Search results

  1. K

    Baada ya Mzee Kikwete kusema yeye binafsi ndio aliteua yale majina 5 ya wagombea Urais 2015, nimekubaliana na demokrasia ya CHADEMA

    Hii kauli yake ingekuwa na maana zaidi kama angeongea kipindi Marehemu mzee Mkapa na Magufuli wakiwa hai.
  2. K

    Dr.Mwinyi na Mke wa Seif

    Usidhani inatokea kwa bahati tu.Kuwa Rais Tanzania kwa Muislam ni lazima uwe Muislam poa wa kutokea Bakwata.Ukiwa siasa kali kama kina Ponda,Urais utausikia kwa wengine.Kwahiyo ondoa dhana kuwa yeyote muislam akiwa Rais atakuwa na ubinadamu tofauti na wakristo.
  3. K

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mkuu huyu mtoto ni mtanzania? Nisaidie kupata mawasiliano yake kwenye PM. Thanks
  4. K

    Rais Mtarajiwa akiiwakilisha nchi nje ya Tanzania

    Kiingereza na Kiswahili ndizo lugha rasmi Tanzania.Hoja yangu ni kwa wale wanaombeza Magufuli kuwa hajui Kiingereza.Kumbe wote Magufuli na Lowasa hawajui Kiingereza vizuri. Sijawahi kuandika kuwa uongozi imara unahitaji kujua Kiingereza kwanza
  5. K

    Rais Mtarajiwa akiiwakilisha nchi nje ya Tanzania

    Wote Magufuli na Lowasa hawajui Kiingereza vizuri.
  6. K

    Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

    usitishe watu wewe..Nitzsche alikuwa mzee wa totoz na alipata mental breakdown kwa sababu ya kaswende na ndiyo ugonjwa uliomuua baada ya kusambaa kwenye mfumo wake wa fahamu(neurosyphilis)kwavile wakati huo hakukuwa na matibabu ya kaswende lingine?
  7. K

    Dk. Magufuli atangaza kugombea Urais 2015

    Bora sasa tuongozwe na mtu aliyesoma sayansi dume.Watu wa arts/uchumi washaongoza kwa awamu nne,lakini li nchi linazidi kuwa masikini tu,eboo
  8. K

    Mwakyembe atimiza ahadi kwa kumwaga mapesa

    Huyo mama wa kati meno yote nje,udenda unamdondoka hapo anawaza kama vipi akabidhiwe yeye mzigo wote duh!
  9. K

    Ingekuwaje hii barabara ingejengwa na mtanzania?

    nafananisha na barabara ya kutoka bologna/florence kwenda roma Italia,ama?
  10. K

    Our first Christmas in Hawaii

    kajaribu mkuu huwezi jua zali la mentali au kwenye maombi kwa kina gwajima!
  11. K

    Cheapest calls to Tanzania

    nimekuelewa,isipokuwa tatizo watu wengi na mazungumzo marefu,hivyo inakula hela sana hata kwa skype
  12. K

    Cheapest calls to Tanzania

    mkuu mazungumzo marefu na watu ni wengi,vikadi hivi vinakula pesa kichizi
  13. K

    Cheapest calls to Tanzania

    ngoja nitume simu zenye uwezo wa internet,nimeshapata tiba ya hili gonjwa!
  14. K

    Cheapest calls to Tanzania

    nimeshagundua,napoteza pesa nyingi kupiga kwa voip,wacha niwatumie smartphones tutafutane kwa viber na skype
  15. K

    Cheapest calls to Tanzania

    Ushauri mzuri mkuu,nakushukuru
  16. K

    Cheapest calls to Tanzania

    Wengine hela zetu tunatafuta kihalali,tunachapa kazi na ndiyo maana tuko makini kwenye matumizi.Wengi wenu bongo mnaishi kifisadi,eti milioni 10 hela ya mboga,kwi kwi kwi
  17. K

    Cheapest calls to Tanzania

    Hawa InternetCalls/Voip wamepandisha gharama za kupiga simu mpaka cent 25 kwa dakika both kwenda landlines na mobile phones from Europe.Nisaidieni wakuu,hivi hakuna mtandao mwingine cheaper kuliko hawa?
  18. K

    Car Rentals: Nina wageni wanataka kukodi gari

    Asanteni Lara 1 na Donald nimeku pm,nitakupigia.Wako wanne,wanahitaji gari ndogo sedan au suv,itawatosha.Ukiacha green car kuna kampuni nyingine?Nataka kulinganisha gharama
  19. K

    Car Rentals: Nina wageni wanataka kukodi gari

    Naomba mnisaidie jina la kampuni inayokodisha magari kwa Dar Es Salaam na gharama zake kwa siku,wiki au kwa mwezi.Nina wageni wameniomba niwasaidie kutafuta infos Asanteni
  20. K

    Msaada wa haraka ndugu zangu

    Naomba kwa yeyote anayemfahamu Daktari bingwa wa koo wa watoto(pediatric laryngologist)kwa Dar Es Salaam anisaidie mawasiliano yake.
Back
Top Bottom