinaonekana. Lakini huku Tanga hatupati hizi loca channels zaidi ya tbc na channei 10. Naomba kufahamishwa tatizo ni lipi na je...
  7. M

    Msaada wa kukopa bank

    Wana jamvi,nawasalimu wote kwa moyo wa upendo. Niko ktk hatua za kusajili kampuni LTD makao ni mjini Tanga, natarajia kufanya biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali za nyumbani kwa jumla. Kwasasa sina mtaji wa kutosha ila nina dhamana ya nyumba, naomba msaada wa kufahamishwa ni vipi naweza pata...
  8. M

    Biashara ya ice cubes

    Habarini wana jamvi wote , Mimi nafikiria kuanzisha biashara ya kutengeneza na kuuza mabonge ya barafu. Naomba kufahamishwa wapi nitapata ice cubing machine na kwa bei gani, au pia kama inawezekana kuzitengeneza kwa kutumia deepfrezer. Mimi ninaishi Tanga mjini. Nitashukuru kwa michango yenu.
  9. M

    Kusajili LTD Company

    Habari zenu wana JF, nakuja leo tena naomba msaada nahitaji kufahamu taratibu na gharama za kusajili kampuni Brela. Makao yangu ni Tanga mjini. Ninataka kuanzisha kampuni itakayo fanya shughuli za kilimo cha mboga mboga na ufungaji wa kuku wa kienyeji. Karibuni
  10. M

    Natafuta pori la kuanzisha shamba kubwa

    Habari wanajamvi wote. Nampango wa kuanzisha shamba kubwa kwa kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Mimi naishi Tanga mjini, maeneo ambayo natamani kufanyia kilimo hicho ni katika wilaya za Handeni,Kilindi na Mkinga. Eneo nalohitaji nikuanzia ekari hamsini. Yeyote mwenye uelewa naomba anisaidie
  11. M

    Kilimo cha miti ya asili

    Wadai hii ni mara yangu ya kwanza kuongea jamvini. Nina wazo la kuanzisha kilimo cha miti ya asili kwasababu miti ya asili inakatwa kila itwaapo leo na hakuna juhudi za kupanda mingine ku replace iliyokatwa. Naomba ushauri wenu wa talaamu wa miti,bengu zinapatikana wapi na njisi ya kuziotesha na...
  12. M

    bei ya bunduki

    Jamani nisaaidieni nataka kufamu bei za bunduki
Back
Top Bottom