Search results

  1. Mwana Ilala

    Tupeane mbinu Mbalimbali za kuwanasa mademu kirahisi bila kutumia nguvu nyingi sana

    Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa Sent from my iPad using JamiiForums
  2. Mwana Ilala

    Taratibu za kupata passport ya kusafiri zipoje?

    Hizi information ni More than Accurate. Hakika utakuwa Afisa wa Pasipoti la sivyo basi wewe ni Kishoka Mbobezi japo kwa Sasa vishoka hawatakiwi. Nami wakati nafuatilia yangu niliekezwa vivyo hivyo, Nikafuata maelekezo kwa ufasaha, Wala siku stack pahala. Ila suala la siku 7, hapo sina...
  3. Mwana Ilala

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Where is Edge, DDP, Cena, Rock, and others .?
  4. Mwana Ilala

    WWE

    Yuko wapi DPP-Diamond Dallas Page
  5. Mwana Ilala

    Kwa huu wizi mtandaoni hatari

    Umeingia Mjini ukiwa Premature/Njiti. Ulitakiwa uendelee kuwepo kijijini bado hadi fikra zako zikomae, Wewe ukaamua ku-force kuja mjini, subiria, hilo ni trailer, picha laja. Kama bado una wasi wasi, rudi kwanza kijijini hadi pale utakapo komaa kuja kuishi mjini. Huo ndio Ushauri wangu.
  6. Mwana Ilala

    Siasa maji taka. sura ya nne mstari wa 80 -120

    Aiseee, Hii ni latest Political Bible Edition ya King Jimmy Version Very interesting.
  7. Mwana Ilala

    Ukomo wa Miaka 10 urais ni miaka michache jamani

    Tutalazimika kwanza kuibadili katiba ili hilo unalolifikiria liweze kutekelezeka.
  8. Mwana Ilala

    Dar, Kigamboni: Khamis Luongo amuua mke wake Naomi Orest Marijani na kumchoma moto. Majivu akafanya mbolea ya Mgomba

    Muvi ambalo halina Dairekta lazima ligome njiani, kila kitu alifanya yeye mwenyewe, mwanzo mwisho, hakuna editor wala movie dairector ndio maana mwisho wa siku mambo yote yamekuwa hadharani, alishindwa kujua kuwa laini ya simu inasoma hadi IMEI na location yake!? Kuutoa uhai wa mtu sio jambo...
  9. Mwana Ilala

    Spotify Tanzania haipo?

    Yes. Inawezekana
  10. Mwana Ilala

    Must watch these thriller movies, pitia huu uzi kama nawe ni mpenzi wa Movies hizi movie

    Hallo, Binafsi huwa napenda sana Kuangalia hizi thriller movies, tena ukutane na wale madairekta wajuzi Wa kucheza na scripts, kila tukio linafuata unatamani kujua nini kitachofuata huku ukiwa umeshikilia moyo wako usijedondoka kwa kihoro horo kwa namna picha ilivyo dairektiwa na kuleta...
  11. Mwana Ilala

    Ufahamu zaidi kuhusu "bitclub", je ni utapeli mwingine?

    Is there any scamm out there to join right now?
  12. Mwana Ilala

    Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    I strongly blv in Crypto. I also invest 30% of my monthly earnings in crypto. Hoping that, this world will one day be cryptosphere.
  13. Mwana Ilala

    Mbeya: Mbaroni kwa kukutwa na laini 141 za simu

    Hata mm hii sms ya mm mwenye nyumba wako, ile kodi yangu itume kwenye hii namba, Nikamjibu kuwa “Anakung’utwa na kufakamiwa na popobawa, kama kila mtu anaweza kuwa mpangaji wake”
  14. Mwana Ilala

    Spotify Tanzania haipo?

    Tumia VPN, Nakula kiboga/mzigo kama kawa wa Spotify
  15. Mwana Ilala

    Nnatafuta hii Power Board ya Samsung TV 40” LED

    Hallo, Kama unayo TV iliyokufa, spare nyingine, njoo niuzie hiyo Power board yake. Bei isizidi elfu 35 Njoo PM haraka.
  16. Mwana Ilala

    Jipatie TV smart kwa bei nafuu

    Tolea la. Mwaka gani?
  17. Mwana Ilala

    Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

    Hii thread inataiwa ipestiwe kwenye magroup ya whatsapp ili watu ambao bado hawajajiunga, waweze kujua kile kinachoendelea huko mtaani. Kwani binafsi nnakumbuka, kuwa nliambiwa nisiwaambie watu hadi pale ntakapo kuwa nshajiunga. Kilicho niacha bumbuwazi, pale mmoja wa presenter aliponambia...
Back
Top Bottom