Search results

  1. JAKOBO

    Kwa wenye taarifa mnifahamishe uchaguzi tayari umeanza?

    Wadau poleni namajukumu! Baada ya salamu naomba kwa wenye kujua au kuwa na taarifa mnifahamishe.Je uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji,Serikali ya vijiji,Halmashauri ya vijiji umeshaanza?.Nauliza hivyo kwasababu nina taarifa za uhakika kuna sehemu umefanyika tangu jana na leo wamemalizia nafasi...
  2. JAKOBO

    Misaada nchi za Africa

    Rais Kikwete ayataka Mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa kutekeleza ahadi zake kwa wakati! Sorce Tbcccm Taarifa ya saa mbili usiku Swali nililojiuliza ni kwanini viongozi wetu wanashindwa kutumia resource zilizopo namatokeo yake wanashinda kupiga magoti nje? Na je yeye ahadi zake...
  3. JAKOBO

    CHADEMA yakamilisha uchaguzi Kigoma, Kigaila kuunguruma kesho uwanja wa Mwanga Center

    Baada ya CHADEMA kukamilisha uchaguzi wa viongozi wa mkoa wa Kigoma, Mheshimiwa Benson Kigaila ataunguruma kesho katika uwanja wa Community Center Mwanga majira ya saa 8:30mchana mpaka 12:30jioni akiwatambulisha viongozi wapya wa mkoa wa Kigoma nahasa kuwashukuru wazalendo wasioyumbishwa na...
  4. JAKOBO

    Jamani hivi hakuna wa kutusaidia sisi Wanyonge Mateso haya ya Police wa Kibondo?

    Nduguzangu Watanzania wenzangu nimeamua nitoe malalamiko yangu hapa Jamvini kwa niabaya wanyonge wanaonyanyaswa na police wa Mkoa wa kigoma hasa Wilaya ya Kibondo. Jamani police hawa wakiongozwa na OCD wao wamezidi kutubambikia kesi wakishirikiana na wenyevitiwa vijiji nawatendaji kwa...
  5. JAKOBO

    Wafanyakazi wa hospital ya mkoa wa Kigoma waanza mgomo leo

    Habari nilizozipata kutoka Hospital ya rufaa ya Mkoa wa kigoma( Maweni) watumishi wa Hospital hiyo wameanza mgomo leo hii kwa madai ya kushinikiza malipo yao ya call allowance ya kuanzia mwezi wa tano 2013 mpaka mwezi wa saba. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari hii kutoka ndani ya...
  6. JAKOBO

    Barabara ya Songea to Tunduru inasikitisha,inaudhi,inakatish a tamaa!

    Hauwezi kuamini ila ndio ukweli ktk Tz ya leo miaka 50 unatoka wilaya 1ndani ya mkoa 1 km 260 kwa siku 2hadi3 tena kwa magari pekee 109 Landrover je hii ni haki?
  7. JAKOBO

    Ya Mwakyembe,Ya Wikileaks naya IFM tuyatafakari!

    Mengi yaliyosemwa nawakubwa au yaliyowekwa kwenye mitandao hatutayasahau!.Mwenyekiti wa kamati teule ya Bunge iliyochunguza Richmond Dr H.Mwakyembe alisema kama kamati ingeamua kuwekawazi yote waliyobaini Serikali nzima ingeanguka alimaanisha nini?. Na yaliyowekwa kwenye mtandao wa Wikileaks ya...
  8. JAKOBO

    NiMAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AU MAISHAYAO NI BORA KULIKO KILA MTANZANI?

    Wakati watanzania tukisubiri neema tuliyoahidiwa na chama kinachoongoza dola tangu 2005 mpakasasa ambavyo kimsingi bado mwaka mmoja kianze kuomba ridhaa kwa wananchi tena ili kiingie madarakani. Sasa ni dhahili neema hizo zimeota mbawa!.Wakati mikoani mpaka wilayani wakingoja ahadi lukuki...
  9. JAKOBO

    Ccm inaposhindwa na kuamua kuhamisha Propaganda za kadi toka mkoa1 hadi mwingine

    Habari tulizozipata kutoka ndani ya Ccm mkoa kigoma zinasema kwamba ule mpango uliokuwa ufanyike mkoani Iringa wa wakuwapa kadi za Chadema wanachama wa Ccm ili wazitoe kwenye mkutano wa Ccm umehamishiwa mkoani Kigoma katika kuadhimisha sherehe za kuzaliwa kwa chama hicho.Mpango huo umeandaliwa...
  10. JAKOBO

    Je wakazi wa Kigoma tuwape majibu gani CCM kwa kauli hizi?

    Hivi majuzi Sekretarieti ya CCM wakiwahutubia wanachama wao waliokwenda kuwapokea na mara tu ya kuwasiri mkoani Kigoma tokea Dar es Salaam,katibu wa itikadi na uenezi wa CCM bwana Nape na katibu mkuu wa Chama hicho bwana A.Kinana waliwambia wanachama wao na wananchi kwamba wamekuja Kigoma kwa...
  11. JAKOBO

    Naomba kujiunga ktk jamvi hili

    Nawasalimia wadau wote wa JF.Mimi nimdau mpya wa jamvi hili nikiwa Kigoma huku tulipovamiwa na majangiri na mafisadi.Naomba ushirikiano wenu ktk kufanikisha kupeana habari zenye tija kwa taifa hili la watanzania tuliokata tamaa!.Naomba kuwasilisha
  12. JAKOBO

    Mvuja jasho

    Nawasalimia wadau wote wa JF.Mimi nimdau mpya wa jamvi hili nikiwa Kigoma huku tulipovamiwa na majangiri na mafisadi.Naomba ushirikiano wenu ktk kufanikisha kupeana habari zenye tija kwa taifa hili la watanzania tuliokata tamaa!.Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom