Search results

  1. Gari Moshi

    Tetesi: Walimu wamegeuza Shule za Serikali kuwa Vitega Uchumi vyao

    Habari zenu wote wanajamii Forum wenzangu. Napenda kuwasilisha mshangao wangu kwenu,katika hii awamu ya sita nimeshuhudia kuwepo na kudaiwa pesa kila siku ambazo Waalimu uagiza wanafunzi kwenda nazo wakitoa sababu mbali zisizo na kichwa Wala miguu, je pesa zinazopelekwa na serikali hazitoshi...
  2. Gari Moshi

    Anayejua sehemu wanapokopesha kwa dhamana ya vitu vya thamani

    Habari ndugu wana JF. Msaada kwa anayejua wapi panakopeshwa pesa kuanzia 15,000,000 kwa dhamana ya vitu vya thamani Kama nyumba, gari ,mitambo n.k Nawakilisha.
  3. Gari Moshi

    Daktari anapaswa kuudumia wagonjwa wangapi kwa siku?

    Maana Hospitali ya Temeke hadi saa hizi saa 11:50 usiku toka saa 10:00 usiku hakuna Daktari anaewaudumia wagonjwa je hakuna usimamizi au tathmini ya sensa Temeke hapa sielewi kwanini Daktaria wa dharura awe mmoja usiku.
Back
Top Bottom