Search results

  1. M

    Matokeo kidato cha sita 2014, je hakuna aliyepata alama a kwenye physics tanzania nzima

    Advanced physics bas2 Ndo hiyo inawanya wa2 wasipate point3 . cheki mwaka Jana T O alikua na C ya phys. Seriously phys in mziki
  2. M

    tosamaganga sec:2013

    Kuna Mwana wangu mmoja ndo anaingia cha tano, we jipange atakutoa, he is known as JELLA.
  3. M

    Msaada wakuu kuhusu sengerema secondary

    daaah wee kaza mwendo. self loockers zipo na utakabidhiwa funguo wako. we jipange. .
  4. M

    Msaada wakuu kuhusu sengerema secondary

    Oy, School Ina Maghorofa Ya ukweli2 kama usha fika tarime sec au mwenge ndo style ya kihivyo. school iko karibu na bwawa xo ma breezing yapo ya kutosha. kuhusu religious aspects. school haijabana. wanao ena kusali nifresh mno wengine wanakataga sikunzima hawapo school j2 na j1...
  5. M

    anayeijua Sengerema sec anjuze

    Kuna Lihed Master linano itwa mr.kahema. daaaaah peaceful sana. * lakini kumbuka mwaka jana mwanafunz alidanja kwasababu ya miundombinu mibovu ya vyoo. ***( inshortly)**** daaa ilikua ndo form six wa PCM wamebakiza mtihan mmoja. mchiz kapiga pindi la kutosha, majira ya saa 10/11 arfajiri...
  6. M

    Wale tuliosoma saana PCMy huwa tunaagana namna hii!

    Ooooh, Je H kunan wanaagana vp?
  7. M

    "MZUMBE SEC JAMANI". *mwenye joining instruction ya mzumbe. 2fahamishane.

    Bandugu, naomba Mwenye joining instruction ya mzumbe sec school, anifaha mishe basic needs. *** msaada wenu utasaidia.***
  8. M

    niaje, nivp kuhusu mzumbe secondary? wamzumbe 2juliane.

    ]hongera kwa kuchaguliwa special school, nimemaliza hapo o level advance nkaenda taboraboys ****wow, Nawe pia hongera, now uko cha ngapi au ndo unaingia mwaka huu?*****
  9. M

    niaje, nivp kuhusu mzumbe secondary? wamzumbe 2juliane.

    Oh, Angalau mnaniinsipire. vp lab Zipo zenye vifaa?
  10. M

    niaje, nivp kuhusu mzumbe secondary? wamzumbe 2juliane.

    Nicheck Fb kwa jina la ebenezar mgassa mhoja.
  11. M

    niaje, nivp kuhusu mzumbe secondary? wamzumbe 2juliane.

    Ok, nice if posible nicheck fb, 2fahamiane zaidi.
  12. M

    niaje, nivp kuhusu mzumbe secondary? wamzumbe 2juliane.

    Sijaelewa, Ndo una maanisha pako pouwa au?. niaje Vp Walimu waukweli Wapi Lakini?
  13. M

    niaje, nivp kuhusu mzumbe secondary? wamzumbe 2juliane.

    Yes Guys kuhusu mzumbe sec school 2ambiane jamani. (1) kwanz ina combinantion ngapi? (2) miundo mbinu niaje? (3) maisha ya kischool yamekaaje?
  14. M

    Mkuu mpya shule ya sekondari Kahororo anashusha taaluma

    Daaaah Mnanitisha, Kwahiyo nihame kahororo, au vp nipeni maushauri.
  15. M

    Kahororo secondary school - mpo humu ?

    Duuuh, Mbona nakata tamaa kuripot kahororo halafu niko pcb hayatanikuta na mie kweli?
  16. M

    Eti kama hijasoma tuition na unaenda government physics itakusumbua

    ondoa shaka, mbona mateacher wao kwaajili yako. sema2 kama hujasoma inamanisha ukifika school kwenye prepo utakua unasinzia2 kwa maana huna cha kusoma.
Back
Top Bottom