Kutokana na comments za baadhi yenu sasa nimeelewa kuwa kuna mgao ambao haujatangazwa rasmi...
Kiukweli maisha ya watanzania ni magumu sana na ugumu huu unasababishwa na serikali kutokuwajali wananchi wake, kama hivi sasa kuna mgao na makali ya maisha yalivyo shikamoto sasa wenye kutegemea...
Inaelekea kuna mgao wa umeme wa kimya kimya mkuu... Kama unavyo jua hii nchi yetu ni vigumu sana kukiri kuwa kuna mgao kwa haraka hivi hadi tatizo liwekubwa ndio wakiri ili wapate na upenyo wakufanya ufisadi wao wapate fedha za uchaguzi mwakani..
Ila kwa watu maskini na wajasiriamali kama sisi...
Ni takribani mwezi sasa wakazi wa Mbezi Beach tupo kwenye mgao wa masaa 12/14 kila baada ya siku moja
Mwanzo Tanesco walikuwa wanatoa matangazo kuwa wanakata miti kwenye wiki ya kwanza baada ya hapo hakuna taarifa yoyote kutoka tanensco. Kuhusu huu mgao unaoendelea kimya kimya kila baada ya...
Jamani acheni kumuandama mwenyekiti/mbunge wangu, ulimi uliteleza tu! "Siasa siHasa" Atahivyo ni mda wake muafaka wa kuachia nafasi ya uenyekiti kwa watu wengine sasa, chadema kuna watu wengi makini sana ambao wanauwezo wakukiendesha chama hata na kumzidi Mbowe, Tusipo angalia ili swala la...
Tatizo lipo kwetu watawaliwa (wananchi) unadhani tungekuwa tuna tammbua haki zetu na kuzidai kwanguvu kuna mshenzi yoyote ambaye angeweza kuja na hoja ya kipuuzi namna hii? umefika wakati sasa tuwaambie imetosha.
Siwezi kuunga mkono ili swala, hivi unajua ndani ya tanzania kuna ardhi ambayo siyo mali yetu? Ambayo viongozi wetu wameuza kwa mataifa ya kiarabu toka enzi za Mwinyi?
Ziwa Nyasa ni mali ya Wamalawi,kwa nini unataka tumwage damu kwaajili ya kuwanyanganya wa Malawi ardhi yao? Ingali...
Nimepata elimu safi sana ya maswala ya uzazi.... Hakuna sababu ya kusingizia tena hapa eti ooh unajua H ndio tulipanga awemtoto wetu wa mwisho ila K ilikuwa bahati mbaya tu, sasa ni mwendo wa science tu!
Habari wana jf'mm n member mzuri sana wa hii rum ila cjawahi ku comment chochote coz najikuta nasoma 2 comm za wa2 na kurifresh mind! Nimeamua nimuache kila mwez mimba nimechoka best"nimaneno ya rfk yangu ndan ya mastory hebu mpeni ushauri jaman about condom zinampa fangasiiii! Thx.
Habari wana jf'mm n member mzuri sana wa hii rum ila cjawahi ku comment chochote coz najikuta nasoma 2 comm za wa2 na kurifresh mind! Ok' leo nimejikuta natinga kwenye uwanja.majuz nilienda kumpa hi my best ndani ya story akaniambia ameamua kuachana. Na rfk yake wa kiume coz anapata mimba every...
Dah! hii habari imenishtua sana, pia siwezi kushangaa kwani siyo Igunga peke yake ukitembelea baadhi ya majimbo kadhaa utakutana na hali kama hii... Hii hali haikupaswa kuwa sehemu ambayo tajiri mkubwa na kifisadi wa kimataifa Rostam anatoka, nilitegemea wananchi wa huko wangekuwa na maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.