Search results

  1. H

    CCM na "sizitaki mbivu hizi"

    “CCM NA SIZITAKI MBIVU HIZI”. Hivi karibuni vyombo vya habari hasa magazeti vimekuwa vikiripoti juu ya mchakato wa uchaguzi mdogo wa Igunga.Binafsi nimevutiwa na mkakati wa CCM kumtumia Raisi mstaafu Benjamini Mkapa pamoja na Mh Rostam Aziz Mbunge wa Igunga aliyejiuzulu.Nianze na hili la...
  2. H

    Mzigo wa madeni ni hatari kwa taifa

    KWA MUKTADHA HUU WA MADENI NCHI HAITAENDELEA. Mdhibiti na Mkaguzi wa Heasabu za Serikali (CAG),Ludovick Utouh amesema katika ripoti yake ya mwaka wa fedha wa 2009/2010 kuwa deni la taifa katika kipindi hicho liliongezeka kwa asilimia 38 kutoka shilingi 7.6 bilioni hadi 10.5 trilioni.Hizi...
  3. H

    Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

    Kwanza nikupongeze kwa kutaka kufungua tawi la chama chako nje ya nchi ni haki yako katika kukijenga chama,lakini ujenzi wa chama unaanzia nyumbani je huku ushafungua mangapi?.Mbili huu msamiati mlioanzisha wa kujivua gamba nadhani mmechelewa gamba lilitakiwa litoke siku nyingi na kama dhana...
  4. H

    Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

    huyu askofu nadhani ni mmoja kati ya watu wanaofaidika na ufisadi nchini.Chadema na Dr Slaa wamekuwa maarufu kabla hata ya kuwataja hao mafisadi.Amekuwa bungeni miaka 15 bado umaarufu alikuwa nao,na hao hao aliowataja pale mwembeyanga wengine tayari wako mahakamani.Suala la huyo askofu kusema...
  5. H

    Kashilila hukumtendea haki Lema

    Siku ya jana nilishtuka sana nilipokuwa nikimsikiliza katibu wa bunge Ndugu Thomas Kashilila katika moja ya vipindi vya taarifa ya habari ya Star tv.Huyu bwana alizungumzia mambo mawili makubwa moja likiwa ni zomea zomea bungeni na suala zima la katiba mpya. Katika zomea zomea katibu huyo wa...
Back
Top Bottom