Search results

  1. Eliezar Mlwafu

    Phone4Sale Nokia 7.1 inauzwa

    Laini ngapi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Eliezar Mlwafu

    Angalia kama vinakufaa, vitu hivi vinauzwa haraka

    Computer moja unauzaje Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Eliezar Mlwafu

    Nauza ving'amzi vya Azam na Dstv, jiko la gesi na mtungi wake, na Microwave

    Mm nahitaji remote ya Azam nipo makunbusho. 0785699172 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Eliezar Mlwafu

    Naomba ushauri: Nataka kuifanya gari yangu ya IST kuwa ya biashara ya Uber

    Nataka kuifanya gari yangu IST kuwa ya biashara ya UBER ilikuwa ni 'Private' lakini sasa nimeshaibadili, kila kitu kuwa 'Commercial' So kitu ambacho sijui ni namna ya kujiunga na hii huduma ya Uber. Msaada wenu tafadhari wa maelekezo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Eliezar Mlwafu

    E72 classic phone brand new boxed

    Hiyo bei [emoji4][emoji4]
  6. Eliezar Mlwafu

    Msaada wenu tafadhali

    Ipi ni gari nzuri kati ya Tyota premio na Toyota voltiz.
  7. Eliezar Mlwafu

    Vifaa vya salon ya kisasa vinauzwa

    Kiti cha kukalia bei gani, nahiyo ya kutunzia mashine
  8. Eliezar Mlwafu

    Nahitaji mabando ya magazeti

    Unataka yankufungia nyama buchani ee [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Saiv mnataka mtulishe habari za kiarabu
  9. Eliezar Mlwafu

    Dell Laptop for Sale

    Mm nina 350 0629079452
  10. Eliezar Mlwafu

    Saluni ya kiume inauzwa

    Uza kitu kimoja kimoja, mm binafsi nahitaji kiti cha kukalia
  11. Eliezar Mlwafu

    MSAADA WA KITARAMU NA UZOEFU

    Naomba KUJUA AU KUPATA USHAURI MZURI ,NI MACHINE IPI NZURI KWAAJIRI YA KUFANYIA MAUZO YA LUKU,NA HUDUMA ZA VING'AMUZI? Tafadhari mwenye uelewa tupeane ushauri.
  12. Eliezar Mlwafu

    NAHITAJI FLEMU MAENEO YA MWANAYAMALA

    Iwe sehemu nzr ambayo inaweza kufaa kwa saloon ya kiume. Kodi isizidi lak 1 kwa mwezi. 0785699172 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Eliezar Mlwafu

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Mwenge mwana nyamala kijitonyama,Kawe, itafuqtana na bei yq flem Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Eliezar Mlwafu

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Mm nataka frem ya saloon ya kiume Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Eliezar Mlwafu

    Vikombe vyenye nembo ya timu ya mpira au picha unayoipenda

    Hazifutiki hizo picha au kupauka kikombe kinapo oshwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Eliezar Mlwafu

    Kwa anayeuza kiwanja mkoa wa mbeya

    Nahitaji kiwanja mkoa wambeya maeneo ya Uyole, kiwe na hati miliki, na kiwe kikubwa pia.huduma zote za kijamii ziwe zinapatika, Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Eliezar Mlwafu

    Vikombe vyenye nembo ya timu ya mpira au picha unayoipenda

    Ok, Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Eliezar Mlwafu

    Hallow wapendwa

    Nauliza njinsi ya kunujua nakuza fedha za kigeni, na faida yake na hasala kwa ujumla. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Eliezar Mlwafu

    Vikombe vyenye nembo ya timu ya mpira au picha unayoipenda

    Bei gan Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom