Search results

  1. Junior Lecturer

    Twiga soft inauhalisia kiasi gani?

    Kuna vijana wa hovyo wamenishawishi sana nijiunge na hii kitu inaitwa twiga Soft. Nguvu wanayo tumia nikubwa mnoo. Hebu wadau waelevu nipeni nondo za hii kitu. Link hii..https://twigasoftagency.com/register?ref Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  2. Junior Lecturer

    Mapenzi yanaongezeka zaidi tarehe za mshahara tu

    Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi? Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila Mwezi, asikuambie mtu na enjoy vibaya mno utadhani tumejuana leo. Lakini akiona naanza kuacha 5000...
  3. Junior Lecturer

    Hizi online Earning zina uhalisia kiasi gani?

    Kuna Mwanangu amenithibitishia kuwa ame withdrawal $200 kupitia hii link https://easy-earn.homes/247786048691
  4. Junior Lecturer

    Tengeneza pesa mtandaoni.

    https://easy-earn.homes/247786048691
  5. Junior Lecturer

    Phone4Sale Samsung Galaxy A21S bei laki tatu

    Rom 4GB RAM 64 GB Batry 5000mh Conditions 95% New. Mawasilion inbox.
  6. Junior Lecturer

    Hizi pesa za TCU zinaendaga wapi, hazipigwi kweli?

    Kila kichwa kinachopitia chuo lazima kilipie ada ya TCU. Sasa ninachojiuliza mbona sijasikia hata siku moja TCU wamejenga hata chuo cha wanafunzi wenye mahitaji maalumu ? Hii mkwanja yote huwa inaenda wapi? 2.4 TCU Quality Assurance Fee 20,000.00 20,000.00
  7. Junior Lecturer

    TV4Sale Samsung TV, nchi 42 bei 550000

    Location Mwanza Kishiri Kwa mawasiliano njoo inbox Nina shida ya hela, kimfaacho mtu chake.
  8. Junior Lecturer

    SoC02 Mkakati wa kupunguza uhalifu kupitia Polisi Jamii

    Jukumu la kupunguza uhalifu na wahalifu ni jukumu la jamii nzima. Mkuu wa Jeshi la polisi aliye maliza muda wake CPF (CHIEF OF POLISI FORCE) marufu kama IGP (INSP GERAL OF POLICE), SIMON NYANKORO SIRRO, ALIPELEKA WAKAGUZI WA SAIDIZI WA POLISI kwa kila kata katika kata zote nchini Tanzania. Ili...
  9. Junior Lecturer

    Tamaa ya mke wa mtu; kichekesho Umizi

    Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake: JAMAA: Shem nakupenda! MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki yako akijua? Tena koma! JAMAA: Ntakupa milioni 1! MKE: Basi njoo kesho mchana mume wangu akiwa kazini! Kesho yake Jamaa kaja na milioni 1 wakamalizana na mke wa rafiki yake, jioni ilipofika Mume akarudi...
  10. Junior Lecturer

    Kero yangu ni vibonge, jirekebisheni

    Nimezunguka karibia mikoa yote Tanzania. Kila nilipo pita na kuweka makazi ya muda. Nilikuwa nakuta na hawa watu wanene maarufu kama VIBONGE (wingi) na Bonge (umoja) (siyo rasimi, onesigara ata fafanua hapo.) Sasa hawa Vibonge binafsi wananikera sana, yaani wote ME na KE, wanatabia zinazo...
  11. Junior Lecturer

    Wakazi wa Kishiri Mwanza na shida ya maji

    Week mbili sasa maji yamefunguliwa siku moja tu, alipo pita waziri mkuu. MWAUWASA wameshindwa kabisaa kusimamia ufunguliaji wa maji eneo hili. Ukiuliza unambiwa Kalokola ndo anae simamia eneo hili, Kalokola kumpigia simu anakuambia mpigie injinia, wa mkoa, injinia anakuambia hajapata taarifa za...
  12. Junior Lecturer

    Askari wetu wanapewa mzigo mzito kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Nani anayetakiwa kutoa taarifa Tume, kuwa chama fulani kimezidisha muda wa kumaliza kampeni zake? VIDEO HAPO CHINI
  13. Junior Lecturer

    Kata ya Kishiri wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, tumekosa maji safi na salama kwenye familia zetu kwa muda wa wiki mbili sasa

    Waziri mwenye mamlaka popote ulipo. Kata ya Kishiri wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza ,tumekosa maji safi na salama kwenye familia zetu kwa muda wa week mbili sasa. Hapo katikati Mheshimiwa ulikuja kama siku tatu, waka achia maji ulivyo ondoka ukaondoka nao. Tuki piga simu MWAUWASA wanasema...
  14. Junior Lecturer

    Mrejesho: Barabara ya Igoma - Kishiri

    Baada ya posti yangu juzi kuhusu BARABARA hii, hatimaye Jana imekwanguliwa na kusawazishwa Yale makorongo. Heko kwa wateule wa Rais wetu mpendwa. Sasa .. Mh Rais wetu mpendwa ikikupendeza kipande hicho Cha BARABARA kijengwe kwa kiwango Cha Moramu
  15. Junior Lecturer

    Barabara ya Igoma - Kishiri

    Kwako Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Meya na Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi TARURA mpaka mamla husika hapa jijini Mwanza. Kwako Rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli. Rais wangu kipenzi cha Watanzania watajwa hapo juu wameifumbia macho BARABARA ya IGOMA Kishiri, ambacho ni kipande kidogo...
  16. Junior Lecturer

    Hello! Mr, Right na wakenya

    Habari wana jamvi. Hello mr right ni kakipindi fulani kanako endeshwa pale kenya na RAMBO TV, kakizaminiwa na startimes. Kipindi chao kina husisha single boys &single ladies. Nimeshindwa kuelewa maudhui ya ke, je nisuruhisho kwa madomo zege ama la? Mbona hakuna mresho wa wale wanao patana mr...
  17. Junior Lecturer

    Simulizi hii imeifanya nimeachana na michepuko yote

    Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kula chakula kimya akiwa tayari kunisikiliza. Tena nikagundua macho yake yalionyesha anaumizwa. Nilishindwa hata namna ya kuanza kufumbua...
  18. Junior Lecturer

    Wote mtapata, pitia draft ya kwanza hapa

    Mchekie na mwenzako. Mimi enzi hizo nilipata batch ya 6 Yaani draft ya sita tena100% Chamsingi tu ni nidhamu ya boom ajira bado sana mpaka watumishi tuongezwe mishahara siyo kesho wala kesho kutwa yake
  19. Junior Lecturer

    -Sheria za msingi za kuishi pamoja-

    . 1. Ukifika sehemu... Salimia 2. Ukiondoka sehemu..... *Aga* 3. Ukisaidiwa....... *Shukuru* 4. Ukiahidi...... *Tekeleza* 5. Ukikosea.... *Omba msamaha* 6. Kama hujaelewa..... *Uliza* 7. Unacho... *Gawa kwa wengine* 8. Huna.... *Usione donge* 9. Ukivunja.... *Lipa* 10. Kama hupendi...
  20. Junior Lecturer

    DEMU WA AJABU

    Nilicho kutana nacho kwa haka kamanzi,toka nikue sijawahi ona. Tulikutana kwenye daladala baada ya kubadilishana namba za simu na kupanga makutano. Lodge sasa, Romance,romance kila niki gusa papuch ,fingering kana cheka vibaya tena kwa saut mpaka kanatoa machozi,nikiacha kuzea k ,kana nyamaza...
Back
Top Bottom