Mimi niko Tanga natarajia kuhamia Mbeya. Nataka kufanya kilimo cha vitinguu saumu. Naomba msaada kujua ni wakati gani mzuri wa kupanda hili zao. Shamba langu liko Itewe nitashukuru kwa michango yenu.
Habari zenu wanajamii,
Nina plan ya kuanzisha kilimo cha mahindi maeneo ya Inyala Mkoani Mbeya. Nimepata ekari 20. Lakini sijawahi kilima mahindi mkoa huo. Kwa hiyo kabla sijaanza nilipenda kufahamu gharama za ulimaji kwa trekta kwa ekari moja uko vipi, gharama za wapandaji, palizi. Naombeni...
Natumaini wote muwazima, leo nazungumzia hili wimbi la wanao jitoa CDM kurudi ccm.Siku moja Niliwahi kumuuliza mchonga kinyago anafanyaje mpaka kupata sura kamili ya kile anchokichonga. Kwa mfano simba. Kilichoniacha hoi nijibu alilonipa, Kwamba akichukua gogo anachofanya nikuondoa kile...
Habarini wanajamvi.
Nami nimeona nichangie kidogo kwa habari ya Muungano. Kwa mtazamo wangu naamini kwamba muungano ni imani kwamaana ya kwamba tunatakiwa kuamini kuwa tumeungana.
Na imani ni tendo la rohoni nikitu kisichoonekana kwa macho wala hakishikik. Hata leo ukimwambia Nyerere na...
Hoja yako yakwamba TECNO wamebase Africa inamlengo gani? Katika orodha yote hakuna simu iliyokuwa specified kwa ajili ya nchi fulani. Inaonekana wewe bado unakasumba ya uzungu na uarabu kwamba ni bora kuliko uafrica. Pole ndugu toka utumwani.
Habari zenu wana jamii. Naomba msaada wenu kwa mwenye ufahamu, nataka kujua ni topic gani za somo la uchumi zinazo fundishwa katika high school. Pia nitafurahi kama nitafahamishwa ni vitabu gani vinavyo faa au tumika.
Msaada wenu ni muhimu kwa wakati huu.
Habari wana jamvi, naomba msaada kwa anaye fahamu sylubus kwa Combi ya H.G.E nataka kuandaa vitabu na materials nyingine kwa ajili ya maandalizi kujiunga na kidato cha tano.
Heshima yenu manajamvi. Nimepata wazo la kufungua duka la kisasa la kuuza mboga mboga na matunda fresh mjini Tanga. Lakini changa moto nayoiona ni jinsi nitaka vyoweza kutunza hizo bidhaa bila kuharibika. Wenye ufahamu karibuni kwa ushauri. Asanteni.
Malinzi naye alikuwa yebo yebo kabla hajaukwaa urais wa TFF. Lakini hebu tuangalie imekkaaje! hawa jamaa wote wanatoka ng'ambo ya ziwa fulani wana jamvi hii iko vipi?
Mimi naishi Tanga mjini natumia king'muzi ch star times. Juzi nilikuwa Dar nikuta jamaa anatumia star times na mlendani kuna channels za ITV na STAR TV zikofiti zinaonekana. Lakini huku Tanga hatupati hizi loca channels zaidi ya tbc na channei 10. Naomba kufahamishwa tatizo ni lipi na je...
Tusimfundishe MUNGU JUU YA UUMBAJI yeye alimuumbia Adam Hawa mmoja tu kwakuwa alijua Hawa mmoja atamtosha Adamu kwakila hali. Kazi ya shetani ni kwenda kinyume na Mungu kuongeza mke wa pili hii ni kazi ya shetani. Kuongeza mke wa pili uhuo ni uzinzi na ushetani hata kama mtaupaka mafuta kwa...
CDM ni chama makini hapa hakuna habari za uchaga kama unavyodhani ww. Ukiona mtu anazungumzia ukabila au udini huyo kafisislisika kifikra na kazeeka kufikiri kama ccm ilivyozeeka . Ongea issues and not people. Kabila sio tatizo, tatizo ni kama huyo mtu anauwezo au vipi elewa hiki chama...
Salaam zenu wote! Naomba ushauri wenu kwa mwenye uzoefu wa aina hii ya biashara, je ni mtaji kiasi gani unafaa kuanzia, na faida iko je na jinsi ya kutunza kumbukumbu. Siku hizi ajira ndio hiziii.
Karibuni kwa ushauri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.