Search results

  1. MKEHA

    January Makamba hasikiki sana kama Mawaziri wa Mambo ya Nje waliotangulia

    Zamani mawaziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa walikua wa moto sana wakiwemo mheshimiwa hayati Benjamen William Mkapa, Jakaya Mrisho Kikwete, Bernard Camilius Membe. Hata mawaziri wa serikali ya hayati John Pombe Magufuli yule mama Mulamula, Stagomena Tax na Prof Kabudi kama...
  2. MKEHA

    Foleni Barabara ya Dodoma - Dar husababisha hasara kubwa Kwa Taifa

    Leo nimeonja radha ya mvua kwa kukaa hapa Mtanana karibu na Kibaigwa Kwa saa nne. Nimeshuhudia foleni kubwa sana ya malori na mabasi huku abiria wakiwa hawana cha kufanya. Hii barabara ya Dodoma to Dar inahitaji jicho la ziada kwani unabeba uchumi wa taifa letu. Barabara hii kufungwa kwa...
  3. MKEHA

    Hii foleni ya Vigwaza inarudisha Uchumi wa Tanzania nyuma

    Nimepita Vigwaza kabla ya mizani ukitokea Dar ile hali sio kabisa serikali iingile kati. Unaweza kudhani ni hujma kwa uchumi wa Tanzania. Foleni kilomita tatu sio jambo la kuchekea hata kidogo. Hata askari police nao hawapo ku regulate halli mambo yanajiendea hovyo tu.
  4. MKEHA

    RITA Dodoma kuna mambo hayako vizuri

    Leo nomefika ofisi za RITA DODOMA kuanzia saa tatu na robo mpaka naondoka saa Saba mchana sikupata huduma. Nimefika pale kwenye ofisi zao zilizopo Makole kwenye jengo la PSSSF gorofa ya tano nilichoshuhudia ni maajabu. Kwanza hakuna dawati la maulizo wala huduma kwa wateja. Kulikuwa na nyomi...
  5. MKEHA

    Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

    Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa. Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch. Je...
  6. MKEHA

    HESLB wamekuwa matapeli ama vipi?

    Hawa ndugu zetu wa bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu siwaelewi. Wakiwa wanakudai kila siku wako mlangoni kwako na kama umeajiriwa kila siku unao ofisini kwako. Hiyo yote ni kuonyesha how serious they are. Shida inakuja unapomaliza deni lako na ukawa umewalila zaidi kwa maana ya OVER...
  7. MKEHA

    Inawezekana tatizo la ajira likawa la ukanda

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wabunge wengi waliochangia kamati ndogo ya sheria na ajira kuna kubebana sana kwenye SECRETARIAT ya ajira. Wabunge wamesema siku hizi kuna kanda watu wake hawaajiriwi kabisa. Kuna vimemo vinawataka wabunge watie mkono ili ajira zitoke. Je NEPOTISM inatokea ndani...
  8. MKEHA

    Samia Suluhu Hassan anaweza kuwa mwanasiasa maarufu ndani na nje ya CCM

    Amekuwa na wakati mzuri sana kwenye uongozi wake ndani ya muda mfupi. Ukiona mpaka viongozi wa upinzani hasa chama kama CHADEMA wanamkubali na kushiriki kwenye mwito wake ujue huo ni uungwana mkubwa na anaoonyesha kuyataka maridhiano kwa nguvu hata kama chama chake kinaweza kisiwe nae bega kwa...
  9. MKEHA

    Unachokiona sio anachokiona mwenzio

    Kwenye mti mmoja mjenzi ataona mbao, mpishi ataona idadi ya kuni, mganga ataona dawa, mkataa mkaa ataona idadi ya magunia ya mkaa, ndege ataona makazi na usalama, mwingine ataona kivuli, twiga na ndovu wataona chakula na wana mazingira wataona mapambo na mvua. Kila mtu anaona jambo kwa tofauti...
  10. MKEHA

    Uadilifu wa Wakurya ulificha madhaifu ya Polisi

    Habari wana JF Matukio mawili ta hivi juzi kule Mtwara na Kilindi mkoani Tanga kwa polisi kutuhumiwa kuua imekuwa habari nzito sana nchini Tanzania. Polisi wanaonekana kupoteana badala ya kulinda raia na mali zao sasa wanatuhumiwa kuhujumu jitihada za raia na mali zao. Lakini naona kama jeshi...
  11. MKEHA

    Kuna siku Tanzania itakuwa na wakuu wa mihili yote mitatu wanawake

    Sasa naanza kuiona Tanzania ikiwa na wakuu wote waihili wakiwa wanaake. Yale maazimio ya Beijing yameanza kuzaa matunda kwa Tanzania. Sasa ule wasiwasi wa wanawake hawawezi katika kushika madaraka makubwa yameanza kuisha siku hadi siku. Uteuuzi wa Dr Tulia Akson Mwansasu kutoka CCM kuwa...
  12. MKEHA

    Zanzibar wanapunguza gharama za kuunganisha umeme, Tanzania bara tunaongeza

    Jana rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza mapinduzi akihutubia mwananchi wa Zanzibar katika kuhitimisha maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar alitoha hotuba nzuri sana. Aligusia mambo mengi sana yaliyofanyika na wanayo tarajia kufanya siku za usoni. Wameweka kipaumbele kwenye kuzalisha umeme...
  13. MKEHA

    Mwaka 2008 alijiuzulu LOWASSA nikiwa Dodoma, na 2022 amejiuzulu NDUGAI nikiwa Dodoma tena!

    Nakumbuka mwaka 2008 nikiwa mitaa ya Kisasa ama nyumba mia tatu nilisikiza hotuba kali kutoka bungni Lowassa akiachia uwaziri mkuu wa jamhuri yq mungano wa Tanzania chini ya spika Samwel Sitta. Ilikuwa hotuba ya kusisimua sana kutoka kwa Lowassa baada ya kamati ya Mwakyembe kumtuhumu kuhusika na...
  14. MKEHA

    2025 fever Ndugai bado hajasamehewa

    Mama sasa katumbua jipu, wala hajapepesa macho. Mzanzibar katoa ya moyoni mwake. Ndugai kama ana akili nzuri atajitoa kwenye kiti
  15. MKEHA

    Mwanzo mbaya kwa Ndugai ni pale aliposema YESU ana mke

    Spika wetu Job Ndugai amekuwa mtu wa kujijitea kila anapotoa hotuba zake kwa umma. Habari ilianzia pale aluposema alishawahi kufika Galilaya pale ambapo Yesu na mkewe walipita. Hapo ndipo upepo mbaya ulianza kwa spika wetu. Kuanzia hapo mpaka sasa kila Ndugai akitoa hotuba lazima ipate...
  16. MKEHA

    Tumeanza kupotea Utambulisho wetu kama taifa?

    Siku hizi nimeanza kupata wasiwasi sana juu ya utambulisho wetu wa makabila. Sijui nini kinatokea kwenye jamii zetu. Juzi nilikiwa na kijana mmoja kutoka mkoani Mara katika kujitambulisha mpaka nilishtuka sana, kwani kwenye utambulisho wake sikusikia majina niliyo yazoea kutoka mkoa huo kama...
  17. MKEHA

    Usibweteke kisa tu kiongozi mkubwa anatoka kwenu au ni wa dini yako

    Huwa najiuliza sana kwa nini watu wakisikia mmoja ya watu kutoka mkoani kwao, wilayani kwao wanashangilia sana kana kwamba wamepata uokovu. Watu wamekuwa wakabila na wadini sana kiasi kwamba hushangilia kila mmoja ya watu kutoka kwao hupata uteuzi kama vile uwaziri, naibu waziri na vyeo vingine...
  18. MKEHA

    Yaliyotokea Burundi 2015 yanaweza kutokea Tanzania 2025?

    Habari waungwana wa jukwaa hili la Great Thinkers? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwaka 2015 Burundi iliingia kwenye fujo za uchaguzi baada ya aliyekiwa rais wakati huo hayati Nkurunziza kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu mfululizo. Ikukumbwe kuwa rais Nkurunziza alipata urais...
  19. MKEHA

    Sakata la mahindi litaondoka na serikali?

    Kumekuwa na kelele sana juu ya anguko la bei ya mahindi kote nchini. Kiasi ambacho imebidi CCM iingilie kati. Nimewaona wabunge wote hasa wa CCM wakionyesha kutorodhishwa kwao jinsi NFRA inavyonunua mahindi toka kwa wakulima. Ongezekeo hili la wingi wa mahindi ni mwitikio wa wakulima kwani...
  20. MKEHA

    HESLB na Serikali wawafutie madeni wapiganaji wote wa vyombo vya Ulinzi

    Habari waungwana? Nimekuwa nikipita mitaani na kuongea na marafiki na jamaa zangu walioko serikalini, kwa kweli wanaumizwa sana na deni la HESLB. Sheria inatoa mwanya kuchukuliwa kwa % 15 ya mishahara yao ghafi kulipia deni hilo la elimu ya juu. Sio mbaya sana kwani dawa ya deni ni kulipa...
Back
Top Bottom