Search results

  1. MKEHA

    January Makamba hasikiki sana kama Mawaziri wa Mambo ya Nje waliotangulia

    Zamani mawaziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa walikua wa moto sana wakiwemo mheshimiwa hayati Benjamen William Mkapa, Jakaya Mrisho Kikwete, Bernard Camilius Membe. Hata mawaziri wa serikali ya hayati John Pombe Magufuli yule mama Mulamula, Stagomena Tax na Prof Kabudi kama...
  2. MKEHA

    Foleni Barabara ya Dodoma - Dar husababisha hasara kubwa Kwa Taifa

    Leo nimeonja radha ya mvua kwa kukaa hapa Mtanana karibu na Kibaigwa Kwa saa nne. Nimeshuhudia foleni kubwa sana ya malori na mabasi huku abiria wakiwa hawana cha kufanya. Hii barabara ya Dodoma to Dar inahitaji jicho la ziada kwani unabeba uchumi wa taifa letu. Barabara hii kufungwa kwa...
  3. MKEHA

    Mbunge Nancy Nyalusi ahoji uhalali wa KADCO kuendelea kusimamaia shughuli za Uwanja wa Ndege wa KIA

    Naombeni maelezo ya kina hasa watu wa Kilimanjaro na Hai kujua KADCO ni nani na ana maslahi gani kwa serikali maana Bunge limechanginyikiwa
  4. MKEHA

    Hii foleni ya Vigwaza inarudisha Uchumi wa Tanzania nyuma

    Nimepita Vigwaza kabla ya mizani ukitokea Dar ile hali sio kabisa serikali iingile kati. Unaweza kudhani ni hujma kwa uchumi wa Tanzania. Foleni kilomita tatu sio jambo la kuchekea hata kidogo. Hata askari police nao hawapo ku regulate halli mambo yanajiendea hovyo tu.
  5. MKEHA

    RITA Dodoma kuna mambo hayako vizuri

    Leo nomefika ofisi za RITA DODOMA kuanzia saa tatu na robo mpaka naondoka saa Saba mchana sikupata huduma. Nimefika pale kwenye ofisi zao zilizopo Makole kwenye jengo la PSSSF gorofa ya tano nilichoshuhudia ni maajabu. Kwanza hakuna dawati la maulizo wala huduma kwa wateja. Kulikuwa na nyomi...
  6. MKEHA

    Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

    Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa. Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch. Je...
  7. MKEHA

    Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Mimi mwenyewe Nina kiwanja pale KIBUYUMIMBA na ni eneo hilo hilo la RAZABA
  8. MKEHA

    HESLB wamekuwa matapeli ama vipi?

    Nini tena kimekukuta kijana
  9. MKEHA

    HESLB wamekuwa matapeli ama vipi?

    Asante kwa kunitia moyo
  10. MKEHA

    HESLB wamekuwa matapeli ama vipi?

    Hawa ndugu zetu wa bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu siwaelewi. Wakiwa wanakudai kila siku wako mlangoni kwako na kama umeajiriwa kila siku unao ofisini kwako. Hiyo yote ni kuonyesha how serious they are. Shida inakuja unapomaliza deni lako na ukawa umewalila zaidi kwa maana ya OVER...
  11. MKEHA

    Inawezekana tatizo la ajira likawa la ukanda

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wabunge wengi waliochangia kamati ndogo ya sheria na ajira kuna kubebana sana kwenye SECRETARIAT ya ajira. Wabunge wamesema siku hizi kuna kanda watu wake hawaajiriwi kabisa. Kuna vimemo vinawataka wabunge watie mkono ili ajira zitoke. Je NEPOTISM inatokea ndani...
  12. MKEHA

    Samia Suluhu Hassan anaweza kuwa mwanasiasa maarufu ndani na nje ya CCM

    Amekuwa na wakati mzuri sana kwenye uongozi wake ndani ya muda mfupi. Ukiona mpaka viongozi wa upinzani hasa chama kama CHADEMA wanamkubali na kushiriki kwenye mwito wake ujue huo ni uungwana mkubwa na anaoonyesha kuyataka maridhiano kwa nguvu hata kama chama chake kinaweza kisiwe nae bega kwa...
  13. MKEHA

    Nyongeza ya mshahara ni usanii; Kwanini?

    Nikajua umekuja na calculation za kutosha kumbe maneno matupu unategemea sisi tukupe nondo Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  14. MKEHA

    Unachokiona sio anachokiona mwenzio

    Kwenye mti mmoja mjenzi ataona mbao, mpishi ataona idadi ya kuni, mganga ataona dawa, mkataa mkaa ataona idadi ya magunia ya mkaa, ndege ataona makazi na usalama, mwingine ataona kivuli, twiga na ndovu wataona chakula na wana mazingira wataona mapambo na mvua. Kila mtu anaona jambo kwa tofauti...
  15. MKEHA

    Uadilifu wa Wakurya ulificha madhaifu ya Polisi

    Habari wana JF Matukio mawili ta hivi juzi kule Mtwara na Kilindi mkoani Tanga kwa polisi kutuhumiwa kuua imekuwa habari nzito sana nchini Tanzania. Polisi wanaonekana kupoteana badala ya kulinda raia na mali zao sasa wanatuhumiwa kuhujumu jitihada za raia na mali zao. Lakini naona kama jeshi...
  16. MKEHA

    Kuna siku Tanzania itakuwa na wakuu wa mihili yote mitatu wanawake

    Sasa naanza kuiona Tanzania ikiwa na wakuu wote waihili wakiwa wanaake. Yale maazimio ya Beijing yameanza kuzaa matunda kwa Tanzania. Sasa ule wasiwasi wa wanawake hawawezi katika kushika madaraka makubwa yameanza kuisha siku hadi siku. Uteuuzi wa Dr Tulia Akson Mwansasu kutoka CCM kuwa...
  17. MKEHA

    Zanzibar wanapunguza gharama za kuunganisha umeme, Tanzania bara tunaongeza

    Jana rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza mapinduzi akihutubia mwananchi wa Zanzibar katika kuhitimisha maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar alitoha hotuba nzuri sana. Aligusia mambo mengi sana yaliyofanyika na wanayo tarajia kufanya siku za usoni. Wameweka kipaumbele kwenye kuzalisha umeme...
  18. MKEHA

    Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    Kigoma nao sasa wasemeje maana wana Makamu wa Rais, wana Waziri wa kazi, wana Katibu mkuu kiongozi, wana katibu mkuu wizara ya Fedha, wana katibu mkuu wizara ya Maliasili na utalii kwa uchache tu. Inawezekana wana wengine siwakimhuku. Pwani kupata manaibu imekuwa nongwa? Uongozi hatuangilii...
Back
Top Bottom