Search results

  1. Palyang'ei

    Naomba kujuzwa kuhusu kupalilia Mahindi kwa kutumia viuatilifu

    Naombeni msaada wa kitaalamu wa kupalilia mahindi kwa kutumia viuatilifu maana vibarua wanasumbua na wakati mwingine mvua inanyesha mara kwa mara. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Palyang'ei

    Mgambo kusaidia Mtuhumiwa kutoroka lock up

    Wanasheria naombeni msaada je mgambo aliyepewa kulinda mtuhumiwa lock up na baadaye mkute hakuna mtuhumiwa na hakujavunjwa na funguo zote anazo,.Mgambo huyo akipelekwa mahakamani anastahili adhabu gani kwa mujibu wa sheria? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom