Search results

  1. A

    Bingwa uefa:2013: Dotmund au bayern?

    buyern
  2. A

    Lady jaydee kawachota watu??

    Jaydee aliishiwa alipoenda kupandikiza mimba,sasa anarudisha hela kwa nguvu zote,ukizingatia nyumbani pamedodambasi tena anabaki kulia lia tu biashara ushindani,watu wasianzishe bendi kisa ya machozi bend?Sam machozi ndo alimkimbia maana Jide hawalipi vizuri mshahara
  3. A

    Kova aapa kuikagua JamiiForums kila siku kutafuta wachochezi wa Udini!

    kazi ipo sasa watakopost kwa kutumia PC za cafe,sasa IP addresse watamkamata mwenye internet cafe au?au ndo kina Invisible inabidi wasilale kila siku,kazi ipo ili kufuta msg za udini
  4. A

    Kova aapa kuikagua JamiiForums kila siku kutafuta wachochezi wa Udini!

    watahamia facebook na mitandao mingine ya jamii.Udini wameuanzisha wao
  5. A

    Msaada: Mtoto wangu amekunywa petrol

    mpe huduma ya kwanza pia mpekele hospital.wapigie simu hospital uliza huduma ipi ya kwanza waweza mpa
  6. A

    Methali hizi zinazohusu mwanamke,,Je kuna ukweli au imepitwa na wakati?

    mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
  7. A

    Nionavyo Mimi: Hizi ndio Tabia Kuu za Watanzania [Sterio Type]

    ndugu wa mme kuja nyumbani,wakiona mfano mna pasi tatu,basi anachukua moja bila hata taarifa,yani kufanya vitu vya ndugu yao kama vyao,pia kuzaa bila kujiandaa ukifiwa namme unapeleka watoto kwa shemeji yako mwenye uwezo ilihali na yeye ana familia yake
  8. A

    Kubadili matokeo IV 2012: Prof. Mukandala aivimbia serikali!

    hata mimi ningekuwa wao,ningeachia ngazi
  9. A

    Luhanjo ateuliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Baraza La Chuo SUA

    aisee wengine ni kifo tu ndo retirement yao otherwise hata kama wana 79 wanaajiriwa tu
  10. A

    Mjue RUGE na wasanii wa TANZANIA

    I second Ruge,hao anaowashusha mbona na wao wanakubali kushuka?kwani Huyo Diamond alifungwa kamba akaimbe huko mlimani city,kama hawajui haki zao it is up to them?
  11. A

    Shule nzuri ya wasichana..

    marian,ila umkazanie hasa,maana kuipata ni mpaka afaulu vizuri test yao,nilimpeleka mdogo wangu siku ya interview,ni magari ya nguvu yamejaa,all in all wanaangalia ufaulu wa interview na siyo magari ya gharama
  12. A

    Siyo vibaya kumpa sifa za pekee Mrema

    alikuwa akitoa siku saba ni saba kweli,Mrema alikuwa jembe,the only naibu waziri mkuu
  13. A

    Dar: Majambazi yapora na kuua

    que ton ame repose en paix,madame
  14. A

    Mume wangu anataka kuoa mwanaume mwenzie

    Dunia hii mama lukumba lukumba,Dunia ina mambo mwendo wa ngamia.
  15. A

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    ile dini ile ni balaa,Pole kwa majeruhi
  16. A

    Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

    pole sana kwa kweli
  17. A

    Swali kwa WAMAMA wenye watoto: Hivi kwa nini huwa mnafanya hivi???

    hasira kwa waume zao wanazimalizia kwa watoto
  18. A

    Kwanini Unaogopa Kufa?

    mimi kwa kweli naogopa,just because wanangu watalelewa na nani?lakini nikifikisha miaka 100 hivi,wala siogopi
  19. A

    JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

    waarabu na pajero wasukuma na baiskeli,all the best
Back
Top Bottom