Na sasa hivi anakaa jukwaa moja na lowasa. Ukiuliza anasema kama mna ushahidi nenden mahakamani, sasa tutaenda mahakamani sisi tulioambiwa na wewe juu ya hayo? ww kubenea ndio wa kutangulia mahakamani na ushahid uliokuwa unatuaminisha unao hata tukamchukia mamvi wa watu. Go Magufuli Go... we...
Hizo BP hizo buuuuure mkuu. Kama unaweza kumdhibiti ukaoa oa tu then mpige pin kw huyo basha wake mwngine. Kama unajua huwez kumpiga pin basi jisogeze pembeni tu
Kama ni kweli aliyoyasema Jide anaconda, basi na wao Clouds hawana budi kuchukiwa na wananchi coz wana roho mbaya sana. Walikuwa a bifu na SUGU hawakupga hata wimbo wake wala kumtaja. Hadi radio clouds fm mbeya haikuwa inasikika zaid ya miaka miwili. Walipomaliza tofauti zao ndo imerudi clouds...
Mmh kwa jinsi naifaham biology ya A-level hyo combonation itakuwa tata kama pgm vile. Lakin kwny market chuoni utakuwa na uwanja mpana sana wa kupata vyuo na kozi mbali mbali kama pharmacy, forestry, MBB molecular biology and biotechnology, Microbiology, aquaculture, agronomy na kozi nyingi...
hahahaaaa mambo madogo sana hayo...... ungesema walimu hawatoshi tungekuona wa maana sana mjomba.... kalale hata juu ya mti ila lecture hakikisha una attend na test zao zote uanfanya hahahaaaaa itakula kwako
Imesikitisha sana kusikika fununu za kunyimwa mikopo kwa wanachuo kwa kozi mbalimbali za sayansi licha ya kipaumbele kilichokuwa kimewekwa na serikali hapo awali.......... wadau mnazungumziaje hili suala, ntawapa fununu zaidi...... siasa kwenye elimi ni uozo usiovumilika jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.