Search results

  1. hyle master

    Nawezaje ku-remove Google Deceptive Site ahead

    Thanks ngoja nifanyie kazi mkuu.
  2. hyle master

    Nawezaje ku-remove Google Deceptive Site ahead

    Habari Wakuu, Kuna mwenye idea ya kuweza kutoa hii kitu my website uki acess via chrome browser / google search engine ina display hio message msaada tafadhali.
  3. hyle master

    Technology iliyotumika kuunda Faceapp

    Habar for past 2 days FAceapp imepata umaarufu mkubwa na watumiaji wengi je nyuma ya faceapp kuna technology ipi imetumika kuunda hii application je kuna any risk ya privacy kwa watumiaji wa hii app
  4. hyle master

    Code Challenge for Dar-es-salaam SVG Map

    Napenda kutambulisha kwenu Dar-es-salaam SVG Map code challenge ambayo utatakiwa kutengeneza ramani ya Dar -es-salaam katika mfumo wa SVG .Dhumuni la challenge hii ni kuwa na platform ambayo itawezesha watu ambao wapo kwenye Programing Sector kupata fursa ya kuonyesha skills zao na kupata...
  5. hyle master

    Matibabu LASER SURGERY(LASIK)

    Habar wakuu nigependa kufahamu kama kuna taasisi ya afya Tanzania inayotoa huduma ya LASIK na gharama zake
  6. hyle master

    To All graphic designers (Animators)

    Check out Tz Animator Community Page yao instagram Tanzania CGI Artists (@3danimatorztz) • Instagram photos and videos
  7. hyle master

    Web Design Tips

    okay that also works fine
  8. hyle master

    Web Design Tips

    Kwa watakao kuwa interested kufahamu tips mbalimbali in web design waweza request kitu gani ungependa kujifunza na nitakitolea maelezo ...... 1.jinsi ya kutengeneza simple log in form 2.jinsi ya kutengeneza data table
  9. hyle master

    Cover songs za kukusisimua

    Now wabongo washa anza kufanya cover ...... for more cover from TZ visit WoAS _ Work of Art Studio
  10. hyle master

    Series (Special thread)

    yaa nimeangalia eps 1 tu iko vizur ngoja nishushe zingine ...
  11. hyle master

    Satellite Phones kama Thuraya na Iradium

    Globalstar wanahuduma nzuri na cost zao ni affordable ila kwa africa Thuraya ....coverage yake inafanya kazi vizur ila price za huduma ziko high.. waweza cheki kwenye Satellite Phones & Rentals from Globalstar, Iridium, Inmarsat & Thuraya - Satellite Phone Rental Products and More
  12. hyle master

    Msaada bei ya nokia lumia yenye 4g

    kwa sasa utapata nokia 6 ina run android
  13. hyle master

    Series (Special thread)

    wadau kuna anayefatilia Mednight Texas
  14. hyle master

    Top 10 tz Youtube channel zinazo tembelewa sana

    mkuu nimejaribu ku search channel za watu mbalimbali zinaonyesha taarifa zao kuna channel zenye views mpaka 50views sijajua kwanini yako haionyeshi ila unakuta zengine hazionyeshi no subscriber kama ume set off channel isionyeshe no of subs
  15. hyle master

    Top 10 tz Youtube channel zinazo tembelewa sana

    Hii ni Top 250 YouTubers Channels in Tanzania - Socialblade YouTube Stats | YouTube Statistics
  16. hyle master

    Top 10 tz Youtube channel zinazo tembelewa sana

    List ya youtube chanel zinazo tembelewa kwa wingi tanzania Rank Grade Chanelname Video Uploads Subscriber Video Views 1st B+ Global TV Online 4,215 320,636 98,126,646 2nd B+...
  17. hyle master

    Cover songs za kukusisimua

    j fla now days ametake over cover industry
  18. hyle master

    Cover songs za kukusisimua

    now mambo ya sing off wadau
Back
Top Bottom