Usiwe kidelenya acha chokochoko na uchonganishi wewe, kwani hujui Kinana na Chongolo kama wao pia ni wajumbe wa NEC CCM ambao pia walishiriki katika mchakato wa kumteua Makonda, sasa unataka waongee nini hadharani, huna la kuongea lenye maana eee? Acha ukakasi, ukafu, ufukufuku, upwilupwilu...
Naunga mkono hoja, hao wanaoingiliwa kinyume na maumbile kuna washiriki wenza vidume uchwara wanaowaingilia wenzao nao wanastahili kupata hukumu kama hiyo (similar treatment).
Kwani anayoyafanya Mh. Rais Samia huyaoni au unajifanya hamnazo? Zingatia usemi huu "Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"
Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.